Masterclassππ»ππ»[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ratiba yetu ya December:
1) Liverpool 1 - 0 Everton (EPL)
2) Burnley 1 - 3 Liverpool (EPL)
3) Bournemouth 0 - 4 Liverpool (EPL)
4) Liverpool 1 - 0 Naples (UCL)
5) Liverpool 3 - 1 Manure (EPL)
6) Wolverhampton 0 - 2 Liverpool (EPL)
7) Liverpool 4 - 0 Newcastle (EPL)
8) Liverpool 5 - 1 Arsenal (EPL)
β’ Katika Michezo 8 tuliyocheza kwa Siku 28 za December tumeshinda yote.
β’ Kati ya Michezo hiyo 8, Ni 7 kati yao ya EPL ambayo tumejikusanyia Points zote 21/21 (100%).
Na Mchezo mmoja Wa UCL ambao tumecheza dhidi ya Naples na tumemfunga.
tunaelekea pazuri, vijana wanasikiliza walimu wa kila idara na hatimae upangaji wa kikosi upo safi kabisa...[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ratiba yetu ya December:
1) Liverpool 1 - 0 Everton (EPL)
2) Burnley 1 - 3 Liverpool (EPL)
3) Bournemouth 0 - 4 Liverpool (EPL)
4) Liverpool 1 - 0 Naples (UCL)
5) Liverpool 3 - 1 Manure (EPL)
6) Wolverhampton 0 - 2 Liverpool (EPL)
7) Liverpool 4 - 0 Newcastle (EPL)
8) Liverpool 5 - 1 Arsenal (EPL)
β’ Katika Michezo 8 tuliyocheza kwa Siku 28 za December tumeshinda yote.
β’ Kati ya Michezo hiyo 8, Ni 7 kati yao ya EPL ambayo tumejikusanyia Points zote 21/21 (100%).
Na Mchezo mmoja Wa UCL ambao tumecheza dhidi ya Naples na tumemfunga.
Haki Ya Nani Liverpool hii ingelikuwa Ni Basi pale Ubungo hakika ingelikuwa ABC Super Class au Dar Laxππ
Na Arsenal kama Ni Basi ingelikuwa Turu Best ya Mbeya - Singida au Kaprikon ya Dar - Singida
masterclass purchase....whats a player...bring Manshit anytym anywhere we r ready...
Bobby at his best maaaaaan Samba street futball live bila chenga
ππππππππππHaki Ya Nani Liverpool hii ingelikuwa Ni Basi pale Ubungo hakika ingelikuwa ABC Super Class au Dar Lax ππ
Na Arsenal kama Ni Basi ingelikuwa Turu Best ya Mbeya - Singida au Kaprikon ya Dar - Singida [emoji23] [emoji23]