That Bayern
mkuu huyu Fabinho makali yake jana si mchezo aisee....Next game:
December 21
• Wolverhampton Wanderers v/s Liverpool
Hawa madogo msimu huu wabishi kweli! Wanaweza game kuifanya Ngumu
Clyne nilimuhofia ila amecheza vizuri. Squad depth
1st Leg ni Anfield
2nd Leg ni Arena
Ingelipendeza zaidi 1st Leg tukaanza Arena, then 2nd Leg tukamalizia Anfield ili tuwageuze kama Napoli na mbwembwe zao.
mkuu huyu Fabinho makali yake jana si mchezo aisee....
Monaco nao kama Roma watakua wanaumia sanaa maana ni perfomance moja ya nguvu sana kutoka kwa huyu ndogo...
Yajayo yanafurahishaaaa
Alianza Kuperform well against Everton, then akaboreka zaidi dhidi ya Napoli, Then Akaboreka tena zaidi dhidi ya Manure Jana.
Next game dhidi ya Wolves ?????
ile pass ya Mane goli la kwanza, mannnnnn that world class...Alianza Kuperform well against Everton, then akaboreka zaidi dhidi ya Napoli, Then Akaboreka tena zaidi dhidi ya Manure Jana.
Next game dhidi ya Wolves ?????
ile pass ya Mane goli la kwanza, mannnnnn that world class...
then his defensive work bana solid workholic...ball distribution nayo yupo sahihi...
come on Wolves i smell 3 more points added..
Kikosi cha pili cha Premier !Mnachekesha, mnacheza na kikosi cha pili mnashangilia...[emoji57]
Kwa Bayern hii ya sasahivi inayosuasua Bundesliga ambayo alikuwa na hatimiliki nayo nakuhakikishia sina wasiwasi tunatinga Quarter Final
Aendelee kukaza hivyo hivyo ili lile garasha liwekwe pembeni.
UEFA mpaka inafika inabidi tuwe tumeshakuwa na strong combination kwenye Mid, ili tuweze kufight. Maana game 1 VVD hayuko, so Mid inabidi uwe ya kueleweka.
EPL atakae chomoka ni Man city peke yake.
Naye kwa droo kwakuwa atakuwa kwake...
Messi won't shine against Gomez, vvd, Robertson and Trentlowkey want Barca too
but Messi is the main problem
anyway, will be a good test man