Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

CL haiangalii GD tu Bali inaangalia Kwanza:
1) Points: Tulipolingana points wanaangalia pili:
2) Head to Head: Kama Head to Head tupo sawa basi tatu wanaangalia:
3) GD: Iwapo tofauti ya Magoli ya Kufungwa na Kufunga tupo sawa basis NNE wanaangalia:
4) Aliyefunga Magoli mengi: Sasa sisi na Napoli tupo sawa Kwenye 1 mpaka 3 lakini Kwenye 4 tumemzidi sisi tumegunga magoli mengie zaidi kuliko yeye Mana kwenye Red Star pekee tumegunga magoli 4.
thanks ndg yangu nimekuelewa vizuri sana kwahyo kama ingetokea tumelingana kila kitu na psg basi ingekula kwetu
 
Bado kwenu Klopp is not a top
Manager na BVB walituuzia fwamba?
Ehehehe jamani tutunze maneno

Mkuu Ni Kweli Tunamlaumu Klopp lakini Kuwa Mkweli sema kile tunachokisema tafadhali nakuomba kwa Hilo.

Mkuu unajua wazi Kuwa Hatujawahi Kusema Klopp Ni Kicha Mbovu.

Tulichosema sisi Ni Kuwa Klopp sio World Class Manager Kwasababu bado Hajatupa Kombe.

Lakini Hatujasema Kuwa Klopp Ni Kocha Mbovu.

Wala hatujasema Kuwa Klopp sio Top Manager.

Kuna tofauti Kati ya World Class na Top Class Mkuu.

Klopp Ni Top Class lakini sio World Class.

Mwisho Wa Huu Msimu Tutatazama atakachopata na ndiyo Dunia itamuhesabu Kuwa Ni World Class.

Kuwa Mkweli sisi hatujachanganyikiwa tunajua tunachokiandika.

Halafu jengine Ni Kuwa Kocha Tumpime mwisho Wa Msimu Tusiangalie Kushinda Mechi.
 
Man, Gomez will find it hard to take his spot back from Matip

what a performance today......

Mr. Lovren will be out of the squad soon, the way this shit is heading lol

Matip is injury prone he will not last longer... Soon atarudi Kitandani kuuguza majeraha.. Let's pray awe fit mpaka Gomez apone.
 
IMG_4708.JPG

What a save!!
 
Niliona leo mkishinda toka mapema

Hongereni majogoo, naombeni wikiend nipigien man u kipigo cha mbwa koko,

Ila kwa upande mwengine sio mbaya
Kwenye futuhi hakutakua na fujo sana

Nadhani umemuona vizuri huyo Napoli jipange Kisaikolojia
 
Mkuu Ni Kweli Tunamlaumu Klopp lakini Kuwa Mkweli sema mile tunachokisema tafadhali nakuomba kwa Hilo.

Mkuu unajua wazi Kuwa Hatujawahi Kusoma Klopp Ni Kicha Mbovu.

Tulichosema sisi Ni Kuwa Klopp sio World Class Manager Kwasababu bado Hajatupa Kombe.

Lakini Hatujasema Kuwa Klopp Ni Kocha Mbovu.

Wala hatujasema Kuwa Klopp sio Top Manager.

Luna tifauti Kati Kati ya World Class na Top Class Mkuu.

Klopp Ni Top Class lakini sio World Class.

Mwisho Wa Huu Msimu Tutatazama atakachopata na ndiyo Dunia itamuhesabu Kuwa Ni World Class.

Kuwa Mkweli sisi hatujachanganyikiwa tunajua tunachokiandika.

Halafu jengine Ni Kuwa Kocha Tumpime mwisho Wa Msimu Tusiangalie Kushinda Mechi.

Jamaa ana gubu kama za kina mama, akishikilia kitu anakomaa nacho hata umweleweshe vipi hakwelewi.

Matter of fact, hatukutakiwi kuwa kwenye position hii ya kutafuta nafasi last minute kama siyo makosa ya Klopp. Asingewadharau Red Stars tungeshinda na hivyo tungebaki tunatafuta droo tu.

Sasa kwa kuingia 16 bora tayari tunalazimishwa kwamba he is a World Class Manager!

He needs to prove it by winning EPL this season. Otherwise he is just average.
 
Nadhani umemuona vizuri huyo Napoli jipange Kisaikolojia
Kwa timu yangu simuogopi yeyote, hasa hao waitaly,

Huyo napoli msimu uliopita alipiga mpira mkubwa naweza kusema kuliko mwaka huu, mbele ya city, mech zote mbili

Alipishuka europa ,alikutana na kidagaa akatolewa,

Huku timu ngumu ni arsenal na chelsea tu,

Huyo intermilani, napol, hawana ubavu kwa timu za england,
 
Bado kwenu Klopp is not a top
Manager na BVB walituuzia fwamba?
Ehehehe jamani tutunze maneno

Team imefanikiwa kupita kwenye hatua ngumu after 3 losses in row kwenye away grounds

instead of celebrating with your fellow reds for winning a great match which seemed impossible and difficult to win unakuja na subliminal za kipuuzi kama hizo,

it seems unaangaliaga match kwaajili tu ya after match - reactions za humu ndani, and i guess you have never celebrated ushindi wa team yako properly.

grow up you stupid man.
 
Thank you, nimejibana sana kumjibu aisee.

Jamaa atakuwa na shida binafsi, siyo ushabiki tu huu.
 
Team imefanikiwa kupita kwenye hatua ngumu after 3 losses in row kwenye away grounds

instead of celebrating with your fellow reds for winning a great match which seemed impossible and difficult to win unakuja na subliminal za kipuuzi kama hizo,

it seems unaangaliaga match kwaajili tu ya after match - reactions za humu ndani, and i guess you have never celebrated ushindi wa team yako properly.

grow up you stupid man.

Yani Jamaa Ana Majungu Sana inaonesha Hata Huko Mtaani Na Kazini Ni Full Majungu Kwa Staff wenzake...

Yani sisi tunapopoteza Mchezo tunalaumu kwa pale palipofanyika Kosa la Wazi..
Tunaposhinda Tunasherehekea na hatulaumu Hata kama kuna kosa la kiufundi limefanyika Bali tunalipuuzia...

Lakini yeye anaangalia nani kasema Nini na nani kakosoa Nini..

Na akishashikilia jambo anakuwa kama Mwanamke.
 
Tuchel: "Anfield won't bother us"
4-3

Nagelsmann: "I am not overly in awe of this club"
4-2

Carrera: "We don't fear Anfield"
7-0

KDB: "I don't think atmosphere matters"
3-0

Neymar: "Liverpool won't finish top 4"
3-2

Mertens : "I saw the Anfield sign. Is this so special?"
1-0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom