HAO NI WASHANGILIAJI WA LUZA PULU SIO MASHABIKI,MASHABIKI WA LUZAPULU HUWEZI KUWAKUTA JF NA FB MANA ZAMA ZAO ZILISHAPITAGANilikuwa najiuliza hii timu huku ndani wanatoafautiana kwa sababu gani kumbe kuna watu wanaoamini wanajua sana wakati hawajui chochote ,kama unashindwa kujua midfield ya timu yako ambayo ni first eleven, Mimi sijakulazimisha ushabikie timu hii,jipange haujui na bahati mbaya haujui kama haujui .
1990 mara ya mwishoMARA YAKO YA MWISHO KUCHUKUA EPL LINI?
ULIKUWA UMEZALIWA TAYARI AU ULIKUWA KATIKA ZIPU?
NAONA BADO UNAOTA ILA UKIAMKA UTAPATA MAJIBU
Sinaga chama bahat nzurWewe shabiki wa chadema usiyeijua team yako unalazimisha kwa ufahamu wako kocha afuate akili zako ambazo kimsingi haziwezi ongoza hata kundi la nyumbu na bata utasubiri sana ,
Nilikuwa najiuliza hii timu huku ndani wanatoafautiana kwa sababu gani kumbe kuna watu wanaoamini wanajua sana wakati hawajui chochote ,kama unashindwa kujua midfield ya timu yako ambayo ni first eleven, Mimi sijakulazimisha ushabikie timu hii,jipange haujui na bahati mbaya haujui kama haujui .
na ndio maana nasema humu kuna washangiliaji wa luzapulu maana unaulizwa swali hata majibu huna kiukweli wewe HUJAWAHI CHUKUA EPL TOKA DUNIA IUMBWE1990 mara ya mwisho
Vp ww mara ya mwisho kuchukua uefa ilikua lin ???
Sawa arsenal the GONOna ndio maana nasema humu kuna washangiliaji wa luzapulu maana unaulizwa swali hata majibu huna kiukweli wewe HUJAWAHI CHUKUA EPL TOKA DUNIA IUMBWE
Eeeh Mola Twakuomba Iwe ikawe InshaAllah.
epl sio mchezo SG mwenyewe kaishia kuona wanaume kina Thierry14 wakilibeba yeye mpaka anaingia kaburini hajawahi hata kulisogelea itakuwa wewe..........na hapa ndipo ninapoona tofauti ya washangiliaji na washabiki sasa wewe endelea kushangilia wakati washabiki wametulia tuSawa arsenal the GONO
Sinaga chama bahat nzur
Hiyo CHADEMA unaijua ww
Kalale umeshiba pesa za posho za majasho ya watu wanyonge wanao hangaika mchan na usiku[/QUOTE
Tuendelee kuunga mkono juhudi za makocha wetu wameaminiwa na management, wakiboronga tuna haki ya kushauri mgt iwatimue sio kuwapangia kazi as if we are employer,Mimi nilikuwa mlalamikaji mzuri lakini sasa ivi naunga mkono juhudi ya mwalimuUpo sahihi coz pia utakuwa unamaanisha wale washabiki wenzio wanaowalalamikia Alonso, Morata, Willian nao hawajui mpira wala hawajui FXI ya timu yao