Lecheminduroi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 1,183
- 3,600
Ishu ya Clyne ipo wazi sana klopp hamkubali huyu jamaa halafu huyo solanke sitii maneno mengi utaona we mwenyewe kwenye hizi mech mbili tatu zijazoMkuu wewe ni mshabiki wa Liverpool ila ujaribu kidogo kufuatilia team yako kwa undani. Clyne alicheza kwenye game ya Carling cup, kama uliangalia ile mechi utakuelewa kwanini kocha anamuweka nje. Clyne siyo yule tuliyekuwa tunamjua. Alikaa mwaka mzima msimu uliopita bila kugusa mpira akiuguza majeraha. Jamaa anahitaji muda ili arudi kwenye kiwango kile. Solanke ni mzima na mara kwa mara amekuwa akicheza kwenye mechi za U23 ila kwa msimu huu ujio wa shaqiri na kurejea kwa sturridge sioni nafasi kwa origi na solanke, hawa wanasubiri January waende kwa mkopo na wanatakiwa na Newcastle.
Game ya arsenal Lovren angekuwa mzima. Trent asingeanza ile mechi. Na lovren akianza mara nyingi nafasi ya Trent huchukuliwa na Gomez. Kwa maoni yangu yupo sahihi na ana taarifa nyingi kuliko sisi mashabiki tumpe support
Hivi hadi leo mmefungwa game ngapi EPL?hayo ni maneno tu ...wewe mwenyewe unajua fika kuwa huna timu ya kuchukua ubingwa msimu huu na suala la ARSENAL kumaliza juu ya LOSERFOOL ni suala la muda tu so tutaona...........katimu kembamba sana hako tusubiri january ................mkichukua ubingwa na timu hii mimi nahama GUNNERS
Ishu ya Clyne ipo wazi sana klopp hamkubali huyu jamaa halafu huyo solanke sitii maneno mengi utaona we mwenyewe kwenye hizi mech mbili tatu zijazo
Milner kaiokoa team
Mkuu shaqiri ameachwa kwa sababu maalum. Jamaa walijiandaa kumshambulia huko Serbia. Fuatilia habari usome kwanini kaachwa. Wazazi wa shaqiri inasemekana ni wa Yugoslavia. Ukifuatilia historia ya Serbia na Yugoslavia utaelewa. Na shaqiri alishawahi kushangilia goal kwa style ambayo iliwaudhi. Klopp ameona amuache ili isije ikaleta shida hukoEti shaqri out duh
Kop kwa hii hoja yako unataka kusema hata Ox hana maana tena kwenye timu?Mkuu inaonesha unaishi kwa Kukariri kuwa tokea ulipomuona Clyne Mwaka 2016 akiichezea Liverpool basi unahisi Kiwango Chake kipo vilevile.
Nadhani umesahau kuwa Mwaka Mzima Wa 2017 huyu mtu alikuwa Kitandani anauguza Majeraha.
Na inaonesha tokea huo Mwaka 2016 hujawahi kumuona akicheza Hata Carabao.
Kwahiyo Hata Lallana unaweza kutushauri kuwa tumchezeshe kulingana na Kiwango chake cha 2016 na si Kiwango chake cha sasahivi alichonacho.
Mkuu kuna mambo usishikilie tu kwasababu eti unamkumbuka mchezaji miaka 3 iliyopita alikuwa na Kiwango bora!! Huu si Mwaka 2016 Bali Ni 2018.
Eti shaqri out duh
Kop kwa hii hoja yako unataka kusema hata Ox hana maana tena kwenye timu?
Kwanza hatuna hoja maalumu ya kumjudge Clyne kwasababu mpaka sasa ajacheza hata game tatu! Apewe nafasi tuone kama kweli kaisha au hajaisha
Na Fifa walimtwanga faini kwa kosa hilo la ushangiliaji.Mkuu shaqiri ameachwa kwa sababu maalum. Jamaa walijiandaa kumshambulia huko Serbia. Fuatilia habari usome kwanini kaachwa. Wazazi wa shaqiri inasemekana ni wa Yugoslavia. Ukifuatilia historia ya Serbia na Yugoslavia utaelewa. Na shaqiri alishawahi kushangilia goal kwa style ambayo iliwaudhi. Klopp ameona amuache ili isije ikaleta shida huko
Sasa hapo Mkuu kumuingiza Clyne uwanjani ili tuone kuwa ameisha au hajaisha itakuwa tunajaribu wakati kwenye Mpira Hakuna Kitu majaribio.
Na kuhusu OX hilo lipo wazi atakapokuja Hatuna uhakika kuwa atakuwa vilevile alivyokuwa.
Comment reservedUmekuwa Shehe Yahya na unasahau sana haraka mbona?
WHU alifungwa 4-0 sasa team inayo fungwa 4-0 ndiyo ilisumbua?
Brighton alifungwa 1-0 kama ambavyo Newcastle alipo fungwa 2-1 na Man City!
Sasa hawa akina Watford ndiyo watamsumbua Liverpool huyu?
Huyu kocha licha ya kua ni mzuri sometime naona anaweza kukaa miaka kumi liver bila kombe, muda mwingine naona bora atimuliwe tu mbona ukame tushazoea maana huwezi kua na timu imekamilika kwa karibu asilimia 85 halafu haueleweki lengo lako lipi?Lallana, Gini duuh
Ngoja nione