Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Honestly mimi nimemwona wa kawaida. Labda sijui kutofautisha jinsi mnavyoona ninyi na mimi.
Wote hawa leo wamecheza kawaida sana.
1. Firminho
2. Shakir
3. Fabinho
Waliocheza vizuri.
1. Backline yooote haswa Gomez. Ameondora hatari 1 kwenye mstari kabisa. What r cĺearence!
2. Mane. Waliobaki walijaribu.
Nilisikia yupo sokoni lakiniMY KENYAN BROTHER WAS BORN FOR THESE OCCASIONS
RESPECT THE NAME DIVOCK ORIGI
LIVERPOOL LEGEND
HAHAHAHAHAHAHA
Kwani unateseka jombaa?Liverpool' ni kama mwanamke anaedai taraka soon tu ataachika
Kwani unateseka?Una timu ya kawaida tu,
Hauna gegen pressing, unacheza ili mradi tu,
Shukuru unapata matokeo, ila sooon tutaongea mengine, kwanza unaanza na kwenda europa , then unaporomoshwa hapo juu, na ligi inakuwa imeisha kwako kufikia february
"Kama inauma chomoa"Liverpool' ni kama mwanamke anaedai taraka soon tu ataachika
Nilisikia yupo sokoni lakini
"ikikuuma sana unachomoa unasepa" usilazimishe maumivuhawa hawana tofauti ni ndala ushindi wao ni wa bahatibahati tu
Hawa ndo walimpoteza labda ndo wanamrudisha kwenye gemhahaha kabisa yaani kumtaja tu huyoo katuamsha amsha kinoma noma....
King of Derby Origi th Man of th moment....
bingwa wa nn mkuu?hii inaitwa win ugly! ...vyovyote vile sisi tupate points 3 tu! ....bingwa ndivo alivyo
Kwa zile mido za Evaton ungemuweka Hendo leo tungejuta palefu leo tumecheza vizuri sanaa kulingana na kiwango cha mpinzani bahati mbaya tulipoteza nafasi tuHonestly mimi nimemwona wa kawaida. Labda sijui kutofautisha jinsi mnavyoona ninyi na mimi.
Wote hawa leo wamecheza kawaida sana.
1. Firminho
2. Shakir
3. Fabinho
Waliocheza vizuri.
1. Backline yooote haswa Gomez. Ameondora hatari 1 kwenye mstari kabisa. What r cĺearence!
2. Mane. Waliobaki walijaribu.
Ha ha ha haaaaa shangaaa weweTunaangalia mpira kiutofauti sana...Kweli kabisa unaweza kusema leo liver imecheza ovyo?
Kwamba Fabinho amecheza vibaya?
Yaani mtu huoni kabisa midfield ilivyokuwa inafanya jukumu lake ukilinganisha na akiwepo Hendo?
Huyu Fabihno kuwekwa nje na Henderson ni ukiukwaji mkubwa wa sheria za kuthamini vipaji....