Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Hahahaha, mzee baba hutaki kabisa Klopp akosolewe 😛Mkuu uwepo hapa!
Huyu ni Klopp jamani kocha hatari sana,ndiyo kocha pekee ktk Germany modern soccer history kuivua Bayern ubingwa tena mara mbili mfululizo hadi Bayern wakaja na idea ya kumpokonya wachezaji ktk window ya January!
Anauondoa ufalme wa Pep EPL anaanzia mwaka huu na Pep mwakani atakataa kubaki EPL na wote sasa walio kuwa wanamponda Klopp nawaona hapa wamejirudi-Hiyo ni nzuri kwa group na nawapongeza!
Hata Hendo na Lovren mtawakubali tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tumedominate kwenye Backline hii inaonesha ni jinsi gani tuna the most strong defence kwenye EPL
Robertson, VVD na Laporte will retain their places but TAA sidhani kama atarudi tena.
Alisson will replace De Degea
Na kutokuwa na Mtu hata mmoja katika Midfield hii inaonesha wazi ni jinsi gani our Midfielders are shit.
Kikosi nimekipitisha kwa sababu wachezaji wa Chelsea wapo wawili ningekipinga kwa roho yangu yote ,siwezi vumilia kuwa na team ambayo haijatoa mchezaji hata mmojaTeam of the calendar year (Jan - Dec 2018), according to an online BBC Sport poll.
I think Alisson hayumo vile alianza only August.... congrats to our 4 reds.
View attachment 983393
Mkuu hapa kuna ishu mbili kwanza formation ya mechi ya vs Manshit kama Klopp atakwenda na 4 3 3 basi Hendo, Milner& Gini il do th job...Hivi kuna mtu haelewi hii hoja? Mbona rahis tu, hatutaki combo ya GINI-HENDO-MILNER sababu ni butu haina matokeo positive.
Combo hii ndo iliyopelekea mwanzon mpaka Salah aitwe One season wonder, bila mabadiliko kutokea ya kuongeza Fabh, Keita na udambwi wa Shaqir. Leo Salah asingefikisha hizo goals 13 z EPL mwaka huu.
Kwa sasa Team yetu ni yamoto sana kwa sababu Klopp aliusoma mchezo na kufanya mabadiliko, hivyo hatuna shaka tunapoona Kwenye combo hiyo Fabhino or Keita hawakosi, sababu hawa ndio chachu ya ushindi wetu.
Mkuu hapa kuna ishu mbili kwanza formation ya mechi ya vs Manshit kama Klopp atakwenda na 4 3 3 basi Hendo, Milner& Gini il do th job...
kama Kocha ataamua kwenda na 4 3 2 1 then Gini, Fabi,Keita or Shair...
so depending on th formation utaona ni vipi maana vs City we shold be compact n not leave th shop open otherwise we il suffer...
Neverthless formation do change durin th match so Klopp il know better who to start n who to bench...
Vs Manshit wt thier defence runnin all ova we should aim for a win...not sure within this few days they wil sort thier left back n good thing maana Salah anatokea sana pande hio...
pili Klopp will aim for a win or settle for a draw if worse come worse so he wont be going there wt heavy metal footbal knowin majeruhi wa city wengi wamerejea hivyo he has to be alert...
a wounded lion is always dangerous n am positive Klopp is aware of this....
all in all 10point caution wil be bonous.
Haha mkuu liverpool kwa mchezaji kama pulisic ni vyepese kukataa kusign Anfield coz anajua kua three front yetu iko very hot so ni lazima awaze kuhusu upatikanaji wa namba kama atapata au vipiWakuu tumeshamkosa Pulisic wa Dortmund na Chelsea ndo wanambeba kwa £ 40M.
Suala hili limeniuma sana sababu sisi ndio tulikuwa watu wa kwanza kuonesha interest kwake, Pia niliamin ukaribu wa Klopp na mchezaj huyo ambaye alkuwa akimfundisha mwanzon utarahisisha tumvuta Anfield.
Bad enough, kila mchezaj tunayeonesha interest kwake basi hatumpati, utashangaa Barca na Chelsea wanamuwahi.
probably yes but we have beaten City twice or thrice last season wt th same players n Klopp might look at that as yes to them...though we also beaten at Ethad wt th same...good thing now City look beatable than ever...thier vulnerability is open for us to maximise bt then Pep is Pep he il have his own plans...Tukienda na hiyo 4 33 ambayo Hendo Gini Milner wanafit, basi kuna hatari ya kutolewa hii bikra yetu ya Unbeaten kwa aibu kuu.
Kikosi nimekipitisha kwa sababu wachezaji wa Chelsea wapo wawili ningekipinga kwa roho yangu yote ,siwezi vumilia kuwa na team ambayo haijatoa mchezaji hata mmoja
probably yes but we have beaten City twice or thrice last season wt th same players n Klopp might look at that as yes to them...though we also beaten at Ethad wt th same...good thing now City look beatable than ever...thier vulnerability is open for us to maximise bt then Pep is Pep he il have his own plans...
am actuatly vouchin Hendo on this type of game maana vs City u need his energy n body in middle to disrupt City rythm..
if not the t should be Gini, Fab, Milner esp Milner amsaidie strugglin TAA wen we r under pressure..
