Lecheminduroi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 1,183
- 3,600
mkuu ni mtazamo wangu kwahiyo sio lazima kukubali harafu usinifanye kipofu wakati nina macho mawili na yanafanya kazi kwa ufasaha embu nikumbushe nafasi salah aliyomtengenezea mane au firmino lasivyo nikwambie tu usikurupuke huo upuuzi wa salah anaofanya watu kama wakina sterling walishafanya wakati ndio makinda lakini saizi wamekuwa wameonja ladha ya ubingwa na wanajua nini chakufanya wakiwepo uwanjaniWe naye umepotea njia! Perfomance ya Salah jana ilikuwa ya viwango vya juu! Salah kasababisha nafasi nyingi kwa mane na firmino sema ndo hvyo umaliziaji ulkuwa tatizo.
Mkuu jana hilo suala la Milner nimegusia watu wamejudge bila kujua hoja yangu ni nini, yani huwezi anza na viungo wote wenye asili ya kukaba na utegemee points tatu ukiwa ugenini itakuwa uongo... tunahitaji Ox apone Shaqiri aanze unless otherwise tunailinda nafasi ya nne tuYou know me brother, i'm not that deluded.
and if umepitia my recent posts, nimediscuss kuhusu kumpa Klopp muda kuhusu EPL, because he needs more that time ili kubeba hili kombe.
unajua this summer, tulisajili 2 midfielders ambao strength yao ni kwenye mfumo wa 4-2-3-1 (mainly Fabinho), but Klopp anashindwa kuswitch completely kwenye huo mfumo kwasababu anaogopa "his brexit boys" watakuwa eased-out completely.
Jana, kacheza 4-3-3 ili Milner acheze (not bad), but how do you link na front-3 bila ya kuwa second-hand creative mid? ambaye kwasasa ni Shaqiri?, kwanini usicheze mfumo ambao midfielders wako wanakuwa free sana kuucheza? why ucheze defensive game na team ambayo haina defensive cover nzuri?
he played 4-3-3. and Unai kacheza na mfumo wake ule ule wa siku zote wa 4-2-3-1 and he outclassed him kabisa.
Unai knew kabisa mfumo wake huu ungewaondoa kabisa wachezaji kama kina Ramsey, ambao wamekuwepo kwenye Club kwa muda mrefu, but hakujali kabisa but kwa Klopp ni tofauti kabisa ndiyo maana anachelewa sana kuwin trophies.
You know me brother, i'm not that deluded.

Mkuu jana hilo suala la Milner nimegusia watu wamejudge bila kujua hoja yangu ni nini, yani huwezi anza na viungo wote wenye asili ya kukaba na utegemee points tatu ukiwa ugenini itakuwa uongo... tunahitaji Ox apone Shaqiri aanze unless otherwise tunailinda nafasi ya nne tu
Asante sana kwa analysis nzuri....
Binafsi nilijihoji ilikuwaje akaingia na mfumo huo ilhali akijua kabisa utamuoutfit mchezaji hata aonekane mzururaji tu uwanjani?
Kwa nini asimtoe Milner ili Shaq aingie na kujaribu mfumo wa 4-2-3-1 ulionekana mzuri kwa mechi mbili mfululizo? Je hakujiamini kuwa anaweza kushinda hivyo alilazimika wacheze kujilinda? Sikuona sababu ya Andunje Torreira kutamba kwenye dimba la kati namna ile wakati Shaq alikuwa na uwezo wa kusumbua ile back-four ya Arsenal.
Nami nina mashaka kuwa twaweza kuwa title-contender kwa mara nyingine mbele ya Man City na Chelsea.
Kumbuka Sarri ameshatamka kuwa ingawa Moses ni mzuri lakini hafiti kwa mfumo wake. Naye kwa nini asituambie kuwa hajui mfumo gani autumie kwa kikosi chake?
You know me brother, i'm not that deluded.
and if umepitia my recent posts, nimediscuss kuhusu kumpa Klopp muda kuhusu EPL, because he needs more that time ili kubeba hili kombe.
unajua this summer, tulisajili 2 midfielders ambao strength yao ni kwenye mfumo wa 4-2-3-1 (mainly Fabinho), but Klopp anashindwa kuswitch completely kwenye huo mfumo kwasababu anaogopa "his brexit boys" watakuwa eased-out completely.
Jana, kacheza 4-3-3 ili Milner acheze (not bad), but how do you link na front-3 bila ya kuwa second-hand creative mid? ambaye kwasasa ni Shaqiri?, kwanini usicheze mfumo ambao midfielders wako wanakuwa free sana kuucheza? why ucheze defensive game na team ambayo haina defensive cover nzuri?
he played 4-3-3. and Unai kacheza na mfumo wake ule ule wa siku zote wa 4-2-3-1 and he outclassed him kabisa.
Unai knew kabisa mfumo wake huu ungewaondoa kabisa wachezaji kama kina Ramsey, ambao wamekuwepo kwenye Club kwa muda mrefu, but hakujali kabisa but kwa Klopp ni tofauti kabisa ndiyo maana anachelewa sana kuwin trophies.
