Hivi Origi kapangwa mechi ngapi akashindwa kufunga?
Origi umri 21 Arnautovic 29
Rogers alirundika wachezaji asio watumia ama akiwatumia anawapanga nafasi wasizo zoea ngoja tuone.
Ishu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.Mimi Klopp Ninamjua tokea wewe hujaanza Kupenda Mpira.
Kumbuka:
1) Huu si uzi wa Dortmund
2) Huu ni uzi wa Liverpool
3) Tunachojadili hapa ni mafanikio ya Liverpool
4) Hapa hatujadili mafanikio ya Dortmund
5) Mafanikio ya Dortmund hayatusaidii chochote sisi Liverpool
6) Ni ujinga wa kupindukia kwa washabiki wa Liverpool kujivunia mafanikio ya Dortmund
7) Hivi wewe unaweza kujivunia kushiba kwa pilau iliyopikwa na kuliwa kwa jirani?
Note: Klopp alichokipata Dortmund sisi hakituhusu wala hatupo hapa kukijadili!! Tunachojadili hapa ni kuwa alete mafanikio Liverpool kwani mpaka sasa ndani ya Liverpool ni Zero Trophy.
Watu kazi kusifia tu hata mapungufu hayasemi.All in all usajili muhimu bado halafu kwa nini Firmino asirudi kiungo kama Left center midfield halafu huyo dogo Origi akapiga 9 ? Dah! kumbe tunaforce 9 ya mtu ambae hana mbio wala nguvu bila sababu tu!
Watu kazi kusifia tu hata mapungufu hayasemi.
Huyu dogo alichangia tukafika fainal
Huyo dogo kabla ya kuumizwa na yule fuji Mory alikua na wastan mzuri tu wa goli kama chipukizi
Huyu dogo alitolewa kwa mkopo kwa figisu tu ili solanke acheze na amepangwa mechi zote hakuambulia hata goli huu ni udhaifu wa kocha wetu hawaoni kazi kusifia tu.
Kocha akishakua na matabaka ya wachezaji kufanikiwa ni ndogo sana
TUKUMBUKE MWISHO WA MSIMU WAKE DORTMOND
Ishu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.
Na ndo mana nimekukumbusha kua amechukua ligi na dortmund mara 2 mbele ya bayern.
Wtf!! Nimekaa kimya siku mbili tatu hizi lakini kukaa kimya nashindwa asee...
Klopp tumekubali umetuaminisha taa ni mzuri kulko clyne na kutudanganya Solanke ni bora mbele ya sturidge na origi lakini unakoelekea nakudharau
Arnautovic wanini wakati unakiungo mbunifu mmoja tu shaqiri na ox ndio aieleweki atarudi mzima au marehemu!! Embu sajiri watu muhimu
Huyu Mtu ataiacha Liverpool kama alivyoiacha Dort
Team mbovu kupindukia mbona kafika nayo fainal?Ishu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.
Na ndo mana nimekukumbusha kua amechukua ligi na dortmund mara 2 mbele ya bayern.
Na kwa liverpool,klopp tum judge mwisho wa msimu huu. Sababu hamna kocha duniani angeweza kuchukua ligi na team aliyoachiwa klopp.
Klopp kaachiwa team mbovu kupindukia, na ukitaka ku prove hilo nitajie starter wa kikosi cha rodgers ambae yupo kwnye xi hii ya liverpool?jibu ni HAMNA.
CONCLUSION: KLOPP SIO HAWEZI KUCHUKUA MAKOMBE BALI KIKOSI ALICHOACHIWA KLOPP KISINGEWEZA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE.
NOTE: NIKISEMA KOMBE NA MAANISHA LIGI NA UCL.
Hizo rumours tu mzee,relax.Wtf!! Nimekaa kimya siku mbili tatu hizi lakini kukaa kimya nashindwa asee...
Klopp tumekubali umetuaminisha taa ni mzuri kulko clyne na kutudanganya Solanke ni bora mbele ya sturidge na origi lakini unakoelekea nakudharau
Arnautovic wanini wakati unakiungo mbunifu mmoja tu shaqiri na ox ndio aieleweki atarudi mzima au marehemu!! Embu sajiri watu muhimu
Huyu Mtu ataiacha Liverpool kama alivyoiacha Dort
Punguza uzwazwa mkuu hivi unataka kutuaminisha kikosi alichoachiwa KLOPP ni dhaifu kuliko alichoachiwa RANIELLI pale LEICESTER na akabeba nacho EPL???????? kuwa serios basi maana point yako ni zaidi ya dhaifuIshu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.
Na ndo mana nimekukumbusha kua amechukua ligi na dortmund mara 2 mbele ya bayern.
Na kwa liverpool,klopp tum judge mwisho wa msimu huu. Sababu hamna kocha duniani angeweza kuchukua ligi na team aliyoachiwa klopp.
Klopp kaachiwa team mbovu kupindukia, na ukitaka ku prove hilo nitajie starter wa kikosi cha rodgers ambae yupo kwnye xi hii ya liverpool?jibu ni HAMNA.
