Approach ya Klopp ni kwenda etihad kugawana pointi moja moja kama alivyowahi kuwaza MosDef siku za nyuma hapo
wanaosema kikosi cha leo liver tunafungwa hamukumbuki mwaka jana kikosi hichi hichi tulimpiga city??? mwacheni klopp afanye yake yeye ndo anajua kuliko sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaosema kikosi cha leo liver tunafungwa hamukumbuki mwaka jana kikosi hichi hichi tulimpiga city??? mwacheni klopp afanye yake yeye ndo anajua kuliko sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukishinda kesho SAA moja Niko kibaruani ,tukifungwa nitatamani kesho iwe sikukuu nisiende kokote maana watakaokuwa wananisubiri ni wengi mnoYani sijawahi Kufurahia Draw lakini iwapo hii game tutatoa draw basi nitafurahi sana leo kwa mara yakwanza.
Na iwapo tutashinda basi ni zaidi ya furaha
beki zisipande kwa dk 20-30 za mwanzo tu.... baada ya hapo City watakuwa wapo frustrated, ndipo sisi tunaanza kanyaga twende.Leo Beki zetu zisipande sana coz Sane, Sterling na Aguero pace yao ni mbio na kwenda mbele tu
Pamoja sana kuu tutarudi dakika 90 hapaBikra yetu tunaitunza kwa ajili ya timu zilizoko kwenye 11-20 kwenye msimamo wa ligi.
Wengine subirini.
Yani sijawahi Kufurahia Draw lakini iwapo hii game tutatoa draw basi nitafurahi sana leo kwa mara yakwanza.
Na iwapo tutashinda basi ni zaidi ya furaha
Pamoja sana kuu tutarudi dakika 90 hapa
Naam ni sahihi kabisa, hii gemu tunaweza fungwa mapema so tunataka wachezaji walikomaa ambayo hawastushwa na hali hiyo
Angali na chao mkuu na benchi lao piaMancity mapema kafa, kikosi cha maangamizi, workholics
Mechi gani?
Tulitoka ngapi ngapi?
Mechi gani?
Tulitoka ngapi ngapi?
Mkuu naomba sasa ukiri fabihno na keita ni wachezaji mbadala kama nilivyokwambia hapo kabla ,hawa hendo na milner ni wanaume wa shoka gemu ya city,Chelsea,buyern ,spurs na man u watacheza tu,quote hii haina uhusiano ni kilichoandikwa hapo juu ni mijadala yetu tuUsikariri hakuna Mshabiki wa Liverpool hata mmoja hapa aliyesema Leo tunafungwa.
Hebu pitia comments za wanaosema tunafungwa uangalie Profiles zao ni washabiki wa timu gani?
Usicomment kisa tu kuna mtu kampoint mtu kwa comment yake
Sio kwamba majogoo watazembea na nimejaa kichwa kichwa kwa city hapana liverpool ni timu kubwa na naiheshimu sanaBila shaka, ila kikosi duh!
Leo tunapiga ile formation yetu sasa 3-1 for Liverpoolam not surprised with this line up.
it's what I had in mind.... it's got "Klopp no nonsense" painted all over it!
Hii ni approach ya ushindi mkuuApproach ya Klopp ni kwenda etihad kugawana pointi moja moja kama alivyowahi kuwaza MosDef siku za nyuma hapo
Usiogope mkuu WE ARE LIVERPOOLDah tangia msimu umeanza safar hii sijawah kuogopa kama leo hii. Eee mwenyez tuokoe dhidi ya mbwa mwitu na mbweha hawa wakali. Amina
#YNWA