Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
It was a great win, sijafanikiwa kuona 1st half ila second half nimeiona yote Henderson played really well. Hiyo position ndo nilimuwa naililia acheze siyo kuchezeshwa kama defensive midfielder .
Allison is more than just a goalie, he defended like a center back then he save it like a goalie kupata clean sheet
Fabinho in the midfield is like a jukebox
Klopp kafanya substitution za maana, sikutegemea kama kwenye hii mechi klopp angeanza na fab3 kwa line up it claerly indicate he is really up to something
Andy Robertson, he's unsung hero. He's only at LFC with good performance week in and week out. Kuna ile mechi Gomez ali-clear mpira kwenye line siku hiyo Van Djik was not good.
Van Djik ni Terry,Rio na Vidic kwa pamoja kwa maneno ya Jamie Redknapp ila naongeza na Lucio kwa jinsi anavyopanda na mpira mbele
I can smell IT, not far away
Man City will be playing against a tricky Southampton, while thinking about our battle with them.
Yes a point is enough for us against City, a win is a bonus for the New Year 2019!
Nafikiri geggenpressing klopp ameiweka bench na imesaidia juu ya kua na injuries not only injuries even fatigue too... sababu hiki ndio kikwazo kwetu.Mwanzoni tulikuwa tunashinda kwa mazabemazabe huku tunacheza vibaya ila sasa hivi tunakupigia na tunacheza vizuri tunakuwa kwenye form nzuri zaidi na zaidi kwenye wakati kama huu
we are really lucky this time around, during this festive season huwa tuna injuries za kutosha ila msimu huu tupo vizuri saana no major injury hadi Lallana mzima wakati huu
Squad management has been great from Klopp tofauti misimu iliyopita ambapo muda kama huu utakuta tuna majeruhi wa kutosha tu
hii style inatakiwa airudi Jan 3 vs man city kwaajili ya Pep ndo style ya kumuuaNafikiri geggenpressing klopp ameiweka bench na imesaidia juu ya kua na injuries not only injuries even fatigue too... sababu hiki ndio kikwazo kwetu.
nakumbuka sir Alex aliwah kusema atataka kuona mwisho wa geggen ni wapi iyo power wataipataje for who season?
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
I real miss ALEZ OX...hii style inatakiwa airudi Jan 3 vs man city kwaajili ya Pep ndo style ya kumuua
Sasa mkuu mimi nimewapa hongera tu..Shekh Yahya siku usipokuja huku utanihuzunisha sana.
Nitapitisha mchango jf nzima tukuchangie kama utakosa hela ya bundle.
Nimependa ujasiri wako wa kula matapishi yako mwenyewe.
Mkuu unakwenda nje ya mada all and all tumeshida lakini watu wanapokosoa upangaji wa kikosi wa klop au sub zake ni muhimu kuzingalia nafkiri kama liver echos wameanza kumkubali faby hii yote ni nguvu ya mashabiki duniani
ukiona mpinzani wetu anatukumbali hivi ujue tupo vzuri....Ninalo neno la kusema kwa nyinyi vijana wa Klopp.
MSIPOCHUKUA EPL MSIMU HUU HAMTACHUKUA TENA. ×3
Kila la kheri kwenu.
haiyaaa na kule alipo mambo hayamwedei poa sana uwanjani....View attachment 978433
Yuda alikuwepo Anfield leo!
We dont miss him at all!
Vipi bado hamna mchezaji wa Liverpool atakaye anza Barca au Madrid team hizi zikichanganywa?
Upuuzi mtupu!