CONCLUSION: KLOPP SIO HAWEZI KUCHUKUA MAKOMBE BALI KIKOSI ALICHOACHIWA KLOPP KISINGEWEZA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE.
NOTE: NIKISEMA KOMBE NA MAANISHA LIGI NA UCL.
1: zwazwa ni wewePunguza uzwazwa mkuu hivi unataka kutuaminisha kikosi alichoachiwa KLOPP ni dhaifu kuliko alichoachiwa RANIELLI pale LEICESTER na akabeba nacho EPL???????? kuwa serios basi maana point yako ni zaidi ya dhaifu
All in all usajili muhimu bado halafu kwa nini Firmino asirudi kiungo kama Left center midfield halafu huyo dogo Origi akapiga 9 ? Dah! kumbe tunaforce 9 ya mtu ambae hana mbio wala nguvu bila sababu tu!
Ishu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.
Na ndo mana nimekukumbusha kua amechukua ligi na dortmund mara 2 mbele ya bayern.
Na kwa liverpool,klopp tum judge mwisho wa msimu huu. Sababu hamna kocha duniani angeweza kuchukua ligi na team aliyoachiwa klopp.
Klopp kaachiwa team mbovu kupindukia, na ukitaka ku prove hilo nitajie starter wa kikosi cha rodgers ambae yupo kwnye xi hii ya liverpool?jibu ni HAMNA.
CONCLUSION: KLOPP SIO HAWEZI KUCHUKUA MAKOMBE BALI KIKOSI ALICHOACHIWA KLOPP KISINGEWEZA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE.
NOTE: NIKISEMA KOMBE NA MAANISHA LIGI NA UCL.
Kwa hiyo ni sahihi aondoke Origi ambae ni mdogo na Anartovic aingie?Mkuu unaweza amini Origi ni Mzuri lakini Kumbuka Kuwa Huwezi beba EPL na average player aina ya Origi..
Shabaha yetu kwasasa si kuwa na wachezaji aina ya Origi Bali itakuwa tunarudi Nyuma tulikotoka, Bali ni Kuwa na Zaidi ya Origi.
Kwa sababu Origi Hata Klopp aliwahi Kumtumia Kama Striker Msimu wa 2016/17 lakini alifail kuOffer kile tunachokitaka.
Kwasasa Mkuu itakuwa kituko cha Karne Origi kucheza mbele ya Front 3 yeyote yule...
Kwasasa kila tunapopoteza tunahitaji Mchezaji bora zaidi ya tuliyempoteza!!
Origi, Solanke ni wachezaji wa timu kama Westham, Soton and the likes na si Liverpool.
Kwa hiyo ni sahihi aondoke Origi ambae ni mdogo na Anartovic aingie?
Everage player alicho changia Origi na alicho changia Solanke ni sawa?
Mana hawa wote ni back up tu sio kikosi cha kwanza.
Chanzo cha post hizi ni huyo Anartovic kuja Origi anauzwa.Mkuu sijui umenielewa?
Mbona Mimi sijacomment chochote kuhusiana na usajili wa Anatovic?
Na wala sijasema kuwa Solanke ni bora zaidi ya Origi!!!
Ninachokifahamu Mimi ni Kuwa Both Solanke and Origi si wachezaji sahihi wa Liverpool.
Wote Wawili wanapaswa kuondoka.
Chanzo cha post hizi ni huyo Anartovic kuja Origi anauzwa.
Sasa akili kama hizi Kloop na manegment yake wapo sa hihi?
Kila club ina mchezaji au wachezaji hao unaowaita wa kawaida, au tuambie kikosi kisicho na mchezaji wa kawaida kwenye ligi yoyote dunianiKwa upande wangu nikiangalia uwezo wa Origi Hata kama ana umri mdogo basi kuuzwa kwake hakuiathiri Liverpool kwa chochote kile kwani Ni mchezaji wa kawaida sana ambaye kwa Timu kama Liverpool si wa Kumtegemea..
Na tukiangalia uwezo binafsi basi Arnatovic ni bora kuliko Origi kwani Arnatovic anOffer mambo mengi zaidi kuliko Origi..
Najua kama Tovic ana miaka 29 lakini atakachoOffer kwa Misimu 2 tu ya umri wake ni bora kuliko atakacoOffer Origi Kwa Miaka 10.
Si kila Mahali kuwa umri unaMatter mkuu!
Ivi Kwakuwa Messi ana miaka 31 ndiyo nimchague Rashford kwenye timu kwasababu ana miaka 19 ?
Sometime inawezekana ukachukua Mchezaji mwenye miaka 33 ukamuacha mwenye 20.
Mkuu dizaini kama umekurupukia post ya NgwabaKila club ina mchezaji au wachezaji hao unaowaita wa kawaida, au tuambie kikosi kisicho na mchezaji wa kawaida kwenye ligi yoyote duniani