Kweli kbsa mkuuu. Kwa nmna tulivyo msimu huu inatakiwa tunyanyue kwapa kombe llteNaona saivi mnapeta. Hongereni bana..
Msipobeba kikombe chochote msimu huu, basi hamtabeba tena ..maana mumekuwa na wakati mzuri msimu huu.
Naona saivi mnapeta. Hongereni bana..
Msipobeba kikombe chochote msimu huu, basi hamtabeba tena ..maana mumekuwa na wakati mzuri msimu huu.
soka linaenda kwa era nyinyi mtasubiri mpaka Miaka 30 mbona unayo haraka? city na Chelsea acha wabadilishane ubingwa wewe ulijirimbikizia zamani hauna nguvu hizo unajitahidi tu ,tupo hapa tutaendelea kukumbushana itakapofika may, tuombe uzima tuKumbe na Wewe Unakariri Past events?
Nadhani Mwaka 2003 ungeliulizwa kuwa Chelsea katika Maisha Yake anaweza Kuchukua EPL?
Ungelijibu haitotokezea Chelsea kubeba EPL kwani Wamepita Kina Zola, Di Matteo, Deschamps, George Weah na wote hawakubeba waje wabebe Kina Kalou na Malouda?
Wivuu tuu umewabanasoka linaenda kwa era nyinyi mtasubiri mpaka Miaka 30 mbona unayo haraka? city na Chelsea acha wabadilishane ubingwa wewe ulijirimbikizia zamani hauna nguvu hizo unajitahidi tu ,tupo hapa tutaendelea kukumbushana itakapofika may, tuombe uzima tu
Kabisa broNow keep playing our best footballers in every game possible and we may have a great shot kwenye EPL title come may.
we cant afford to drop un-necessary points now.
...and we need to add depth kwenye attacking area na 1 good defensive cover
if we can manage to finish really strong kwenye hii busy period, then we can start to dream.
soka linaenda kwa era nyinyi mtasubiri mpaka Miaka 30 mbona unayo haraka? city na Chelsea acha wabadilishane ubingwa wewe ulijirimbikizia zamani hauna nguvu hizo unajitahidi tu ,tupo hapa tutaendelea kukumbushana itakapofika may, tuombe uzima tu
Hii inaweza kuwa mwanzo mwisho till mayFinally tumefanikiwa Kuongoza Ligi baada Ya Kumfukuza Man City kwa Points 2 kwa Kipindi cha Miezi 5 (From August - December).
Hii inaweza kuwa mwanzo mwisho till may
Thanx broSemeni ahsante kaka
Semeni ahsante kaka
Me ntasema baada ya matokeo ya TotSemeni ahsante kaka
EPL kwa miaka mingi anayeongoza ligi kabla na baada ya xmass uwa anakuwa bingwa wacha tuone mpka xmass tutakuwa position ganiI hope so
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Semeni ahsante kaka
Hatimaye umeongoza ligi. Hongera! Pambania kombe huu ndo msimu mzuri kwa Liverpool...At least umebadilisha Gia angani zile kauli zako za "September is coming" "October is coming" zimeshatoweka