Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,632
- 81,727
Ndio maana mimi nasisitiza kuwa hatutakiwi kuwa reluctant au carried away.Surprise alizokutana nazo Man City kwa game za Chelsea, C Palace na Leicester hakuna aliyetegemea aisee, in a span of almost 3 weeks kapoteza 9 points.
Sijui recovery yake itakavyokuwa, lakini ni big hit kwake.
Ndio maana mimi nasisitiza kuwa hatutakiwi kuwa reluctant au carried away.
City by the start of December alikua anaongoza league kwa 2 points and 15 GD..
Leo hii within four game weeks yupo nafasi ya tatu tumeshamwacha 7 points with zero GD.
Things can change in a dramatic way, lets keep focused.
One game at a time.
YNWA.
Watu Kama ninyi timu ikipigwa game mbili tu mnapoteza imani na kocha na bench zima la ufundi kwa kuamini kuwa huwezi kufungwa.Yani Liverpool hii ifungwe na manure fc?
Ndiyo maana tunataka tarehe tumpige pale Etihad ili tumtoe kabisa kwenye title race.
Yeah cha muhimu ni kushinda kwanza hii ya nyumbani vs Arsenal. Tukienda Ettihad Pep hawezi ku seat back kama alivyofanya alipokuja Anfield lazima atafunguka and hopefully hapo ndio atakuwa amefanya mistake tumpige hata tatu.Game ambayo iko easily attainable ni ya Arsenal, City ni wagumu sana, tuanze kwanza kudili na Arsenal. Tukishinda hiyo game itakuwa na maana kwamba City tunakutana nao kukiwa na 7+ point differential, ambapo hata tukidroo tutakuwa bado tuko kwenye position nzuri vs Man City. Changamoto itayobaki ni Tottenham.
Yeah cha muhimu ni kushinda kwanza hii ya nyumbani vs Arsenal. Tukienda Ettihad Pep hawezi ku seat back kama alivyofanya alipokuja Anfield lazima atafunguka and hopefully hapo ndio atakuwa amefanya mistake tumpige hata tatu.
Exactly, point hapo ni kwamba ni yeye atakayekuwa na pressure ya matokeo zaidi yetu sisi, na inaweza kupelekea makosa ambayo yatakuwa na faida kwetu.
One game at a time.
ubingwa sahauni liverpool is jinxed on EPL
We are now pulling mojos and breaking that evil spell.ubingwa sahauni liverpool is jinxed on EPL
Game ambayo iko easily attainable ni ya Arsenal, City ni wagumu sana, tuanze kwanza kudili na Arsenal. Tukishinda hiyo game itakuwa na maana kwamba City tunakutana nao kukiwa na 7+ point differential, ambapo hata tukidroo tutakuwa bado tuko kwenye position nzuri vs Man City. Changamoto itayobaki ni Tottenham.
ubingwa sahauni liverpool is jinxed on EPL
bwana wee utamu wa ligi hii ndio hii matokeo usiyotarajia muda wowote yanatokea...Nasema ivyo kwa sababu hakuna mpinzani wa maana anayeweza kuwapa changamoto except Tot naye hana ubavu. Sasa hapo kazi ni kwenu mkishindwa hamtakuja kuweza tena. Man city mnaona anachofanya, Chelsea ndio tunajikongoja, huyo Arsenal sitaki kuongea. Labda Tot ila naye sina imani naye.
huyu kocha wao mpya bana kaja kivingine kabisa nwei ngoja tuone leo watatoka vipi huku Pep akiwa busy kuchukua notes...Southampton ana kibarua leo vs Westham, akishinda leo Man City ajipange sana.
huyu kocha wao mpya bana kaja kivingine kabisa nwei ngoja tuone leo watatoka vipi huku Pep akiwa busy kuchukua notes...
Naona kijana wetu Ings akiwaua Manshit maana ukuta wao kwa sasa sio mabeki wala Kipa mwenye utulivu...
sure sureYani ukuta Mzima Wa Man City ni Laporte peke Yake ndiye Mwenye Uhai..
Lakini Otamendi, Jones na Walker ni uchochoro Wa kujipigia tu..
Sasa hapa tuwapatize kabla hajarudi Mendy na Fernandinho...
Na vile vile ni kwamba Bado KDB hajawa sawa Kutoka kwenye injury... Kwahiyo tuwapatize pia kabla KDB, Aguero na Silva hawajakaa sawa.
Coz si kwamba Guardiola kaishiwa mbinu! Bali Guardiola atabaki kuwa ni Best Coach in the World bali ni Majeruhi tu yamemuandama Kwa Wachezaji Wake.
Mkuu kinachochekesha ligi ya uingereza. Unaweza ukashinda game zote hizo au ukatoa draw moja wapo ila kuna siku unaweza shangaa Crystal Palace anakuja Anfield anakufunga au hata Carfiff akaja kutoa draw kwako. Ndio hapohapo ukaanza kupznguzwa kasi. Hiyo ndio EPLTuna Challenge 3 tu zakuweza kuzifikiria kuhusu kutufunga Kwa sasa.
1) Man City (Etihad)
2) Man United (OT)
3) Everton (Godison)
Sasa hapo tukitoa sare tu na Man City basi test ya Everton nayo itashindwa kutufunga!
Hapo tutajiandaa Kwa Man United kwasababu ni NW Derby tuimalize hapo Kwa sare.
Naelewa matatizo yenu na nyie mnayajua na hayo ndio ya kuyafanyia kazi ili walau msimu huu mjaribu kutufanya tupunguze maneno. Siwezi kukataa kwa sasa mko moto sasa mshindwe nyie hapo.Mmeanza kukubali mapemaaa