AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
,Sina mkuu....
Na wewe nakuuliza una english premier league cheaf? Hata moja tu.(nijibu kama nilivyokujibu please)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote hao wamecheza EPL na kombe linaletwa na wachezaji. Wao ndo wametukosesha kombe !Can soon ananyanyua kwapa kule kwa coutinho tayari wewe baki na dua zako mbaya wenzako malengo yanatimia
Sent using Jamii Forums mobile app
idadi ya wahubiri wa injili ya LFC (marafiki na maadui) inazidi kuongezeka.
Pep Guardiola: Liverpool might be best team in world right now, says Man City boss
Kombe la champions league Wenger aliliona kwenye picha tu.Hahahaha hao EPL wakitaka kuliona mpaka waende london au manchester.....SG alikuwa anaenda london kupiga nalo picha
Sent using Jamii Forums mobile app
.....huyo jamaa Muha nini !?Duh wewe mtu hatari kwahiyo msimu ukiisha ukiulizwa mafanikio yako utaanza kusema kuwa umefukuza benteke,sakho, n.k then ukiulizwa mipango yako ni kufukuza hendo.....si bure una hatari wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bandugu hongereni sana mnatishaaaa!! Hili kombe mkilikosa ndo basi tena!![emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh wewe mtu hatari kwahiyo msimu ukiisha ukiulizwa mafanikio yako utaanza kusema kuwa umefukuza benteke,sakho, n.k then ukiulizwa mipango yako ni kufukuza hendo.....si bure una hatari wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pep's is sincere appreciation of the obvious, far from "brainwashing".Hatuwezi kukubali kuwa brainwashed kwa mind game za kitoto kama hizi, Sisi bado sio Club the best Europe, Ila tunapambana kufikia huko, Tupo carefull sana kulewa sifa na kila game tunaichukulia kwa uzito wake hata tucheze na Tukuyu Stars hatuwezi kudharau wala kujikweza na ndio siri ya mafanikio.
All the bestHiyo kauli ya mstari wa mwisho sijui nani kawakalilisha? Eti tukikosa ndo basi tena!!!
Kwa taarifa yenu tu, Moto huu ndio kwanza asubuh na malengo yetu ni kubeba makombe makubwa mfululizo na kwa miaka mingi, Either tubebe mwaka huu au bahat mbaya itokee ila msidhani kama kuna siku sisi tutarudi nyuma.
Yanaipenda liverpool sema yanajifichaKuna mijitu ina vichaa vigumu sijui nini kila mtu ana aina yake Mungu alivyomuumba Mtu jana kapigwa Goli 5 kama wamesimama vile lakini haoni aibu kila Dakika yupo humu tu Hahahahaha
Wanna bet?Wenzako walianza hivi hivi. Walikaribia hata 10 kwa hesabu yao.
Leo hii hata ukitangaza kuna zawadi wajitokeze hapa kuendelea kupiga ramli hakuna mwenye nguvu za ku click kuingia kwenye hii thread.
Tunakuomba uendelee kuwepo hapa hapa bwana Nzi
Sent using Jamii Forums mobile app