Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mine is Allison/milner/matip/vvd/Robertson/gini/keita/fabinho/salah/Bobby/mane

Najua ndezi wasiotutakia mema wanaumia


Mine is 4 - 2 - 3 - 1
.............. ALISSON

TAA - MATIP - VVD - ROBBO

............ GINI - FABI

MANE - BOBBY - KEITA

............. SALAH

Nakuhakikishia before HT tunaimaliza game
 
Mwisho wa msimu utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 man city
4 Liverpool

Kweli Upenzi Upofu!! Ivi ndiyo umeaminishwa Na Wapiga Ramli kuwa Spurs na Chelsea watamaliza juu ya Liverpool na Mancity?

Kabla ya Kufikiria Nafasi ya Kwanza, Ungelianza Kumfikiria Arsenal kuwa Muda wowote atakushusha

Lakini sikushangai inawezekana nawewe Ni katika Walioyapokea Kwa Mikono Miwili mawazo ya Neymar ya kuwa Liverpool Haitomaliza ndani ya Top 4.
 
This is Liverpool! Kuna mpuuz nilimwambia humu kuwa december hii licha ugumu wa mechi za EPL hizo 5, but liverpool ataenda kukusanya points zote 15 na kukaa kilele.

Now tumepiga mechi 3 ngumu kabisa na kufanikiwa kujizolea 9 points, na kukaa kilele.

Let'go sasa Napoli ajiandae kwa kipigo cha mbwa koko pale Anfield, The King is Back.
 
Liverpool haina kocha wa kuwapa makombe labda vikombe vya chai tu
 
Sisi hatuna shaka na nyie kuongoza ligi kwa "kipindi hichi" maana huu ni wakati wenu tena mzuri tu. Msipoongoza msimu huu hamtaongoza tena ndani ya misimu miwili/mitatu ijayo. Mpambane maana huu ndo wakati Liverpool ipo kwenye kiwango bora kabisa. Klopp atakuwa na bahati mbaya kama atatoka mtupu msimu huu.

Wachezaji karibu wote wapo kwenye good moody na wanaongea vizuri na kocha wao Klopp.

Enewei ..karibu sana EUROPA.
 
Kuifunga SSC NAPOLI sio rahisi kihivyo. Ni lazima ukubali Ku loose upande mmoja. Angalia ni wap panakufaa zaidi UEfA or EPL..
 
My preferred team against Napoli

Allison-TAA-Matip-VVD-Robertson/Fabinho-Keita/Shaqiri-Mane-Firmino/Salah

but wont be suprised to see Henderson and Milner in the midfield.
hapo kwenye TAA akae milner the rest are fine
 

Mkuu usijibebeshe False Hope sisi hatuji Europa tunamfunga Napoli na Kusonga mbele
 
dreams are made of thissssssss n we dare dream if Keita, Faby combo imekaa poa sanaa waedelee kuwepo uwanjani.....na Salah acheze kati kati kama central srika kama jana then wonders il keep happening....dreams come true
 
Mine is 4 - 2 - 3 - 1
.............. ALISSON

TAA - MATIP - VVD - ROBBO

............ GINI - FABI

MANE - BOBBY - KEITA

............. SALAH

Nakuhakikishia before HT tunaimaliza game
This will be very compact mbele and reduce chance ya open game... Trent and robbo will also suffocate hapo mbele

TBH... Trent bado kea critical game Kama hi
Milner experience mattrrs
 

Let him, go down, no...! deep down
 
People really thought Faby and Keita would flop at LFC

Ballers arent made for those occasions man

and the scary thought is, ndiyo kwanza wanaanza kutulia

wait till Ox is back.
Klopp said Faby came from a diffrent rythym of futbal wachache walishindwa kuelewa alivyosema Faby il take tym to adapt to th demands of his position..but now he is settling mdogo mdogo n th signs r bright future commandin th center...Keita nae mzee wa nutmeg tricks ile kasi yake iliyofanya tutoe mahela yote inaanza kuonekana..sio rahisi kuvaa ile jezi ya Liverpool na wakatwangusha...so far so good..
Mr Utlity Man Milner jana as usual alipopangwa kafanya yake huku akitimiza mechi ya 500 EPL, milestone n he aint stoppin soon.
 
This will be very compact mbele and reduce chance ya open game... Trent and robbo will also suffocate hapo mbele

TBH... Trent bado kea critical game Kama hi
Milner experience mattrrs

I agree with you about Milner to play ahead of TAA vs Naples

Milner ni mchezaji ambaye wengi tunampenda sana!

Lakini ni makosa tu ya kimfumo yaliyofanyika ambayo yalifanya tumlalamike!

Hope Kocha hatarudia tena mido ya Hendo-Gini-Milner ambayo imeshindwa Kufanya Kazi kwa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…