Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Record nzuri ila team aliyopo hawezi kuchukua epl trophies, angalia uliowaorodhesha wote wamechukua na team zao ,narudia tena na team zao kasoro Torres aliambulia patupu na liver yake na kufunga kote kwa haraka
 
Keep dreaming watu wanazidi kuchanja mbuga...!! kwa tafsiri yenu LFC haitakaa ichukue epl.
 
Record nzuri ila team aliyopo hawezi kuchukua epl trophies, angalia uliowaorodhesha wote wamechukua na team zao ,narudia tena na team zao kasoro Torres aliambulia patupu na liver yake na kufunga kote kwa haraka
rekodi ni ya kufunga magoli mengi kwa mechi chache kama hiyo rekodi inakuuma waambie hao waliyomweka hapo wamuondoe kwenye hyo rekodi
 
record bila vikombe ni makelele tu siwezi kuumia Sarah kufunga muulize ana epl ya Chelsea kitu ambacho Gerald kastaafu hana respect respect respect!
 
Record nzuri ila team aliyopo hawezi kuchukua epl trophies, angalia uliowaorodhesha wote wamechukua na team zao ,narudia tena na team zao kasoro Torres aliambulia patupu na liver yake na kufunga kote kwa haraka

Kumbe na Wewe Unakariri Past events?

Nadhani Mwaka 2003 ungeliulizwa kuwa Chelsea katika Maisha Yake anaweza Kuchukua EPL?

Ungelijibu haitotokezea Chelsea kubeba EPL kwani Wamepita Kina Zola, Di Matteo, Deschamps, George Weah na wote hawakubeba waje wabebe Kina Kalou na Malouda?
 
Muda mwingine unanyamaza unaacha inapita ivo tu..

Hufikiri LFC haitachukua EPL miaka yote.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…