Kwa mtazamo wangu Gini, Milner ni watu wa kutokea sub, hatujachukua title almost thirty years kwa maana tunacompete tuchukue tuondoe gundu. Sasa tuna prompt competition gani kwa hii midfield yake pendwa huyu mzee ya Gini-Hendo-Milly ? Huku mchuano ni mgumu mgumu kuna timu kama nne sasa hivi ni title favorites(City,Chelsea,sisi na Arsenal)
Hiyo midfield tunayojitamba ilitupeleka final ya UCL msimu uliyopita nasema haifui dafu kwa current midfield ya Arsenal! Hawa waingereza Kocha wetu anawaogopa kivipi nawaza aisee.Gini-Milly-Hendo ukicompete na Fernandino-Kdb-Silva bado kwengine Kante-Gorginho-Kovacic. Ushabiki mchungu bana
Klopp anajua soccer management kuliko sisi man
but if you ask Sousness (Top 5 midfielder to ever played for this club) atakwambia pivot ya Faby na Keita ikiwa suported na Shaqiri ndiyo the only way.
but kwasasa, kipindi ambacho Keita anastruggle, tungestick na pivot ya Faby na Gini, wakisaidiwa na Shaqiri, na Milner atumike kwenye home CL games tu.
sasa klopp jana kacheza 3-man midfield kwaajili ya Milner tu and not other-wise
Kazi tunayo
Huyu City huyu na bado kule kuna Chelsea binafsi sijui
.....daaah ! Gulp...gulp...gulp !Mkuu sijui umependa Liverpool Mwaka gani lakini usisikilize Plastic Fans wanaojitangazia Makombe kila Msimu! Ukweli Ni Kwamba Msimu huu hatuna Kombe lolote tutakalobeba, Nakuhakikishia Tunamaliza Msimu Mikono Mitupu.
Sisi wakongwe kwenye timu tumeshazoea haya wala hatujisumbui.
I swear iwapo Klopp ataendelea kuwaogopa Waingereza basi katika uongozi Wake hatutoshinda chochote.
Mkuu hapa hapana kombe usijisumbue...
Wamepotea kivipi?Mpaka sasa nashindwa kuelewa hivi hawa kina Mane, Salah na Firmino ndo walewale wa mwaka jana au tumebadilishiwa?
Walitubeba timu ikiwa haina defense, leo defense iko wao wamepotea.
Nakushauri ondoka hapa, hapakufaiMkuu sijui umependa Liverpool Mwaka gani lakini usisikilize Plastic Fans wanaojitangazia Makombe kila Msimu! Ukweli Ni Kwamba Msimu huu hatuna Kombe lolote tutakalobeba, Nakuhakikishia Tunamaliza Msimu Mikono Mitupu.
Sisi wakongwe kwenye timu tumeshazoea haya wala hatujisumbui.
I swear iwapo Klopp ataendelea kuwaogopa Waingereza basi katika uongozi Wake hatutoshinda chochote.
Mkuu hapa hapana kombe usijisumbue...
Hahahahahahahahahahahahahahahaha dah.aiseeWamepotea kivipi?
Mbona ndiyo takwimu zinawabeba zaidi?
Tumetoka sare na big teams tu Man City,Chelsea ugenini na Arsenal ugenini
Team ipo sawa sana,sasa tunacheza na Fulham,Watford na akina Newcastle
Hapo akina Mane watafunga tu
Fabihno alicheza vibaya sana lkn nimechi ya kwanza kwake kubwaNaona lawama nyingi za kuboronga kwa mid yetu jana zinaenda kwa Fabinho while both Milner and Gin walifichwa, Arsenal waliutawala sana mpira eneo la kati, generally our perfomance was poor ingawa still unbeaten and one point away so mbaya. Msimu huu bundi kahamia eneo la midfield but we have time to change
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahNakushauri ondoka hapa, hapakufai
Nakushauri hamia kwa team ambayo umeambiwa na watabiri kama ndiyo itachukua kombe!
Nani anampendelea muingereza hastahili kucheza?
Liverpool hii inachukua kombe tena sio FA
Ni Liverpool bora kabisa kupatwa kukusanywa na kocha yyt yule ktk modern football era
Team inafanya vyema bado mnaongea madudu tu!
Nani hajamfunga Soton?City kamfunga nani ambaye Liverpool hajamfunga?
Uchambuzi mbuzi kabisa
Mkuu sijui umependa Liverpool Mwaka gani lakini usisikilize Plastic Fans wanaojitangazia Makombe kila Msimu! Ukweli Ni Kwamba Msimu huu hatuna Kombe lolote tutakalobeba, Nakuhakikishia Tunamaliza Msimu Mikono Mitupu.
Sisi wakongwe kwenye timu tumeshazoea haya wala hatujisumbui.
I swear iwapo Klopp ataendelea kuwaogopa Waingereza basi katika uongozi Wake hatutoshinda chochote.
Mkuu hapa hapana kombe usijisumbue...
Kuna wachambuzi wa ajabu sana aiseeHahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Spurs kwangu sio kigogoHawa washabiki Wa Chelshit akili zao sijui zina madini gani!!!
Chelsea kadraw Home na Liverpool na Man United, Na Kashinda Home dhidi ya Arsenal...
Liverpool kadraw Away na Chelsea na Arsenal...
Kashinda Away dhidi ya Spurs...
Kadraw Home dhidi ya Man City.
Halafu unatokea mshabiki Wa Chelshit anaandika Comment kama hiyo....
Sasa wewe uliyemfunga Arsenal pekee tena home, Na Mimi niliyemfunga Spurs pekee tena Away kweli ulichokiandika Kinamake sense?
Sasa Round ya Kwanza umecheza Home mechi za Vigogo zote na umeibuka na Vidraw, basi subiri 2nd round uanze kutoka Away then uje na Comment kama hii.