Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa nimeanza kuzitilia nguvu habari za media hizi
 
Dogo Mateo Guendouzzi alikula kadi nyekundu jana kwenye Carabao, so will he be playing versus LFC this Saturday?
 
Anacheza kama kawaida adhabu anaitumikia kule alipoipatia tu so atamis game ya spurz ya robo fainali

Hahahahaha Sheria zimeshabadilika tangu last season mashindano yote yaliyochini ya FA ukipata RED CARD ina apply kwenye all competitions ya FA kuanzia Carabao cup. FA cup mpaka Premier league.
 
Sio kweli

Cheers aisee

Huyo dogo ni shida linapokuja suala la kukata umeme, Hazard huwa inahitajika watu wawili kumkaba ila kwa nilivyomcheki huyo Gouendouzzi ile mechi ya CFC vs Arsenal pale darajani nasema hivii dogo Goundouzzi anaweza/anatosha kumkaba Hazard akiwa alone!
 
Kwanini usiseme anaweza kumkaba Salah?!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…