Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kumaliza ubishi usio na faida, nimeiba simu ya baba.
R.I.P Bibi ya chaliifrancisco.
ila kama una hekima, huwezi mfananisha Salah na Ronaldo. "kama una hekima"
Kaka hebu rudi kasome post upya alafu kama hujaielewa inamaanisha nini omba ueleweshwe please.
 
nimeisoma kwa makini sana rafiki.
na nimetoka kuiona mitandaoni kwengine.
Basi wewe umeilewa vibaya kwasababu hujataka kuisoma vizuri.

Hiyo ni random fact ambayo pamoja na kuwa kweli Salah afikii bado kulinganishwa na De Lima lakini ukweli upo wazi kuwa

"Salah mpaka sasa amefunga magoli 14 katika Champions League sawa na aliyofunga De Lima katika Champions League, ingawa De Lima alicheza mechi 11 zaidi ya Salah kufikia idadi hiyo ya magoli"

Haya ndio maudhui ya hiyo picha wala hakuna anaemlingamisha Salah na De Lima.

Sijui kama bado hujaelewa?
 
maelezo mepesi tu yanayoeleweka hivi rafiki, ukayaacha ukaamua kunijia na maneno mithili ya aloe vera kuhusu matope na akili na makalio.
ahsante lakini.
nimeelewa vema zaidi.
 
Fabinho vs Red Star Belgrade

90% passing
2 chances created
5/5 aerial duels
9/12 tackles -
1 interception
1 shot

MOTM [emoji122][emoji122]

Yani mtu anawin 5/5 aerial duels √√√√√

Anacheza 9/12 tackles √√√√√√

Halafu anaekwa Bench na Mtu ambaye katika Career Yake Yote hakuwahi Hata kufikisha 4/12 tackles???? You are not serious Klopp.
 
"Attack wins you matches but defence wins you titles"
-sir alex fergerson
"If i have to choose between winning 6 goals in one match and winning six matches with one goal,il choose the later"
 
Naona mlima mzito kiasi bado ila si kama mlima walionao PSG,spirit hii ya timu ni nzuri,Fabinho ameonyesha kweli ni mpambanaji

Ukimtaja Fabinho tu unanifanya Niende YouTube Nikarudie Kumuangalia Kwa Mara ya 11...
Dah! Huyu Jamaa Ni Mashine Kweli... 😀😀
Naamini James Pearce na Ian Doyle gonna die in vain ...
 
"Attack wins you matches but defence wins you titles"
-sir alex fergerson
"If i have to choose between winning 6 goals in one match and winning six matches with one goal,il choose the later"

Katika Jambo Moja Ninalomkumbuka na Kumpa Heshima Ferguson basi Ni Huu Msemo wake.

Last season Tulipiga watu 4G nyingi sana, tukapiga mtu mpaka 7 lakini Muda kama huu Tulikuwa Nje ya Top 4 na tukiconced magoli mengi kuliko Points zetu.

Kwa Spurs pekee na Mancity muda Kama huu tuliconcede magoli 9 (I hate to say that).

Lakini Mara hii kwa timu hizi mbili Tumeconced Kagoli Kamoja tu.

Yani CB ndiyo kila kitu katika soka.
Bila ya CB bora, basi 4G zako hazitakusaidia chochote in case of winning trophies.

Sitojali kushinda kagoli kamoja kila mechi as long as tunaondoka na 3 points na Hendo & Lovren wakiwa Benchwarmers.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…