Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha nashukuru kwa kulitambua hilo so mheshimu unai then tukutane may

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa useme una misimu mingipa unapita hola bila kombe ..achana na maswala ya cjui miaka 100 uko ayo yalishapa maana makombe tumechukua.

Sasa wewe Sema una misimu ngap unatoka mikono mitupi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hao EPL wakitaka kuliona mpaka waende london au manchester.....SG alikuwa anaenda london kupiga nalo picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh wewe mtu hatari kwahiyo msimu ukiisha ukiulizwa mafanikio yako utaanza kusema kuwa umefukuza benteke,sakho, n.k then ukiulizwa mipango yako ni kufukuza hendo.....si bure una hatari wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna cha sportmanship,inamaana ameuona mpira wa liverpool baada ya kufungwa...he is a failure..kama huwezi kushindana nao una ungana nao ndicho alichokifanya huyo jamaa.
Tumia japo nusu ya akili yako nna imani unaweza kujua maana ya kile unachokikazia ubongo kuwa huelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeshashuhudia liver wakibeba EPL?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna cha sportmanship,inamaana ameuona mpira wa liverpool baada ya kufungwa...he is a failure..kama huwezi kushindana nao una ungana nao ndicho alichokifanya huyo jamaa.
Kwani game ya kwanza pale emirates ulikifanya nini?niwakubali kwa lipi wakati tulisuluhu na mpira nlicheza mimi dk zote kaangalie takwimu urudi na usiwe unakurupuka kama umetoka usingizini.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha nashukuru kwa kulitambua hilo so mheshimu unai then tukutane may

Sent using Jamii Forums mobile app

Kusupport Nilichokiandika Manayake hapa umeshamkana Rafiki yako Malafyale kwani yeye anaamini Liverpool hii ni bora zaidi ya Hata Barcelona au Man City inayotetea Kombe.

Kama huamini pitia Posts zake Jana uone ujumbe anaotupa kuhusu wachezaji wetu na Barcelona.

Na anaamini Klopp Ni Best Coach kwa Liverpool kuliko aliyekwisha kutupa mafanikio kuliko Benitez.

Sawa nashangaa kuniambia Nimeongea ukweli! 😀😀

Kumbe ukweli munaujua bali huwa munaleta unafiki wenu tu [emoji23][emoji23]
 
kujaza server za jf hakumaanishi kwamba wewe ndo shabiki kindaki wa liverpool,naweza nisichangie hapa nikachangia kwingine platforms zipo nyingi tu..!!
Kwahiyo wenzio wanaokuwa na timu hapa kwa mvua kwa jua wanajaza server za jf?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beba EPL kwanza maana wanaume wote wana EPL mkononi wewe huna chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…