Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata huyo mwenzake kusema hana maana hajakosea ni mtazamo wake ili iwe uwongo tupe uzuri wa Kloop tangu aje.
Habali ya tunashinda usinipe mana hata Rogers tulishinda mechi ila kombe tulikosa.
mkosoe huyo jamaa kwa shuhuda tuone hapa.
 
Ndomana kuumbe wewe wa juzi basi sawa.
Kama Gerard houlier hujaiona hata Banetezi hujaona?
Basi upo sahihi usemavyo tunasubili huo ubora usio wahi kutokea kwa vitendo.
 
Siko mbali na wewe sana ila ukweli msimu uliopita pamoja na kuruhusu magoli mengi tulicheza vyema kuliko msimu kwa sasa hapo mido hatuna regular start up inayoeleweka inabadilika badilika kila siku na ndio chanzo kucheza mpira mbovu, sasa basi kwa mido hii isiyoeleweka mtoe Gomez weka lovren halaf golini niwekee karius nakuhakikishia hutatamani kuangalia hata mechi moja ya liver so msimamo uko pale last tumecheza vyema kuliko msimu huu pamoja na kushinda mechi nyingi
 
Namhurumia klop ataonekana kocha Wa hovyo coz option ya mido alizonazo ndo hayo hayo magalasa mido wenye akili ndo hivo tena majeraha yamewapenda zaidi
Kama hizo mido kalazimishwa sawa.lakini kama kasajili mwenyewe na bado hawafai nzani hata yeye atakua hafai.

Wa angalie Unai emiry na Sarri na muda waliokaa halafu Kloop na muda wake.
Unamuoneaje huruma unampenda kwa kipi hadi umhurumie?
 
Mbona tunaendelea kushinda na magalasa?
Mbona wenye mido nzuri wameshindwa kutufunga?
Hatufungwi sababu defense iko imara sijui mwenzangu mpira unautazama kwa macho gani pamoja na kuwa magalasa mengi still tuna mido wanaoficha madhaifu ya wenzao klop kakosa tu msimamo
 
Hiyo mwaka jana ulikua na wachezaji gani? taja vikosi ndo uwone kilicho semwa kina fanana au laa
 
Humu ndani naona ni mikiki mikiki, Malafyale anataka wote kwenye forum tuwe watu wa ndiyo mzee, tusikosoe, tusizungumzie weakness za timu, challenges za kikosi, tusifu tu, tusifu tu.

Timu inashinda yes, it's a good thing, lakini hii ndo potential yetu? Kushinda kwa taabu?

Naona tunajitetea kwamba tuna points ngapi, tunaacha kuzungumzia fact kwamba hatuko kwenye League Cup, UEFA tumecheza game 4 (2 wins 2 losses); utetezi hapa vipi?

Timu inacheza under capacity, we are not even 60% of our potential kwa mtazamo wangu, lakini kuna mtu kajifika majukumu ya kukataza wenzake wasitoe mitazamo yao. Ni utterly nonsense kunizuia kutoa mawazo yangu kwenye forum ya namna hii kisa tu eti Klopp anajua Football Management kuliko mimi.

Nadhani kuna umuhimu wa kufungua thread za kusifu na kuabudu timu kwa ajili ya watu kama kina Malafyale, hizi za kutoa opinions in either way haziwafai.
 
Huyo mtu hatakua na tofauti na Mtu anaeitwa JIWE humu mitandaoni hataki kabisa fikra tofauti na zake anapenda kusikia vile vinavyofurahisha ngoma za masikio yake tu
 
Hahahaha, nimekuelewa sana kopie
 
Wij ni galasa ndio ila ktk magalasa tuliyonayo ana nafuu kidogo na ndio maana ana uhakika wa namba coz ni the best among magalasa tuliyonayo kama midfielder wote wakiwa fit klop namshauri atumie mfumo 4-2-3-1 kwa mid hizi keita milner/ox kama kuna gemu itamlazimu 4-3-3 mid apiki hawa keita, wij na milner/ox
 
Kwa wapenzi wa vyenga wij mtamuona bonge la mido, wij anangangania mipira, anapoza mashumbilizi, forward wanaweza kujiposition vizuri ili wascore jamaa anaforce show off mpaka forward zinabanwa ndo anatoa Pasi na imekuwa ndo kawaida habadiliki msimu na msimu hapo kwa fabinho tumelamba joker muda ndo utakaosema
 
Hivi Gini ni DM au ni CAM? Tuanzie hapo kwanza.
 
Hivi Gini ni DM au ni CAM? Tuanzie hapo kwanza.
Inahusiana nini na point yangu kwani hata centre half akiwa kwny move ya kupeleka shambulizi hawezi kujikuta yupo nafasi yoyote ile so wij ni DM ila timu kama inashambulia na imemiliki mpira u can see there as an attacking midfielder na timu inaposhambuliwa anastik on his position kama defensive midfielder
 

Una shinda kwa taabu mechi 9 ?
Unashinda kwa taabu 12 games unbeatean?Basi aina hii ya ‘taabu ‘ni nzuri sana!
Ukweli unabaki kuwa JK kaifanya Liverpool kuwa ni team bora kabisa,hayo mengine ni yenu!
Huwezi ukacheza vibaya ukashinda 9W.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…