Hamna anaye abudu,lkn kumponda kocha mwenye 9W na 3D toka kwa Chelsea,Man City na Arsenal ni umbumbumbu wa soka!Hahaha, mimi binafsi sijakwazika, na natamani uendelee kutukumbusha jinsi ya kusifu na kuabudu timu yetu pendwa.
Hamna anaye abudu,lkn kumponda kocha mwenye 9W na 3D toka kwa Chelsea,Man City na Arsenal ni umbumbumbu wa soka!
Hivi vitimu vidogo vilikuwa vinaondoka na points Anfield sasa vimeisha patiwa dawa bado tunalaumu
Tukipoteza points basi ni kwa wakubwe wenzetu tena hatufingwi lkn bado tunalaumu
Tumefikia kusema sasa mwaka jana eti tulicheza vyema sana na points zetu 20 mechi 12
Ngachoka mm!
King Klopp for life,huyu kama Ferguson ataondoka akipenda
Liverpool hata wachezaji walikuwa wanaikataa,huyu Shaqir aliikataa Liverpool,Willian na wengine sababu tulikuwa hovyo sana!
Nani sasa ataikataa kuja kucheza Liverpool?
VVD au OX walisema wao kama kucheza ni kwa Klopp tu
VVD anataka kufundishwa na Klopp lkn kajamaa kapo kwake Ubungo-Maji huko mashenzini anamponda KLOPP

Lakini Still Kakimbiwa na Coutinho..
Kakimbiwa na Emre Can...
Na Sadio Mane tayari ana kila dalili ya Kumkimbia...
Usijidanganye hakuna Mchezaji atakayebakia kuendelea na Kocha asiyebeba Kombe...
Kocha ambaye Mwaka Wa 4 Zero Trophy hawezi kuwa KING labda kwa watu kama wewe.
Siku Klopp atakayobeba EPL ndiyo nitakuja Hapa na Kutamka Kuwa KLOPP NI WORLD CLASS MANAGER ....
Lakini kwasasahivi Hata tumpende na Kumsifia vipi basi haitabafilisha ukweli kuwa Klopp ana Zero Trophy.
Na World Class Manager hawezi kukaa Kwenye timu misimu 4 bila ya Hata Mickey Mouse Cup.
[N]Note[/B] Sijasema Klopp aondoke
King Klopp for life,huyu kama Ferguson ataondoka akipenda
We jamaa ni muongo sana aiseeee Klop hakuingia Liverpool mwanzoni mwa msimu wa 2015/16 ninachojua mm Klop kaingia pale katikati ya msimu, alimalizia ungwe ya pili msimu wa 2016/17, akaanza msimu wa 2017/18 ndo kaongoza wote na huu wa 2018/19 ndo msimu wake wa pili, hivyo akimaliza huu atakuwa na misimu miwili na nusu LiverpoolHuyu jamaa toka afike tuna misimu 3 complete; 2015/2016, 2016/2017, 2017/2018
Which means 3 league cups, 3 FA Cups, 3 EPLs, 1 Europa league na 1 Champions league tumeshiriki, hajawahi kushinda hata moja kati ya yote hayo.
Leo tunaenda msimu wa 4, league cup tayari tuko nje.
And then he is hailed as a King!
We jamaa ni muongo sana aiseeee Klop hakuingia Liverpool mwanzoni mwa msimu wa 2015/16 ninachojua mm Klop kaingia pale katikati ya msimu, alimalizia ungwe ya pili msimu wa 2016/17, akaanza msimu wa 2017/18 ndo kaongoza wote na huu wa 2018/19 ndo msimu wake wa pili, hivyo akimaliza huu atakuwa na misimu miwili na nusu Liverpool

Mkuu Klopp kwangu ni kocha mzuri ila akijirekebisha kwenye kuacha kupuuzia uzito wa mechi upangaj kikosi na subs za ajabu akiacha. Nakwambia EPL hakuna wa kumgusa.
