Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mazuri ni mengi zaidi ya mapyngufu.
 
Naona jamaa haja check hata statistics za game zilivyo, umiliki, mashambulizi nk

Jamaa anachosema ni sahihi, sema timu inapokuwa inashinda huwa tuna kawaida ya watu kutoangalia weaknesses, lakini ni kitu muhimu sana.

Sema kwa hali ya injuries za kina Gomez, TAA na Matip, defense imekuwa siyo ya kuiamini sana.

Hata mwishoni kuna Robertson alijikuta mpira unamgonga forward akachukua, sema jamaa naye mawenge akapiga nje huko.
 
Too sweet to be possible, hii ligi huwezi kuiwekea malengo hayo aisee.

We need to take one game at a time, and each game is a key game.

He was answering those reporters kuwaonyesha kuwa msimu huu ni mgumu unless you achieve the impossible which is to accumulate hizo points 105!
Hakuwa anaongea boostfully...no.
 

Halafu siyo kila siku timu itakuwa "perfect", cha msingi tunashinda hata kwenye siku ambazo hatuko perfect...and that's a good sign!
 
Kwa mchezaji kutofanya kosa kabisa hali haliwezekani kama bina adam tatizo lipo kwa Lovlen tu hajiamini na ukabaji wake ni tatizo
 
He was answering those reporters kuwaonyesha kuwa msimu huu ni mgumu unless you achieve the impossible which is to accumulate hizo points 105!
Hakuwa anaongea boostfully...no.

Hapo nimekupata aisee, maana kiukweli jinsi Liverpool na Man City wanachuana si mchezo, na wakati huo huo Tottenham na Chelsea hawako mbali pia.
 
Ya Faby haikua back pass na kama upo makini wale jamaa wamenasa pass ngingi tu nazani jambo walio lifanyia kazi kuwaotea pass njiani
 
kwahiyo ipi ni tofauti ya attacking force yako kwa msimu uliopita na msimu huu?maana naona wachezaji ni walewale sanasana wameongezeka ..........
 
Carragher: "He scored a great goal for Holland a few weeks ago. His goal record isn’t great considering his size but the type of goal he got there, how many centre backs would put that over the bar?"
Mimi kufunga sio issue ila anachonifurahisha ni beki pure wa kisasa ni nadra sana kuona anaenda chini kila muda yuko katika position na anacheza simple lakini hakupi nafasi, yuna all good partners lakini huwa nawaza tu tunaongeza na coulibaly wa Napoli haaaa hapo shughuli maana wote vifaa, sisemi kina Lovren au Gomes wabaya wazuri sana tu basi nawaza tu.
 
Imagine Tunakuwa na Combi ya Koulibaly-VVD what will happen?
Mimi nime comments kabla sijaona hii yaani mimi na wewe tuko na mawazo sawa kabisa. nakuhakikishia atakayepita mwanamme au labda penalty tu ni hatari ila sasa Gomez ana future na mzuri sana tu lakini hiyo Koulibaly+VVD hapana hiyo siyo ya nchi hii itakuwa kama ile ya Milan Baresi na costacurta
 
Halafu watu wanakwambia alikuwa akinunua mech hiv chukulia van der sir, nemanja vidic,rio ferdinand, patrice evra na garry nevile unapita wapi au wes brown.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…