wewe umehamia wapi ndugu yangu?mbona sikuoni ktk rada za ubingwa?mimi na ww tumepishana point ngapi ndugu?na bado mechi ngapi ligi iishe?tar 5 una burnley away ,tar 8 una bournalmouth away tar 16 una manure hapa kwa ushindi wako wa tia maji tia maji lazima upigwe game mbili nyambaf then mm nakaa hapo nampumulia city kipindi hiko ww una stress za futuhi hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaunless umehamia mancty ndugu sikuoni kwenye harakati za kubeba ubingwa msimu huu hivyo ongea mengine na sio la ubingwa....
ni sahihi kabisa usemavyo...binafsi hii high pressing naona huleta majerhi sana kwa wachezaji esp unavyokua huna sub za like for like....i support hii ya sasa as long as wachezaji watabaki salama bila majeraha...Mkuu "Heavy Meta Football a.k.a Gengenpressing" haikuwa ndiyo sababu halisi ya Kupoteza games!
Athari ya Gengenpressing Ni moja tu yakuwa kila Wiki lazima itupe injury.
Sababu halisi iliyokuwa ikitufanya tupoteze games ilikuwa Ni Defence na Goalkeeper.
• Last season takriban Michezo 10 ya EPL tulikuwa tupo katika nafasi ya Kushinda lakini tulifungwa au tulidraw kwasababu ya Defence na Kipa.
Kati ya Hizo maarufu zaidi Ni Watford 3 - 3 Liverpool, Liverpool 2 - 2 Everton, Arsenal 3 - 3 Liverpool, Liverpool 1 - Chelsea ... Na kuna Michezo mengine mengi tu tuliyonyimwa ushindi na Kipa au Mabeki.
• Sasa Kwa Msimu Huu kuna Mechi Nyingi ambazo tumekuwa Katika Hatari ya Kupoteza lakini tumeokolewa na Kipa au Mabeki.
Na zilizowazi zaidi Ni Liverpool 1 - 0 Everton, Chelsea 1 - 1 Liverpool, Arsenal 1 - 1 Liverpool, Liver vs BH Albion Mkuu hizi game Ni Umahiri Wa Kipa tu na Mabeki lakini ilikuwa tayari tulale...
√ Wewe unadhani Kwa Game ya Jana angelikuwepo Karius golini ingekuaje?
Mkuu Heavy Metal Football haikuwa sababu ya sisi kufungwa! Ni Karius, Mignolet na Lovren ndiyo Waliokuwa Wakitufungisha.
Now we have Gomez and Alisson
mimi nlikuwa nishaondoka bandani kwa kujua loserfool washapoteza point mbili kumbe hili lirefa lilikuwa linasubiri jamaa wapate kagoli kandondokela poor refarefa tena unamleta bado hujaamini zile pointi murwa kabisa tulistahili...
kweli adui yako muombe njaa....hivi wewe unadhani hizo second tier team siku hizi zinanisumbua..Burnley anapigwa kwake Turf, Bono nae kichapo...Manure akishakutadika jta5 wewe ndio utajua hata big four kubaki ni mtihani hivyo ubingwa wewe ni kukosa ni 5000000+ na kupata -1wewe umehamia wapi ndugu yangu?mbona sikuoni ktk rada za ubingwa?mimi na ww tumepishana point ngapi ndugu?na bado mechi ngapi ligi iishe?tar 5 una burnley away ,tar 8 una bournalmouth away tar 16 una manure hapa kwa ushindi wako wa tia maji tia maji lazima upigwe game mbili nyambaf then mm nakaa hapo nampumulia city kipindi hiko ww una stress za futuhi hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
refa ndugu hachezi acha kulewa sisis kupata pointi 3 wakati ulidhani 1....mimi nlikuwa nishaondoka bandani kwa kujua loserfool washapoteza point mbili kumbe hili lirefa lilikuwa linasubiri jamaa wapate kagoli kandondokela poor refa
tunatakiwa kumpa chance yule dogo aiseee......HW Ni Mzuri lakini sioni kuwa Anafuture Yoyote Ndani Ya Liverpool! Ataendelea Kutolewa Kwa Mkopo na Mwishowake atauzwa.
Hii Ni Kutokana na Na Uwepo Wa Mane, Salah na Firmino utalimit game time Yake.
Na iwapo Brewster ata-adapt na Kuperform well ndiyo kabisa Wilson hatofanikiwa Ndani ya Liverpool.
Umeongea vizuri sana. Pia inasababisha majeruhi. Ila nina uhakika baada ya January tutacheza heavy metal football. Sasa hivi ni kulinda tusifungwe na kucontrol game. Everton wapo vizuri sana, msimu huu watasumbua sana.
lalana mkuu??...... bora umpe dk 20 harry sio lalanaWakichoka Kuna Lallana, Solanke even Sturridge
Jumatano na Burnlry ugenini
Mechi ngumu sana lkn vijana watapigania jezi
Tuzidi kushikamana!
Pep huko anaogopa sana,mwaka jana mechi 14 za EPL aliizidi Liverpool points 14
Tumefuta points 12 tayari
Mungu yupo na sisi
lalana mkuu??...... bora umpe dk 20 harry sio lalana
nakazia [emoji123]
Dharau haijawahi kumpa mtu yoyote any self esteemVISHABIKI VYA LOSELFOOLISH HAVIPENDAGI KUAMBIWA UKWELI LAKINI SISHANGAI NDIO SHIDA YA VIAJUZA VYENYEWE VINAKUWA MUCHKNOW SANA KWA VISINGIZIO VYA KUISHI MUDA MREFU DUNIANI MAANA VISHABIKI VYA HAKA KATIMU VYOTE VIMEZALIWA MIAKA YA 60 KUSHUKA CHINI
View attachment 954031
Huyu boya baada ya Waingereza Kumpaisha kama ilivyokawaida yao Media za Kiiengereza Kupaisha Wachezaji Wao! Alijiona Tayari ameshakuwa De Gegea.
Hatimae Jana Mpira Umempa Somo kwa Kumzawadia Origi Goli la Jioni.
#ThisIsFootball
Umesahau dakika 2 alizojilaza mchezaji wenu na sub za dakika ya 94, refa alikuwa fair kabisaila refa hili ndio alilolitaka mamamamaeeeeee yaani kaongeza dk 4 cha ajabu goli linafungwa dk ya 96 mushukuru hiyo mbeleko nyie maloser
Anauzwa na event zakeOrigi ameingia amefanya event tatu moja imegonga mwamba... nyingine anamkimbiza kwa kasi mchezaji wa everton huku kwenye wing ya kulia akapiga cross nzuri tu na ya tatu katupa cha kuongea wiki nzima hii. Origiiiiii
Honestly mimi nimemwona wa kawaida. Labda sijui kutofautisha jinsi mnavyoona ninyi na mimi.
Wote hawa leo wamecheza kawaida sana.
1. Firminho
2. Shakir
3. Fabinho
Waliocheza vizuri.
1. Backline yooote haswa Gomez. Ameondora hatari 1 kwenye mstari kabisa. What r cĺearence!
2. Mane. Waliobaki walijaribu.