Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watu walio ondoka tukifanya vibaya mno,sasa tunafanya vizuri sana lkn wale walio kuwa wanatuongoza ktk matokeo mabaya ndiyo hapa wanasifiwa!
Buvac hana pengo LOLOTE Liverpool
Team inashinda vyema tu
 

Lijnders ndiyo ame-cover role ya Buvac now..

specialized kwenye "Passing" patterns..

Salah is happy at LFC, and he is in very good shape..

no fan with his right mind atataka Klopp kuondoka now at LFC, he is perfect for the job to be fair man..

need to adjust himself more man. thats it
 
That's my opinion too, i told you that i can not find anyone who will do more than what Klopp is doing ATM.

We need to be patient, Rome wasn't build is a single day.
 
Ingekuwa Hendo au Lovren ka flop vibaya kama vile na Arsenal hapa watukana wachezaji pangefurika
Fabihno kacheza hovyo sana lkn sisi tunao support team no matter what huwezi ukakuta tunamlaumu Fabihno
Tumefungwa jana Hendo au Lovren wanyonge wenu walicheza?
Liverpool ikifanya vibaya kama jana ndiyo inahitaji support zetu zaidi kuliko siku imeshinda
 
That's my opinion too, i told you that i can not find anyone who will do more than what Klopp is doing ATM.

We need to be patient, Rome wasn't build is a single day.

Agreed man..

for the mean-time, we need to camp more kwenye Cups and see if we can salvage any, then build ourselves from there..
 
whats your point then?

so kama yeye hakushinda, ndiyo inahalalisha Mungu-mtu wako Klopp na LFC kufungwa?
Mm najua kuna matokeo ya ajabu mengi tu ktk soka yamewahi kutokea hapa dunia
Denmark walichukua Yuro out of the blue
UK aliwahi tolewa na Iceland
Ugiriki kuchukua Yuro
Liverpool kufungwa na Belgrade
Ni maajabu kweli lkn yanatokea mara nyingi tu ktk soka na Liverpool sio special
 

Hendo and Lovern been shit for over 4 years now..

that was only Fabinho bad game after only 3 starts..

you dont see reasonable fans moaning about Millie, because he has improved a lot under Klopp, and he is the core of the team..

what do Hendo and Lovrena actually do to deserve praise?

besides ungeonekana kituko sana kama ungemponda Fabinho as he was deployed kwenye formation ambayo Klopp mwenyewe alishasema haimfai Fabinho ndiyo maana akawa anashindwa hata kumchezesha moja kwa moja, hao gods wako kina Henderson wanacheza kila siku kwenye prefered positions na formations na hatuoni productivity yeyote ile.

unaishia kutamba kuwa winning trophies ni collective efforts, ungeshinda basi hayo makombe matatu uliyoyakosa for the last 12 months kama winning trophies ni collectove efforts, mediocre players wont win you anything, been that way for years.

Supporting the team no matter what?, wakati ulikuwa wa kwanza kupiga makelele humu rodgers afukuzwe na juzi tu hapa ndiyo ulikuwa unaongoza kumponda Karius humu na makelele kibao afu unakuja kutuambia una-support team no matter what. punguza unafiki wewe.
 

hayo matokeo ndiyo yana-justify LFC kufungwa jana?

kwahyo tukitolewa CL kwenye group stage itakuwa ni sawa tu kwasababu ya hayo matokeo ya ajabu?

so its so ok kwa watu kutekwa Tanzania, kwasababu Nchi zingine nazo zinateka watu?
 
Ktk stats zake za kwanza hizo hakucheza na yyt
He didnt play with nobody,kucheza na Hudd uking'aa ndiyo umeiva?
Mtihani wake wa kwanza na team nzuri Arsenal kashindwa
Lkn bado tupo nyuma yake tuna imani atakuwa better zaidi na hii ndiyo tofauti yangu na nyie
Kum discredit Klopp sababu kafungwa na trashies jana si sahihi pia
 
hayo matokeo ndiyo yana-justify LFC kufungwa jana?

kwahyo tukitolewa CL kwenye group stage itakuwa ni sawa tu kwasababu ya hayo matokeo ya ajabu?

so its so ok kwa watu kutekwa Tanzania, kwanini Nchi zingine nazo zinateka watu?
Nakuambia tu kama alicho fanyiwa Liverpool jana sio kigeni ktk soka!
Je ni matokeo yanayouma?Yes it is yanauma sana
Tufanyeje?Twende behind ya team,tujipange kwa mechi zijazo
Liverpool HAIWEZI shindwa fika sweet 16 CL
 

Henderson played at the Emirates last year and the game ended 3-3, he couldnt even control the midfield baada ya kucheza kwenye hiyo role kwa miaka zaidi ya minne,

Fabinho was poor and that was obvious but it was his third game, na kama Fabinho akishindwa kusettle at LFC wont hesitate to demand his departure, because i support the team not players.

in the last 9 games mpaka sasa, tumeshinda games 3 tu, games mbili akicheza fabinho na zote tumeshinda, 5 games tukiwa na Hendo tumefanya nini?

so Hendo akiboronga, ni collective effort, but Fabinho akiboronga ni "test"..
 
Nakuambia tu kama alicho fanyiwa Liverpool jana sio kigeni ktk soka!
Je ni matokeo yanayouma?Yes it is yanauma sana
Tufanyeje?Twende behind ya team,tujipange kwa mechi zijazo
Liverpool HAIWEZI shindwa fika sweet 16 CL

kwahyo utajipanga bila kureflect perfomances?

what if tukipoteza na Fulham, utasema tujipange tena kwa game ijayo?

what makes you so sure kuwa 'HAWEZI" shindwa fika sweet 16?
 
Agreed man..

for the mean-time, we need to camp more kwenye Cups and see if we can salvage any, then build ourselves from there..
During the start of the 2018-19 campaign John Barnes suggested Klopp should give up on Cup Competitions and focus mainly on the League. Did you hear that?
 
Nashukuru tu kuwa unakubali kocha anaweza badilisha formation wakati wa sub.From 4-3-3 to 4-2-3-1 tayari hiyo ni form nyingine
Nakubali kuwa formation inaendana na wachezaji lakini pia opponent anaweza force kubadili formation
 
For such a hardworking assistant ni pengo kubwa kumkosa kwa Klopp maana matokeo ya sasa inaonyesha pengo lake lipo..ishu ni Klopp being Klopp he will never strech his hand for reconciliation n too bad maana hata replacement wa Brain sio like for like...
This term by 2019 May we need a "big" trophy sio kuwasidikizaji kufika fainali na kukosa au big four...our ambition s higher than that...investiment ya maana ilishafanyika hivyo Klopp asilete bla bla...
in the mean time lets hope ameshaamka wachezaji akina Matip, Lallana etc wawe ni subs after job welldone by the "real" first 11..
YNWA...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…