Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tukibishana ivi tutafika mbali sio mtu anakuja hapa na ngonjera "nani hayaogopi majogoo "big up analyzer you nailed it
 
Nilikua najarbu kumuelezea huyo meku aliesema beki zote ni mzigo isipokua gomez. Honestly mm nikishamuona vvd kwenye line up nakuaga naamani sana
Tafuta ( you tube) Chemistry au patnreship ya VVD na Gomez.
 
Pole mkuu... Naona na Leo umejinyea tena... Nilikuambia uache kale kamchezo sio kazuri....
 
kifupi loserfools hawajawahi kubeba EPL.......

OVER
so whats ua point Dully, japo ukiangalia rekodi inasema 18time winners asa sijui uzii huu hao looserpol wanatoka wapi...hapa ni kwa majogoo aidha uwapende uwachukie ukweli ni kwamba wapo juu hivyo utazidi kujiumiza kabisaaa
YNWA
 
Ila Robb anatengeneza sana nafasi Taa ndo tatizo
TAA ni kama development yake ime stuck this new term.. last season alijitahidi sana n i think kwa nafasi yake anaona hana mshindani so bidii zimepungua n being a local kid ndio kabisaaa...
Clyne auzwe n tusajili a proper player wa kuja kumchallenge Trent....he is young he has time to grow to become consistent n accurate...
 
Mkuu yawezekana Anartovic ndio wild card kama ile ya Fergie kumsajili Van Persie na kuchukua ubingwa...pengine Klopp kaona ni cheap option ya target zake ambae analeta impact immediatly..
kama akisajiliwa lets see how Klopp will use him bt so far ni umbea wa magazeti lets wait....
 
Wakuu vipi hili la kumuuza Fabinho Januari/ summer kwenda Ac Milan au Juve..
eti hajaleta impact walivyotegemea...wazungu hamnazo kabisa gossip zao wakti mwingine pasua...the boy hasnt even hit the ground ki sawa sawa leo wanasema auzwe....
pazuri ni pale hata usajili wake waandishi wengi or almost wote wa sport UK hawakuutabiri...so may b this is another dead end story...
 
Huenda ila Klop keshantoka imani mana anaeza asimtumie pia.
Iweje mechi dhaifu ushashinda 3 umuingize Milner ambae anatumika sana mechi muhimu bechi kuna chipukizi usiwatumie?

Shaka yangu kocha alikua Buvac huyu hajiamini kabsaa.
 
Uwongo Cloop anapangiwa hata mkataba wa Hendo kapangiwa hapo lengo Hendo awe na hakika kucheza mana akiwepo Faby lawama za mashabiki zitawaelemea kama zilivyo muelemea akajitetea kua hata goundogan alimuweka bechi zika muelemea tena akampanga kwenye nafasi wote tuliona tofauti Faby aka mplove rong kilichofata hakupangwa tena nafasi yake jumlisha maelekezo mabovu ili ionekane hajafiti.kudhibitisha hili muangalie Gini juzi kwenye taifa lake hafu fananisha na hizi mech alizo pangwa na Faby

KOCHA WETU ANAMAPUNGUFU TUSUBIRIE TU KOMBE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…