Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,101
- 1,909
Hendo as no8 atachemsha zaidi mkuu .Hana pass zenye macho.Sio fkexible Hana kasi.Halafu kwa nini umuhamishe namba ambayo wapo wazuri tu wa kucheza kana Keita?so far we have performed poorly, no pacy, urgency, no creativity.
to be honest, henderson ni mchezaji mzuri ila siyo kwa majukumu ya kama namba sita, msimu wa 2013/2014 alicheza vizuri saana ni kutibua mwenye jukumu la kuchezesha timu alikuwa nayo Gerrard. Henderson bora achezeshwe namba nane siyo sita.
Mane and Salah are both awful in the first 45 mins
Pep na city yake ni ngumu kuzuiwa asichukue ubingwa
Nionavyo ni umefika muda wa kumuweka huyu mjomna nje.Hakuna namba ambayo atatusaidia zaidi ya no12...Majukumu anayoyafanya leo Fabinho angeyafanya vizuri zaidi ..