Though hayupo pabaya, Time bado ipo na tayar mechi ya juzi kaonekana kubadilika
King nimemuita mm sio wwHuyu jamaa toka afike tuna misimu 3 complete; 2015/2016, 2016/2017, 2017/2018
Which means 3 league cups, 3 FA Cups, 3 EPLs, 1 Europa league na 1 Champions league tumeshiriki, hajawahi kushinda hata moja kati ya yote hayo.
Leo tunaenda msimu wa 4, league cup tayari tuko nje.
And then he is hailed as a King!
Takataka zingine hizi toka kwa anti-KloppKlopp Ni Kocha Mzuri tu lakini bado hajafikia World Class Manager Kiwango Waliopo Kina Guardiola, Mourinho, Zidane and the likes.
Ni Kocha Mzuri lakini Wa Kawaida tu kama Unai Emery
Miaka minne ya iverpool imeisha lini?Lakini Still Kakimbiwa na Coutinho..
Kakimbiwa na Emre Can...
Na Sadio Mane tayari ana kila dalili ya Kumkimbia...
Usijidanganye hakuna Mchezaji atakayebakia kuendelea na Kocha asiyebeba Kombe...
Kocha ambaye Mwaka Wa 4 Zero Trophy hawezi kuwa KING labda kwa watu kama wewe.
Siku Klopp atakayobeba EPL ndiyo nitakuja Hapa na Kutamka Kuwa KLOPP NI WORLD CLASS MANAGER ....
Lakini kwasasahivi Hata tumpende na Kumsifia vipi basi haitabafilisha ukweli kuwa Klopp ana Zero Trophy.
Na World Class Manager hawezi kukaa Kwenye timu misimu 4 bila ya Hata Mickey Mouse Cup.
[N]Note[/B] Sijasema Klopp aondoke
Double standardsUbora wa Kocha Unapimwa Kwa Kitu Kimoja tu bro..
Kocha anapimwa kwa Makombe basi!!!!!
Kocha hapimwi kwa Kushinda Mechi 9
Wala Kocha hapimwi kwa Kuingia Top 4
Wala Kocha Hapimwi Kwa Kucheza Fainali ya CL.
Kocha anapimwa kwa Kubeba kombe tu...
Klopp hawezi kuingia Hata Kwa Makocha 10 bora walio hai...
Klopp atakuwa Kocha bora pale atakaposhinda Makombe na Liverpool..
Kama wewe unampima kocha kuwa King kwasababu tu Kashinda mechi 9 na kombe Sifuri basi hiyo Ni hiari yako.
Miaka minne ya iverpool imeisha lini?
Unajichanganya sana,mbona umemuita Mourihno great manager yy kachukua kombe lini kama usipo chukua kombe miaka minne sio great manager?
Mane akikimbia ndiyo mwisho wa Liverpool?
Pointless kabisa
Hamna lugha yyt kali niliyo tumiaKuna kipindi niliplan kuachana na arguments zako lakini nimeshindwa, as far as tuko nyumba moja migongano ya mitazamo lazima iwepo.
Nakushauri ujifunze jinsi ya kupokea critics za wadau, bila kutumia lugha Kali.
Takataka zingine hizi toka kwa anti-Klopp
Klopp is world class manager na anawanyamazisha sasa kila weekends
Double standards
Kocha hapimwi kwa mechi 12 lkn anapimwa kwa "kushinda kibahati mechi 9"?
Kama Klopp kashindwa iongoza Liverpool kwa nn msihamie kwa teams ambazo zina managers wanao wafurahisha?
Mnaongea pumba kabisa,Klopp ni manager mzuri sana na tuna bahati kuwa nae
Mtu wala hajui kwa nn Emre Can aliondoka anaropoka tu
Mchezaji pekee tuliyepoteza ni Coutihno
Punguzeni kutujazia takataka hapa