Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hakuna wakukimbia huu uzi,
Liver hakuna anayempa wasi wasi, tunajua hamuwezi kubeba taji lolote msimu huu,
Hao wanaokimbia ni chelsea ,
Kwan nyie mmeshabeba taji lolote?Kwan the GONO mnabeba taji gani???
Labda taji la kujinyonga
Tuna majeruhi backline yote ,ndio sababu, lasivyo chelsea alikuwa chin yangu leoMimi ingewezekana niko tayari at a kuhonga marefa ili muwe juu ya Chelsea coz ni ujinga Rant boys Wa Chelshit wakiingia Top Four.
Lakini na nyinyi munazingua munalingana points kwa Mara ya pili baadae munarudi nyuma
Mpelekeni Chelsea Futuhi msimu ujao
Eeeh Mungu baba vinavyowapata adui viwapate hadi may
Eeh baba ufanye msimu wetu uwe golden, yasikie maombi yangu baba
[emoji1488]
Pep ukimtangulia anapaniki,Naona Man City anataka kuzima furaha 😡😡
Halelujah [emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Pep aint ready for Hodge's tactical masterclass today
unaikuta wapi mkuu nao wamesimama wanakusubiri uwakute...maana kikosi chako kwa sasa mabeki ni full majeraha...Kwan nyie mmeshabeba taji lolote?
Liverpool mna vituko
Mm nakuita liverpool , ww niite the gono, sijui ndio nn
Wapambe hawatakuwa na nauli za kuja humuHuu uzi itafikia muda tutabakia wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Roy hodgson masterclass at the Etihad today
Bald Pep aint ready
Hoping for hogde's masterclass man
Hodge tactical masterclass show at Etihad
Its really is our take-over season
we've arrived
Tears in my eyes
sweeeeet krismasi 2018....aaa gepu ya pointi 4 aaa imekaa poa sanaNaona Man City anataka kuzima furaha 😡😡
Uwe unauliza sasa, majeruhi ni wengi, but tayari game zijazo wataanza kurejea ,unaikuta wapi mkuu nao wamesimama wanakusubiri uwakute...maana kikosi chako kwa sasa mabeki ni full majeraha...