Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool wanahitaji kucheza kama hawatocheza tena, vivyo hivyo kwa SS Napol. Inawezekana Liverpool wanauhitaji mkubwa sana wa alama tatu(3), ila pengine SS Napol wanauhitaji mkubwa zaidi wa alama moja(1).

Kitu kizuri kwa Liverpool ni kuwa mchezo huu wanaucheza nyumbani(Anfield).... Home ground mentality imekuwa nzuri kwa Liverpool na kitu pekee chakuchunga kwao ni kutowaruhusu Napol kupata goli, kwamaana ya kwamba Liverpool inahitaji alama 3 na clean sheet juu.

Ni fainal kwa Liverpool kabla ya fainal. Sina shaka na current form ya Liverpool kwa sasa ila ninashaka na form ya Liverpool kwenye champions league. Wanachokihitaji ni kufanya Shift tu ya kuuhamisha ubora wa kwenye EPL kuupeleka Champions League.
 
Kwa nini asingeanza hata Fabinho kama Keita kocha hajamwamini, duh hii shida nyingine hii
 
Kuna watu humu mawazo yenu sijuwi yakoje,kocha lazima awe na first eleven na first eleven yenu inajulikana ,mtu anataka wachezaji wa majaribio wacheze ,mkishinda jipongezeni mkifa basi ni mchezo ,kujifanya mnajua kuliko kocha ni ujinga na uchizi kutomwamini dereva ukapanda gari ni uchizi mwingine.
 
Mara ya mwisho unashinda kwa united ..ilikuwa msimu gani vile??

#YourNowInEuropa.
 
Endelea kujipa matumaini ...leo huna pa kutokea..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…