Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,593
Kila Anaweza Kuona Kuwa Kumbe Huu Ni UZI Wa AMANI na UPENFO iwapo Yule HENDO-FANBOY hayupo Online.
Lakini Akiibuka yeye nadhani unageuka uwanja Wa Malumbano.
kuhusu armband, nadhani Klopp anai manage hii situation wisely ili ku consolidate harmony iliyopo sasa dressing room.
juzi hapa amewa sound out VVD na Alisson kama captain material, lakini amesisitiza leadership qualities za Hendo & Millie kama ndiyo msingi wa existing squad harmony.

adui mwombee njaa (au kipindupindu kabisa.....hahahaa!)Game ya kwanza Man City kupoteza ilikuwa yetu, kabla ya hapo alikoswa koswa na hao Crystal Palace kwa kutoa 0 - 0, tena Palace wanakosa penati kwenye added time.
Let's hope for the best, ingawa ni ngumu.
Kila Anaweza Kuona Kuwa Kumbe Huu Ni UZI Wa AMANI na UPENFO iwapo Yule HENDO-FANBOY hayupo Online.
Lakini Akiibuka yeye nadhani unageuka uwanja Wa Malumbano.
Jana kachokoza mjadala kwa kutaja MOTM, naona mkamchunia.
Jana kachokoza mjadala kwa kutaja MOTM, naona mkamchunia.
Huwa anaiangalia Amani iliyopo akiona Ni Shwari basi anachokonoa chochote alimradi tu abishane
Let us embrace the spirit of togetherness please, yaliyopita sindwele...tugange yajayo wakuu. We are one big family.
YNWA...!
Naweza Nikawa na some hope kwa Leicester v/s Man City lakini si kwa leo
Naweza Nikawa na some hope kwa Leicester v/s Man City lakini si kwa leo
Uefa lile kombe lilikuwa letu karius ndo aliamua kuwazawadia Madrid!!kwahiyo ipi ni tofauti ya attacking force yako kwa msimu uliopita na msimu huu?maana naona wachezaji ni walewale sanasana wameongezeka ..........
... kama kweli angekuwa hamuhitaji kuwa captain au kwenye squad altogether, hii ilikuwa the best opportunity kwa Klopp kummwaga kijumla - i.e kutompanga ili awe frustrated na achape lapa mwenyewe!
logically speaking that's.
Huo ndio mpira wa miguu. It is a battle. Pressure ya game ilikuwa juu. Wolves sio mchezo.Jamaa anachosema ni sahihi, sema timu inapokuwa inashinda huwa tuna kawaida ya watu kutoangalia weaknesses, lakini ni kitu muhimu sana.
Sema kwa hali ya injuries za kina Gomez, TAA na Matip, defense imekuwa siyo ya kuiamini sana.
Hata mwishoni kuna Robertson alijikuta mpira unamgonga forward akachukua, sema jamaa naye mawenge akapiga nje huko.
heheheeee!Solskjaer, Rio Ferdnand, Roy keane - boyhood LFC fans
Joe Allen, Henderson - boyhood Manchester united fans
imagine if we had to swap these players lol