Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,472
- 32,923
taratibu D, hao Barca wakiwa na Gurdiola wao walichezea kichapo kutoka kwa wakali Majogoo nje ndani sikumbuki vyema nadhani ni 2007 vile,...kwa
barca ile hata wewe ungetetemeka maana sio kwa pira lile lililokuwa linapigwa....sio hii ya kina dembele na coutinho tia maji tia maji kina real betis wanajipopolea tu kama mwembe wa uwani pale camp nou
nitakusubiri hio soon tuongee vizuri sio mbali sana ni 29/12/2018Acha kuongea utumbo, arsenal huijui tulia ufundwe au uliza
Mlianza kwakusema arsenal Haitapita salama mwez wa 11 na wa 12 maana ndio miez migumu kwa arsenal toka 2007,
Huo mwez wa 2. , had wa 5 huwa sio miez migumu ya arsenal ,
Usipende kuropoka, huyo wenger pamoja na kuishiwa mbinu bado alifanikiwa kutuletea ndoo 3 za FA CUP NA 3 ZA FA COMMUNITY SHIELD
usitegemee kuiona arsenal ikitetereka tena, Kitu alichoongeza unai ndan ya timu ni kikubwa, tegemea kuona ,nikikupumulia hapo juu,
Soon tutaongea vizuri,
Huenda alikua hajazaliwa sasa kam hajui
Mkuu hivi tulizoshinda 18 hua wanakosea kuzisema au baada ya 1992 hii EPL ina maana zile zamani hazihesabiki ebu tuambiekipi
kipindi munaokoteza virekodi vyenu uchwara basi mutuwekee na ile rekodi yenu ya kukata na shoka kuwa LIVERPULU HAIKUWAHI KUCHUKUA EPL
Fact mkuuUkicheki argument zake unakaridia kwamba yuko kwenye 25/26, ukirudi nyuma miaka 13 kuipata 2005 unapata around 12/13, hapo ni std 6/7 ambayo ni as good as a kid, alikuwa hajui chochote.
Ndo maana kila mkijadili kitu wanataka muanzie pale wao walipoanza kushabikia mpira.
Mambo ya kupaki au kutopaki basi Mourihno hayamsumbui. Yeye anaamini matokeo ndo muhimu kwake. Naamini nyie pia kocha wenu anajua nini ni muhimu kwakebiggest game in EPL no doubt...hope th bottle kicking master dont park th train like his two previous visit at Anfield...
Should be thriving like old skol vs manures games
Mkuu hivi tulizoshinda 18 hua wanakosea kuzisema au baada ya 1992 hii EPL ina maana zile zamani hazihesabiki ebu tuambie
Mkuu ni sahihi kabisa wapo wengi wanatafuta faraja....sie Liverpool wanatupa faraja matokeo murwa kabisa asa hawa wengine faraja wanaipata humu JF tena uzii huu huu wa MajogooUnapoteza muda kubishana na mtu anayejua anachokifanya, so anajichagulia kasehemu ambako anajua katampa faraja.
Huna kiungo cha kupambana na arsenal, hiyo tarehe 29 jiandae kisaikolojianitakusubiri hio soon tuongee vizuri sio mbali sana ni 29/12/2018
Mambo ya kupaki au kutopaki basi Mourihno hayamsumbui. Yeye anaamini matokeo ndo muhimu kwake. Naamini nyie pia kocha wenu anajua nini ni muhimu kwake
Mnajidanganyaga sanani wale wale kimtindo maana nimefika fainali mbili Futuhi na Uefa bila kuchukua ndugu,
japo kombe nilkosa lakini upande wa malipo kwa kufika fainali zote sio haba ni usd shwari kabisa
kucheza Uefa pia kunavutia wachezaji bora VVD, Allison,Keita, Shaqir n.k walitua hapa kwa vile uhakika wa kushindana na wanaojua (Uefa) upo kabisa...
Liver wakijidanganya wewe arsenal unaumia nini? Ndio maana timu yako ilipigwa goli 8Mnajidanganyaga sana
Wewe ndio maaana litimu lako ni la UKAME,Liver wakijidanganya wewe arsenal unaumia nini? Ndio maana timu yako ilipigwa goli 8
Liver hii ,soon tutaikuta nje ya top 4ni kweli mpira una matokeo matatu dro,kufungwo au kufunga, mpaka sasa Manure wapo nyuma pointi 16 hivyo kuja kusaka dro ni kujimaliza wenyewe maana kwa kasi ya ligi EPL inavyokwenda watajikuta nje ya big 4 kabisaa na kushiriki futuhi mwakani kama wakikomaa kuipata hata hio nafasi ya 5...
Ni sahihi Klopp afanye yake kuifumua hio basi nwei kesho itajulikana kidume nani
Wewe ndio maaana litimu lako ni la UKAME,
Unakuwaje kwenye litimu lina ukame wa vikombe
Kukaa hapo juu bas unahis kama ushachukua epl, wakat unajua soon unaporomoshwa had nafas zako ,
Ova2011 umemaliza form 6, assuming ulikuwa na 19 years.
Arsenal last time kachukua EPL 2004, miaka 7 nyuma, which means you were just 12 (19-7), most likely ulikuwa hujaanza ushabiki wa mpira.
Kati ya watu ambao hawakutakiwa kuipigia kelele Liverpool ni wewe, una timu ambayo ukiacha tu kwamba haijachukua muda mrefu ni kwamba haina hata historia ya kujivunia.
Kesho Man united atanichinjia jogoo tena na kisu butu...Ni Anfield mkuu sio OT
Pale hatoki mtu salama
Ova
Mkuu hapa ushamaliza kwa comment hii
Sasa ww umempa fact ila yey hatokupa fact milele nakuapia
utabiri wako jitabirie mwenyewe angalau msimu huu uambulie big four...Liver hii ,soon tutaikuta nje ya top 4
Uzuri kwasasa mtapata matumain ,ila mwisho mtakapopiga mahesabu mtajikuta mna ZERO TROPHIES
Kesho Man united atanichinjia jogoo tena na kisu butu...
Tutamnywa supu bila kumnyonyoa..