umenikosha roho yangu kwa coment yako... mm liverpool mwaka wetuu huuSasa nimeamini nyinyi mabingwa kila anaye wanyemelea anapigwa na kitu kizito njiani
Mkuu nimecheka sana hapa nilipo mpka watu wanashangaaHalafu kuna Wazembe flani eti wanampa nafasi Spurs ya kuchukua ubingwa..
Wolves kamla Chelsea, Arsenal na Spurs 😀😀
Ama kweli Mbwa Mwitu wahuni 😀
hahaahahahaha nacheeeka kwa dharauuWolverhampton 😂😂😂😂😂😂
Ha ha haa ha haaa kuwaje mkuu sijaelewa?Sasa nimeamini nyinyi mabingwa kila anaye wanyemelea anapigwa na kitu kizito njiani