To put records clear on games that we defeated man City:-
EPL: 4 - 3 home, Mid had E Can, Ox Chamberlain and Gini.
UEFA CL: 3 - 0 home, Mid had Henderson, Milner and Ox Chamberlain.
UEFA CL: 2 - 1 away, Mid had Ox Chamberlain, Milner and Gini.
With that being clear, you can easily tell that it was Chamberlain's heroics which won us all three games, especially the first two games.
So, for me, that Mid of Gini, Hendo and Milner shouldn't be discussed for tomorrow's game man.
I had go for Fabinho, Gini and Shaqir or Gini, Fabinho and Hendo.
If Milner is fit for tomorrow, will feature for RB.
That is my case.
Great man umekumbuka hii ishu!! oxlade katubeba sana kwenye mid yetu especially UEFA games!To put records clear on games that we defeated man City:-
EPL: 4 - 3 home, Mid had E Can, Ox Chamberlain and Gini.
UEFA CL: 3 - 0 home, Mid had Henderson, Milner and Ox Chamberlain.
UEFA CL: 2 - 1 away, Mid had Ox Chamberlain, Milner and Gini.
With that being clear, you can easily tell that it was Chamberlain's heroics which won us all three games, especially the first two games.
So, for me, that Mid of Gini, Hendo and Milner shouldn't be discussed for tomorrow's game man.
I had go for Fabinho, Gini and Shaqir or Gini, Fabinho and Hendo.
If Milner is fit for tomorrow, will feature for RB.
That is my case.
Great man umekumbuka hii ishu!! oxlade katubeba sana kwenye mid yetu especially UEFA games!
Kesho sielew mid ikae vipi..
Ila kwenye defence i prefer switchin TAA to Clyne..kwasabab TAA ana pressure sana nowadays maybe kama ataweza kumstop Sane kama alivofanya game za UEFA itakua vizur..
Great man umekumbuka hii ishu!! oxlade katubeba sana kwenye mid yetu especially UEFA games!
Kesho sielew mid ikae vipi..
Ila kwenye defence i prefer switchin TAA to Clyne..kwasabab TAA ana pressure sana nowadays maybe kama ataweza kumstop Sane kama alivofanya game za UEFA itakua vizur..
Wakuu tumeshamkosa Pulisic wa Dortmund na Chelsea ndo wanambeba kwa £ 40M.
Suala hili limeniuma sana sababu sisi ndio tulikuwa watu wa kwanza kuonesha interest kwake, Pia niliamin ukaribu wa Klopp na mchezaj huyo ambaye alkuwa akimfundisha mwanzon utarahisisha tumvuta Anfield.
Bad enough, kila mchezaj tunayeonesha interest kwake basi hatumpati, utashangaa Barca na Chelsea wanamuwahi.
Haha mkuu liverpool kwa mchezaji kama pulisic ni vyepese kukataa kusign Anfield coz anajua kua three front yetu iko very hot so ni lazima awaze kuhusu upatikanaji wa namba kama atapata au vipi
Kingine me naona usajil wa kwanza kabisa watuletaa beki ambaye incase Vvd akiwa injury awepo kuongoza back line yetu vzr kama anavyo fanya VVD
Kiungo sina Shaka siku KEITA atakaa kwenye form vzr sidhan kama kutakuwa kuna mtu wa kumsimamisha maana jamaa ni very talented
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi nimekipitisha kwa sababu wachezaji wa Chelsea wapo wawili ningekipinga kwa roho yangu yote ,siwezi vumilia kuwa na team ambayo haijatoa mchezaji hata mmoja
Yeah, TAA game ni kubwa kwake, na wale watakuja na style ya litushambulia, kwa hiyo tunahitaji mtu ambaye ni nzuri kwenye kukaba mwanzo mpaka mwisho.
Sijajua status ya Milner, namna 2 ingemfaa sana kesho.
View attachment 983786
Mkuu unamjua huyo dogo hapo kwenye picha?
Huyo ni Sancho ambaye ndiye anayemueka Bench Pulisic kwa sasa.
Kwahiyo kwenye Liverpool hawezi kupata Namba Kwenye Kikosi cha Kwanza! Kwahiyo haitowezekana kwa Klopp kumnunua Pulisic kwa £40m ili aje awe Mchezaji wa Hakiba.
Na hiyo ndiyo sababu kubwa Kwa BVB kumuuza huyo Pulisic Kwa Chelsea kutokana na Kukosa namba Kikosi cha kwanza.
Na kumbuka kwamba Liverpool walionesha interest last Windows lakini kwenye Window hii Klopp ameachana naye na kilichokuwa kikiendelea sasa ni Rumours tu wala Klopp hajabide chochote kwa Pulisic kuonesha kuwa hana mpango nae katika Future plan Yake.
Kwahiyo Mkuu ni kuwa Klopp hajamkosa Pulisic, Bali hakuwa katika Mipango Yake kwenye Window hii Coz Klopp kwa sasa Ana plan na attacking Midfielder na si Winger ambapo tuna Mene, Salah na Xhaqiri na Wilson on his way to Sensor team.
Ukweli usiofichika Klopp hana mpango wa Kubide kwa Mchezaji yoyote hii January unless kutokee long injury.