Hahahahahahah, umenichekesha sana mkuu, hawa jamaa kweli wana mu- under late sana hendo aiseeee mpaka tunachekwa na watu wa aseno
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji ni akina nani sasa?Kwanza ninashangaa sana kuona mpaka Leo watu wanaamini Kuwa Hendo na Lovren ni wachezaji Mpira!!
Ninachojua Mimi ni kuwa Hendo ni Mwanamitindo.
Na Lovren ni Mzururaji tu kisubiri ajali itokee
Kwa sasa Faby, Gin, na Naby ni wa kuanza maana tuna cha njaa ya kutosha, lkn haina maana ya kwamba hao wengine hawana umuhimu kamanda, umuhimu na heshima yao iko pale pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaaa hata mm nashindwa kuwaelewa aiseeeeSio tu Hendo
Hawa walikuwa wanamtukana sana pia Klopp,mm na wenzangu tukawa tunakesha nao lkn kawanyoosha ndiyo sasa wanarudi,wao kwao kocha wao bora duniani ni Pep!
Hapa Lovren alikuwa anatukanwa sana sasa wamenyooshwa na Lovren wameufyata
Hendo ni kikosi cha kwanza cha Liverpool na anaanza Alhamis na tunampiga City na kuchukua ubingwa mechi 17 mkononi na watapata aibu sana!
Yaani kweli hawa ndiyo wakupinga kazi za mikono ya genius Klopp?Hawa kweli?
Upuuzi mtupu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mm kwangu Liverpool hii yoyote anaweza anza tu na kuupiga mwingi mno na kutufurahisha vzr tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kauli hizi naanza kukuona kana kwamba ww si mwanasokaKwanza ninashangaa sana kuona mpaka Leo watu wanaamini Kuwa Hendo na Lovren ni wachezaji Mpira!!
Ninachojua Mimi ni kuwa Hendo ni Mwanamitindo.
Na Lovren ni Mzururaji tu kusubiri ajali itokee
i would go for the same, actually tho Fabi been brilliant there some issues he need to address aganist Wolves he lost th ball blindly twice n t almost hurt us,aganist Ganaz again he lost th ball twice n again jst like Wolves th defence had to act fast...
aganist a hungry team like City those chances would be goals...EPL games at tym r decided by mistakes n this comin game there is no room for mistakes...GIni,Henderson,Millie wil do th job finely..
FactSiwezi pinga lolote akimua Klopp,yy ndiyo kocha anajua soka menejiment kuliko sisi tena far sana katuzidi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mechi na aseno Emirates alicheza fabby ns hendo hakuwepo nazani tuliona jinsi torrira na aseno yao walivyotukimbiza mpaka tulikoma, ikaja mechi na red Star, tulipata tabu mnoKamwe kamwe hatuwezi tena kurudi misri kwa kuweka flat midfield butu ya Gini, Hendo, millie ambayo ilitukost katika mechi nyingi pamoja na kutupunguzia idad ya ushindi wa magoli.
Kwa sasa Fabhino hazuiliki kuwepo kwenye kikosi, makosa kila mchezaj anafanya, lakin tunaangalia postivity anazotumia anacontribute kuwa nyingi kuliko hasara.
Mechi ya Man Utd siyo muhimu?Klopp anampa Hendo mechi zote muhimu hata Alhamis ataanza!
Inachekesha sana ka genge ka watu huko Nachingwea kuona wao wanajua nani acheze mechi ipi kuliko the genius Klopp!
Huwa nacheka sana aisee,mtu kama @ngwaba na yule mwingine eti wao wanajua kuliko Klopp hadi kukosoa nani acheze
Upuuzi mtupu!
Sent from my iPhone using JamiiForums
AiseeeeeWachezaji ni:
Alison
Matip
VVD
Gomez
TAA
Robbo
Fabinho
Gini
Keita
Milner
Xhaqiri
Mane
Salah
Firmino
Na bench kuna
Clyne
Sturridge
Moreno
Waliobakia wote ni Magarasa tu yakutafuta njia yakaenda:
Magarasa hayo ni:
Mignolet
Hendo
Lovren
Lallana
Origi
Solanke
Markovic
Mechi na aseno Emirates alicheza fabby ns hendo hakuwepo nazani tuliona jinsi torrira na aseno yao walivyotukimbiza mpaka tulikoma, ikaja mechi na red Star, tulipata tabu mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Madrid hakutufunga kiuwezo, ila watuumiza kisaikolojia na kutufunga kisaikolojia, lkn si kimpira wakati mwingine mwe mnaelewaNipe chanzo cha stats zako kwa ajili ya Kuback up maneno yako haya "alikuwa ni miongoni mwa namba 6 bora kabisa kwenye EPL"
Na unaposema walitufikisha Finali hapo hujaongea kitu Coz Hakuna Kumbukumbu yakueka Kabatini inayoitwa "Kufika Fainali", wala Hatutojivunia Fainali.
Kinachoekwa Kabatini na Kukivunia ni Kombe tu Mkuu.
Fainali itasahauliwa na kila mtu kama ilivyosahauliwa ya mwaka 1985 tuliyofungwa na Juventus.
Angalau ukisema hao wachezaji aina ya Lovren, Karius, Lallana na Henderson ndiyo waliotukosesha Kombe kwenye hiyo Fainali.! Basi ingemake sense .
Coz hawakuwa na sifa wala uwezo wa kupambana na Real.
Kwa kiwango kile cha fabby mechi na aseno Emirates kocha hata angekuwa mwinyi zahera game inayofuata hawezi mwanzishaKaiangalie tena List ya Mechi na Red Star waliyotufunga tulipata tabu kwanini?
Kwenye Mechi hiyo hakucheza Fabinho Mkuu..
Waliocheza ni hao Kina Hendo.
Kamwe kamwe hatuwezi tena kurudi misri kwa kuweka flat midfield butu ya Gini, Hendo, millie ambayo ilitukost katika mechi nyingi pamoja na kutupunguzia idad ya ushindi wa magoli.
Kwa sasa Fabhino hazuiliki kuwepo kwenye kikosi, makosa kila mchezaj anafanya, lakin tunaangalia postivity anazotumia anacontribute kuwa nyingi kuliko hasara.
Mechi na aseno Emirates alicheza fabby ns hendo hakuwepo nazani tuliona jinsi torrira na aseno yao walivyotukimbiza mpaka tulikoma, ikaja mechi na red Star, tulipata tabu mno
Sent using Jamii Forums mobile app