Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kurudi kwa OX ni habari njema sana kwetu lkn ndugu yetu Keita inabidi sasa awe makini akipewa nafasi!
OX anakuja kumrudisha bench asipokuwa makini sababu Fabihno kaisha jihakikishia namba pale kati lkn Keita BADO
 
yah kutoka 0 dhidi ya ARSENAL haiwezekani maana lazma uchezee bakora za kutosha tu yaani nakutwanga bila huruma kama kipigo cha mbwa mwizi nilichokupa 2007 cha bao 6 hapohapo kwenu..............

Mkuu mwenzangu HUWEZI pata hata sare Anfield,hiyo game hata Unai anajua kaisha poteza
 
Kurudi kwa OX ni habari njema sana kwetu lkn ndugu yetu Keita inabidi sasa awe makini akipewa nafasi!
OX anakuja kumrudisha bench asipokuwa makini sababu Fabihno kaisha jihakikishia namba pale kati lkn Keita BADO
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Mkuu mwenzangu HUWEZI pata hata sare Anfield,hiyo game hata Unai anajua kaisha poteza
hhahahahahahah sawa mkuu tusubiri ,tuombe uzima ila kwanza maliza noma kwa newcastle maana itabidi uwe na newcastle vaccine ili uwe safe.......maana huo ndio ugonjwa mkubwa unaowaangamiza majogoo.

mnaweza kufungua box kwa uchungu sana 26dec
 
Kurudi kwa OX ni habari njema sana kwetu lkn ndugu yetu Keita inabidi sasa awe makini akipewa nafasi!
OX anakuja kumrudisha bench asipokuwa makini sababu Fabihno kaisha jihakikishia namba pale kati lkn Keita BADO

Hapana Keita Namba ya uhakika sahivi maana kawa na perfomance nzuri sana kuanzia mechi ya PSG.

Hata juzi walimchezesha pemben ndomana kidogo hakuwa mzuri but Klopp kashamuamin.

OX hii ni machine yetu wana Anfield, Akirud itakuwa bora zaidi itasaidia kuwa na kikosi kipana, hata kama OX atakuwa na no ya permanent lakin kikos cha sub kitakuwa hatari pia. #YNWA
 
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu, Ni heri tusifanye usajili wowote lakin tufanye usajili mmoja tu wa maana kwa kumvuta Koulibally wa Napoli, Nataman sana kuona combo yake na VVD Anfield.

Tutatisha sana na kusumbua zaid England na Europe.
 
Just know that, huwa nakukubali sana Comrade kwa uchambuzi wa facts humu ndani.

Tunapata kujifunza mengi ya nyuma ya pazia hata yaliyojificha. Bravo #YNWA
 
Kiongozi hela ya koulibally ni ndefu sana kwahiyo it will be a challenge to have both vvd and koulibally! but we need to sign young defender or experienced defender from EPL team
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu, Ni heri tusifanye usajili wowote lakin tufanye usajili mmoja tu wa maana kwa kumvuta Koulibally wa Napoli, Nataman sana kuona combo yake na VVD Anfield.

Tutatisha sana na kusumbua zaid England na Europe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…