Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
sawa nimekuelewa na kuhusu kuchangamka kwa jukwaa hilo silipingi kwasababu mimi sehemu ambayo ipo active hunikosi......na la kuzingatia suala la jukwaa kuchangamka ni kama mbio za vijiti kuna muda inakuwa hapa,muda mwingine chelsea,man utd ,ARSENAL FC na kwingineko ila sisi tuna consistancy hilo linafahamika
Hilo ni Kweli kabisaYani Ndani ya Misimu 3 Wenger aliwafanya Uzi wenu Mulimuachia McDonaldJr pekee tunampa support sisi wengine!
Huu utitiri wenu uneibuka baada ya kuondoka Wenger then unasema Muna Consistency???
Acha utani bro..
Uzi ambao Ni Most Consistent hapa JF Ni Liverpool pekee Koz Hata timu iwe na msimu mbovu vipi basi hapa utatukuta tu japo kwa kugombana sisi kwa sisi.
Dully utulie ivyo ivyo aje yeyote tutakua tayari ndugu...kwahapo BVB ndio level yako hao wengine hapana watakuua mapemaaaaaaaaaaaaaa
hawa kwao msimu uliopita kwao walikula 4G hivyo na awamu hii tutakwenda nao sawa...porto wale mabingwa wa zamani nao wana uchu nalo hilo kombe so ukikutana nao jipange kisaikolojia
ndio akina nani hao Mkuu...liverpool halisi vs liverpool chipolopolo
lakini mkuu je, wale wanaotoa zaidi hoja zao katika blue hapo ila katika red hawazingatii kabisa sasa hao bado ni marafiki wazuri?Ukiwa na akili za kwamba anayekukosoa kwa ajili ya kukurekebisha amekutukana utakuwa na wakati mgumu sana kwenye maisha yako.
Rafiki mzuri ni yule anayekueleza direct mapungufu yako, anayekupa ABCs za weakness na strength, ili kama kuna cha kufanya kazi ufanyie.
wanajijua mkuu........ndio akina nani hao Mkuu...
lakini mkuu je, wale wanaotoa zaidi hoja zao katika blue hapo ila katika red hawazingatii kabisa sasa hao bado ni marafiki wazuri?
Just GoogleMkuu watu hawa Grienzmann, Asensio akukose akiwa amebaki peke yake na kipa?!!
inawezekana kipindi cha wenger out wewe ulikuwa bado hujajiunga JF sasa nakupa kazi nenda kule kafukue makaburi kama una muda iwapo utanikosa katika watu waliokuwa wanamtetea PROF........mimi sio mnafki wa level zako,wewe ni mnafki wa SGR........Hivi Wakati Wa WENGER OUT ulikuwa wapi wewe? Mbona sikukuona ukitumia Nguvu nyingi kama unazotumia hapa Kumtetea Wenger?
Ni McDonaldJr pekee ndiye aliyekuwa akimtetea Wenger!!
Lakini Leo hapa unatumia Nguvu nyingi kwa something that doesn't concern you.
Unafiki mwengine bhana!
cc: bardizbah & Captain Marvelous
huyu dogo mbishi inaonekana walimpa jezi ya liverpool akasema hapana napigilia hii hii everton yangu
Nadhani unakera wengiinawezekana kipindi cha wenger out wewe ulikuwa bado hujajiunga JF sasa nakupa kazi nenda kule kafukue makaburi kama una muda iwapo utanikosa katika watu waliokuwa wanamtetea PROF........mimi sio mnafki wa level zako,wewe ni mnafki wa SGR........
kwani mimi nakukera ndugu yangu?kama nakukera sema tu usijali
Mkuu usiwe na hofu hapo hata Fabihno anapiga tu beki 4Kwa injuries tulizonazo za Gomez na Matip sasahivi Ni VVD na Lovren pekee ndiyo waliobakia..
Nadhani Hawa Madogo Conor Masterson and Nathaniel Phillips wamapaswa Kuitwa Kikosini ili wawe Standby in Case Lovren or VVD ataupia au kuwa suspended.
hivi Clyne majeruhi au kiwango ndio kimekwenda na maji hata kua benchi au kupata namba wakati kama huu kuna majeruhi pia ni shindaa...Kwa injuries tulizonazo za Gomez na Matip sasahivi Ni VVD na Lovren pekee ndiyo waliobakia..
Nadhani Hawa Madogo Conor Masterson and Nathaniel Phillips wamapaswa Kuitwa Kikosini ili wawe Standby in Case Lovren or VVD ataupia au kuwa suspended.