Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,921
watu wengine bhana ila ndio ushabiki kwenye ishu ya historia ya liver kwenye vikombe before 1990 mnasema history doesn't matter ila kwa klopp na unai now history is matter why dont you be consistence
kwa mimi nilivyoona leo bobby alikuwa mpole mno labda ndio maana akamtoa ili shaqiri asogee mbele kidogoSub ya Milner kwa Firmino kazingua labda kwasababu tumecheza na Cardiff madhara yake atujaona
Asijaribu huu upuuzi kwenye gemu kama ya Napoli au City tunaeza shtuka tupo mortuary siku hiyo
Vipi mkuu FT inasomaje huko ulipo! Endelea na ramli
Mbona naona kama mnafungwa?
Pambana na sarriball hajawahi kuchukua kombeAnd now #Unai_isComing..
Ukumbuke Klopp ana historia mbaya SANA kwa Emery Unai. Hajawahi kushinda!
#Unai_isComing.
Toka juzi umeongezeka page moja, asipokuwepo yule jamaa wa kupaste post za twitter ule uzi hauna jipyainaonekana uzii wa the blues upo so boring maana hua hamkauki hapa na leo ngumu kumeza ila twaongoza ligi bwana Mangi...
Aiseeeeh hiyo ndoto inatmua liniTonny Martial akataa mkataba mpya Man United.
Klopp anamwinda na yupo kwenye radar za Liverpool tokea kabla ya kutua Man United.View attachment 912308
The crazy thing is, we still have Chamberlain to come into this team, and we all know how well he and Salah links up [emoji7] exciting times are still ahead [emoji3]
Still Captain Wetu Akipona Soccer Management itamrejesha uwanjani na Kumrudisha Fabinho Kwenye Bench.
Ingawa tunaambiwa Kuwa Klopp anajuwa Soccer Management kuliko sisi lakini Napata Ukakasi kuona Lallana anaanza ahead of Xhaqiri.
Nakuunga mguu aiseeeeWengi wanahisi hapa wao wanawajua wachezaji wa Liverpool kuliko Klopp!
Dude huyu Klopp ndiyo anashinda na hawa wachezaji day in day out wewe huwezi ukawa unajua nani acheze lini kuliko Klopp!
Akipona Hendo akimpa na Fabihno akienda benchi nitamuunga mkono Klopp sababu he knows better than me!
Wewe ni nani upinge nani acheze akiamua Klopp anayekaa nao mazoezini?
Mwchi gani kaanza Lallana mbele ya Shaqir zaisi ya jana?
Kocha anayekaa na wachezaji ndiyo anajua nani aanze nani awe benchi
Klopp anajua soka menejiment mara elfu 10 zaidi yetu