AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
L’Equipe’s team of the year for 2018 ni hii hapa haina Front 3 hata mmoja wa Liverpool FC lakini hili ni sawa kwa 100%
Palipo na Hazrad, Messi, Mbappe na Ronald basi hapana nafasi ya kumueka Salah, Mane na Firmino.
View attachment 984908
Game linaanza SAA ngapi mkuuunafahamu vyema Majogoo sio timu ya kubabaishwa na City, hawa leo tunao...
Pep presha juu maana kila akitazama weak link ya Liverpool haioni hivyo itamlazimu ashambulie zaidi kipindi cha kwanza na hapo ndio pace ya Mane na Salah itawaumbua maana wao wanawaza kupunguza gepu angalau ibaki pointi 4, hivyo wao watakua ni ushindi tu maana hata kupaki toi Pep hajui yeye ni kushambulia , upande wa pili sisi ni kaunta tu wala hatuna kingine...
wapiga ramli msikae mbali kushuhudia gepu ya pointi 10 mapema Januari...
YNWA
Tukishinda game ya leo the tittle race is over ... the tittle is ours
Baba bariki siku ya leo [emoji1488]
mshaanza kuleta vijisababu vyenu [emoji23]Huyo Referee ni mzaliwa wa Manchester aisee! anyway ngoja tusubiri
Huu uzi leo umekuwa wa moto sana kwa haters wanauchungulia kwa mbalii
Mbio za ubingwa zitakuwa wazi zaidi Leo baada ya city kunipigia vijogooMangi kwa sasa bado mpo mbio za ubingwa au mnapigana kubaki big four maana msipojirekebisha naona tena Futuhi inakuja darajani msimu wa pili mfululizo
Ukitaka umpende TAA basi mchezeshe na Shaqir. Shakir acheze #7.if there is talent uscoucer unakuaga sio ishu kivile nowdays bt then akitokea kwenye academy na ni scourcer esp kipindi hiki many graduates dont make th grades basi anakua na kaupedeleo fulani na kupabwa na magazeti bt kwenye ishu ya TAA kila mwenye kumfuatilia anaona ndogo msimu huu ameshuka kiwango sana hata krosi zake nyingi zinakua hovyo kabisa...asipojiangalia ataishia kama Red Cafu
kama talent ipo kazi ni popote as u can see Lallana is die hard Everton fan yet anavaa uzi wa majogoo, De Brune is also Kop, Aguero is also a Kop, hata Kocho wa Manure is also a Kop etc..
our captain is a die hard Sunderland fan hivyo kazi ni popote huu uscoucer hautuletea vikombe...
Utapata tabu sana msimu huuMbio za ubingwa zitakuwa wazi zaidi Leo baada ya city kunipigia vijogoo
Nenda you tube tafuta clips za TAA. Utaona umahiri wake.Siku zote Beki bora tunamjua uwezo wake kwa kumpokonya mpira adui inapotakikana kufanya hivyo, sikumbuki kama jamaa alishine siku hiyo
Uko sahihiAisee TAA hana ubaya huo mnaoungelea nyie! Huyu dogo kapiga mpira mzuri sana hata season hii, Mpaka amekuwa nominated kwny tuzo kubwa za Copa under 20 na Mbappe sio mchezo.
Upepo umekata kwake kidogo juzi baada ya majeruh napo hajaharibu sana, Bado anafaa sana tena sana kuwa first Xi na sio sub.
Tukishinda game ya leo the tittle race is over ... the tittle is ours
Baba bariki siku ya leo [emoji1488]
Kila nikichungulia sioni Liverpool anatokea wapi mbele ya city Leo
Tukutane baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman mnaona moto wa TAA? Hakosi kwenye kikosi chochote tangia nianze kufatilia hivi line up.