UEFA hawafuati GD ya kawaida kama timu zimefungana points ila Head-to-Head results1-0 itaivusha liver to the next level, sababu liver atakuwa kamzid Napoli Goal difference kwa 3, Yani Liver ana magoli 8 na Napoli ana goal 5.
Hivyo liver anaitajika kushinda 1-0, au ikishindikana hivyo napoli apige goli ni lazima basi liver ashinde kwa zaid ya goli 1 (3-1).
Lakini endapo pia Psg atadraw na Red star basi ushindi wowote wa Liver hata kama 2-1 basi utaipa liver nafasi kifuzu.
Muhimu tu liver hatakiwi kupoteza kabisa hiyo game.
Mkuu huyo sio livaHahaha unategemea kufuzu kupitia mgongo wa Napoli... wewe unatakiwa ujue kuwa uefa ni oversize kwa liverpool..
Nyie mna wachezaji wa kushiriki ligi tu ..na sio kucheza uefa.!
Mkuu lembu sorry nilikosea. Tuko pamoja.Hahaha unategemea kufuzu kupitia mgongo wa Napoli... wewe unatakiwa ujue kuwa uefa ni oversize kwa liverpool..
Nyie mna wachezaji wa kushiriki ligi tu ..na sio kucheza uefa.!
Nadhani yule No. 2 wa Klop alikuwa ana influence sana kwenye mbinu za Klop
Klopp kuna interview ambayo aliwahi kusema Buvac kwenye mazoezi anasimamia 200 drills huku yeye akisimamia 100 drills.
Na anakubali the guy was his BRAIN.
So, hata kama tukivuka hatuna timu ya kubattle UEFA playoffs, we are tactically poor, we bought Ferraris but we have decided to keep on driving our poor old Toyotas, seems like it was just for a showoff.

Nakumbuka baada ya Liverpool kufungwa na Red Star nilipost Comment hapa kutoka Liverpool Echo ambacho waliclaim Sababu ya Kufungwa Mchezo hule Ni Kuwa Hendoshoga Hakucheza, Lakini angelicheza basi angabadilisha Mchezo na tusingelifungwa! Lakini umeonekana hadharani Unafiki wao baada ya Hendoshoga Kuzurura uwanjani kwa dakika 90 with nothing special...
Na Hatimae Ian Doyle amemrate 4 kuonesha kuwa Mchango wake ulikuwa Ni mbovu!!!
Jordan Henderson 4
"Looked devoid of energy whenever PSG players ran at him, which was costly first half. More of the ball after the break but didn't do enough with said possession".
Keita jana ali completed more dribbles in the last 20 minutes of the game kuliko Jordan Henderson. James Milner na Wijnaldum unajiuliza swali How is Henderson na Milner startin over Keita and Fabinho tuna Kocha wa ajabu sana
d.
Should the Reds triumph by a goal at Anfield, they progress ahead of Napoli. They’d be level on points and head-to-head results, but would have more goals scored than the Italians, the next criteria to consult.
- A 1-0 win for Liverpool
Think Olympiacos, 2004. Anything such as 2-0, 3-1, 4-2 and so on, or better, will see the Reds progress. They’d be level on points but have a better head-to-head than Napoli.
- Any two-goal win for Liverpool
Even a 2-1 win is good enough if PSG only take a point at Red Star. Liverpool, Napoli and PSG would all be on nine points and Klopp’s team would be top of that three-way head-to-head, having taken six points against those sides.
- Any win for the Reds AND a PSG draw
Drawing with Napoli would leave the Reds in third. Beating Napoli 2-1, or by any other one-goal margin other than 1-0, would also leave the Reds third as long as PSG win at Red Star.
- Europa League permutations
The unthinkable could happen: if Liverpool lose at home to Napoli and Red Star beat PSG, the Serbian side will leapfrog the Reds into third, leaving Klopp’s side bottom and with no further European action this season.
- Fourth-place variation
It promises to be a night of huge importance and atmosphere at Anfield, which could very much shape the course of the Reds’ season thereafter.
Mfukuzeni Klopp mpeni timu huyo Buvac kama hajawashusha darajaKlopp kuna interview ambayo aliwahi kusema Buvac kwenye mazoezi anasimamia 200 drills huku yeye akisimamia 100 drills.
Na anakubali the guy was his BRAIN.
So, hata kama tukivuka hatuna timu ya kubattle UEFA playoffs, we are tactically poor, we bought Ferraris but we have decided to keep on driving our poor old Toyotas, seems like it was just for a showoff.
Mfukuzeni Klopp mpeni timu huyo Buvac kama hajawashusha daraja