AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
kuna ukweli hapa?View attachment 918510
kuna ukweli hapa?View attachment 918510
Nadhani ni udaku tuHizo habari mi mwenyewe nimeziona, wanyetishaji wanasema anataka kwenda PSG kwa mkopo, and earlier PSG were after him
Nadhani ni udaku tu
Fabihno hakuwa sawa sawa kuanza EPL
Sasa ndiyo kaiva!
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Epl ilikua 1990 takribani miaka 28 sasa umri wa mtu mzima
Steven Gerald aliondoka mikono mitupu
Bado mashabiki wa liver wanaishi kwenye ndoto kuwa ipo siku watachukua ubingwa, endeleeni kuishi kwenye hizo ndoto millele hata Gerald na yeye alikua na ndoto kama zenu.
Mtasuffer sana, mtababaika sana lakini Epl hamchukui ng'ooo
Tulia kisu kimekata mfupaeKwanza unapenda uchawi ila uchawi haukupendi...
Pili jifunze majina ya wachezaji.. Gerald ndio nani.!?
Halafu usipende kuwa kimbelembele kama mtoto wa kike..
Kwanza JF umeijua juzi achana na Liverpool y2 usijifanye unaijua sana.Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Epl ilikua 1990 takribani miaka 28 sasa umri wa mtu mzima
Steven Gerald aliondoka mikono mitupu
Bado mashabiki wa liver wanaishi kwenye ndoto kuwa ipo siku watachukua ubingwa, endeleeni kuishi kwenye hizo ndoto millele hata Gerald na yeye alikua na ndoto kama zenu.
Mtasuffer sana, mtababaika sana lakini Epl hamchukui ng'ooo
Teh teh wewe unaijuaje?Kwanza JF umeijua juzi achana na Liverpool y2 usijifanye unaijua sana.
Tulia kisu kimekata mfupae
Tehe tehe teh
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Epl ilikua 1990 takribani miaka 28 sasa umri wa mtu mzima
Steven Gerald aliondoka mikono mitupu
Bado mashabiki wa liver wanaishi kwenye ndoto kuwa ipo siku watachukua ubingwa, endeleeni kuishi kwenye hizo ndoto millele hata Gerald na yeye alikua na ndoto kama zenu.
Mtasuffer sana, mtababaika sana lakini Epl hamchukui ng'ooo
Record zinaonyesha kloop hajawahi kumsumbua unai imery
Ningependa kosi leo liwe hivi
Becker
Trent
Gomez
Djik
Robo
Gini
Fab
Shaqiri
Salah
Mane
Firmino
Lakini kwa akili za kocha wetu muda mwengine hazisomeki tunaweza ingia uwanjani na usajiri mmoja tu wa msimu huu(Becker)