Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawawez kupata heshima kama walivyokuwa wakipata liverpool sababu hizo timu zimewakuza kisoka kule wamefata mafanikio na pesa kama ronaldo tu na manchester united madrid hakupata heshima kama tuliyompa
Sikubali hili kwa Ronado mana huko aliendeleza zaidi na kua kee player.

Fata pesa acha zarau mbona hatuja mchukia Suarez?
Unazani angekomaa kuuzwa ule mwaka Asenal tungekua na furaha nae?
 
Sikubali hili kwa Ronado mana huko aliendeleza zaidi na kua kee player.

Fata pesa acha zarau mbona hatuja mchukia Suarez?
Unazani angekomaa kuuzwa ule mwaka Asenal tungekua na furaha nae?
Kukubalika kwa mashabik
 
nafikiri hatupo serious hadi tuwaombee majanga ya kuwa majeruhi bin-adam wenzetu sema tu tunaongea kiushabiki tunaelewa pia kuwa kuna factor nyingi zinazofanya mchezaji kuhama timu na mojawapo ni maslahi mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukizungumzia ushabiki wee acha tu kuna vitu vinakera sana jiulize hapa natumia bando sababu ni ushabiki tu kuna wanao tukanana pia ushabiki ni pamoja ya kumuombea mabaya mpinzani wako hii.
Kumchukia mchezaji anaesababisha tuharbu sikosei pia.
 
Kukubalika kwa mashabik

Mkuu sisi hatujamchukia Coutinho kwasababu Kaenda Barcelona!

Kwani Hata Suarez kaenda Barcelona, Alonso Kaenda Real Madrid, MacCmanaman Kaenda Real Madrid, Hao wote walikuwa Ni Key Players Wa Liverpool.

Tulichomchukia Coutinho Ni kule kulazimisha Aondoke January wakati akijua fika timu ipo CL na inafanya Vizuri na yeye ndiyo Main main wetu wakati alishaahidiwa Kuwa Mwisho Wa Msimu ataruhusiwa kuondoka.

Hivi jaalia mwaka 2008/09 Ronaldo angeliondoka January Washabiki Wa Man United wangelimchukuliaje?

Na kibaya zaidi aligoma kufanya Mazoezi na timu, Akawa anajitengenezea injury Fake, anakwenda kwao Brazil na kufanya Interview za kutusema vibaya.

Mbona Suarez na Alonso wameondoka tunalia lakini hatukuwa na Chuki nao kwasababu wameondoka kistaarabu bila ya dharau.
 
Kweli ni usaliti nakumbuka ronaldo aliambiwa ataondoka msimu unaofuata wa 2009/2010 alikubali ina maana angeandoka msimu wa 2008/9 kuchukua uefa ingekuwa vigumu alifunga goli muhimu sana kwetu nimekuelewa.
 
Sisi tulikuwepo kabla ya Chelsea ya 2004. Na pia tumeshudia timu ikibeba makombe.

Wewe ni fan wa Liverpool kutokana na historia yake. Hujawahi "SHUHUDIA" wala kunyanyua kwapa kwenye kombe lolote..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unavuta bhange wewe sio bure, kama wewe ulikuwepo kabla ya 2004 kwanini yeye hakuwa liver kabla ya 2004, unajua kuwa 2001 liver ilichukua makombe matatu
 
Wanacheza kama walevi

Sasahivi iwapo OGS atapata mtaalamu Wa Kutumia Propaganda kwenye Media kuwajenga Wachezaji Kuwa na Ari kibwa kuliko Hata viwango vyao!
Na vilevile kuwafanya Washabiki Wawe na Moral kawa Wa Liverpool pale Anfield wanomfunga Pep kwa Shangwe tu! Basi January haiwahi kumaliza Munamshusha Arsenal na Chelsea.
 
dah umemjibu kifilosophy sanaa ndugu yangu cjui aliwaza nini kuuliza swali kama hilo hivi hajui kwamba kila cku jf inapata member wapya?na kama ikitokea member mpya wa jf amejiunga jf wakati timu iko vizuri ndio aache kushangilia eti kwa vile ataulizwa wakati timu inafanya vibaya ulikuwa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakera, lakini mlivuta mpunga mwingi kufidia maumivu so mwombeeni heri huko alipo. unakumbuka suala la Tevez man city alichezea bench sana kwa kulazimisha ishu kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Kweli ni usaliti nakumbuka ronaldo aliambiwa ataondoka msimu unaofuata wa 2009/2010 alikubali ina maana angeandoka msimu wa 2008/9 kuchukua uefa ingekuwa vigumu alifunga goli muhimu sana kwetu nimekuelewa.
Hatimae umepata muandishi mzuri umemuelewa nashangaa kuna mi popoma inalazimisha kila mshabiki achangie bila kujua uchangiaji nao ni kipaji.
 

Nilichogundua Ni kwamba Kuna Watu Wanapima Ushabiki Wa Mtu kwa Kuangalia Tarehe aliyojiunga JF.

Pia wanapima umri Wa Mtu kwa Kuangalia Mwaka Mtu aliojiunga JF.

• Wanaamini Kuwa Wao waliojiunga Kati ya 2006 mpaka 2010 ndiyo walioanza Kupenda Mpira mwanzo na Ndiyo wao Wakubwa Kuliko sisi tuliojiunga Mwaka 2016.

• Kumbe Hawajui Kuwa mwaka 1994 ambao Mwanzilishi Wa JF yupo shule ya Msingi sisi SAA SABA usiku tunakesha Kuwaangalia Nigeria wakicheza World Cup.
Na wakati huo huo tunamshangilia Robbie Fowler akifanya Mambo Yake Liverpool.

MFANO: kwenye Halmashauri ninayoifanyia Kazi Mwaka Niliojariwa Kulikuwa na Jamaa Mmoja ananita DOGO na akawa anajiamini Kuwa yeye Ni Mkubwa kisa tu kaajiriwa Miaka 5 kabla yangu.

Kwahiyo Alijipima kulingana na Muda Wa kuajiriwa na kujikna yeye Ni Mkubwa.

Siku alipokuja kuina Tanzania ID yangu alijishangaa alipojikutia Mwaka aliozaliwa yeye Mimi nasoma Darasa la 3.

Kumbe hakujua Kuwa Kabla ya Kuanza kuajiriwa nilikuwa nikifanya Shughuli gani.

Kwahiyo kujiunga JF Leo haimaanishi Kuwa Mtu kapenda Mpira leo.

Abdallah Natepe Zanzibar Ni Mwanachama Wa Newcastle na Mdau Mkubwa Wa EPL lakini JF Hata hajui kama inaexist.
 
big up sana mkuu nafikiri kwa hilo somo watakuwa wamekupata uzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nataman iwatokee kama ya Owen kaondoka tu tukacheza fainali 2 na kunyanyua kwapa kabsaa ha ha haaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…