Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

AROON , Malafyale , eden kimario , Ollachuga Oc na Antonio Conte haya Majina yote itakuwa huyu Ni Mtu Mmoja mwenye ID tofauti..
Na kama Hawa Ni Watu tofauti basi Ninauhakika Watakuwa hawa Ni Ndugu Wa Baba mmoja na Mama mmoja.
Sina undugu na hao jamaa walio tajwa!
Sina ID yyt zaidi ya jina hili nililo lisajili hapa miaka zaidi ya 10 iliyopita!
Mm ni Liverpool na natetea jezi ya Liverpool na nakosoa palipo na haki
 
Sina undugu na hao jamaa walio tajwa!
Sina ID yyt zaidi ya jina hili nililo lisajili hapa miaka zaidi ya 10 iliyopita!
Mm ni Liverpool na natetea jezi ya Liverpool na nakosoa palipo na haki

Hii thread naona imekuwa ya sisi kwa sisi.

Sidhani kama kuna mshabiki wa Liverpool anayeiombea mabaya timu, ukosoaji wowote unalenga kuboresha.

Mimi nafikiri tufikie mahali tuelewe kwamba tunatofautiana mitazamo, na tuchukuliane hivyo hivyo.
 
Hii thread naona imekuwa ya sisi kwa sisi.

Sidhani kama kuna mshabiki wa Liverpool anayeiombea mabaya timu, ukosoaji wowote unalenga kuboresha.

Mimi nafikiri tufikie mahali tuelewe kwamba tunatofautiana mitazamo, na tuchukuliane hivyo hivyo.

Kuna watu wanahisi Kukosoa Mfumo au Plan ya Kocha Ni Kuiombea Mabaya Timu.

Wanadhani Kuipenda Timu Ni Kufungwa halafu ukaja Ukajisifu Tumefungwa lakini Tumewakamata Mwanzo mwisho.

Wanadhani Kuipenda Timu Ni Kuamini Kuwa Kocha Hakosei.

Mtu anaweza jikutia Kwenye JF ni Mkongwe lakini Kwenye Soccer akawa Bado Ni Amateur.

Mimi Kwenye JF Ni Wajuzi tu, Lakini Kwenye Liverpool nipo Tokea Mwanzilishi Wa JF bado yupo Shule ya Msingi/Sekondari.

So, Kwavile nimeyaona Mengi ndani ya Liverpool na Magumu tuliyopitia, basi sitopendelea tuendelee Kuwa Zero Trophy kisa tu Mchezaji yeyote atakaevaa jezi ya Liverpool basi Nimtetee Kuwa Anastahiki.
 

Yeah, kuna njia tofauti za malezi, kuna mzazi mwanae akikosea anamkanya tena hata wakati mwingine kwa fimbo, haina maana eti huyo mzazi hampendi mwanaye.

Ukiona mzazi ambaye hamkanyi mwanae, eti kisa tu hataki mwanae pendwa akasirike ujue huyo mzazi ana shida mahali.

Liverpool ni yetu sote, mahali pa kukosoa tunakosoa, pa kusifu tunasifu.
 

PREAAAAACH
 
Predicted XI Squad

Allison
TAA
VVD
GOMEZ
Robertson
Wiljnadum
Milner
Shaqir
Lalana
Firmino
Salah
 
Mapicha picha ni kua echo wamempa lovren nafasi ya kuanza mbele ya Gomez. Yaniii ile partnership ya CB kati ya vvd na gomez ndio inaenda kupotea ivi ivi
 
Game ya leo ni Kuwa Keita injury, Hendo injury! Basi Kama Fabinho atapewa Nafasi huenda ikamjengea Confidence kwake na kwa Kocha..
Lakini sitoshangaa Kuona Mids ya Gini-Milner-Lallana/Xhaqiri.
sijawai kumkumbali Lallana, but gemu ya vs Hfield ndogo alikua anarudi nyuma chap kusaidia defence, kwa ushindani wa namba kikosini ameshajua hapa Uingereza wake hautambeba ndio maana ana mkopi Milner.
Ishu ni kwamba ndogo ana chenga zake fulani za kuchelewesha mashambulizi...
Hii gemu ya leo Fabi ingemfaa sana nwa hope akiedelea kupata nafasi ataedelea kua bora mpaka Klopp akumbali kumwanzisha...
 
Lazima mjue team yenu haina wachezaji wa kutwaa ubingwa wowote msimu huu yaani mambo ni empty kwa upande wenu kuhusu EPL na FA cup
Ndio kwanza match ya 10 inafuata pale EPL mmeshaanza kujichokea
Nafikiri kauli ya kubeba hapo ni ya Shaqir na sio kocha
Wachezaji wameanza kuchoka sasa mwalimu anajitahidi kuwafanya wahifadhi nguvu
 
ingekua tupo nafasi ya kumi na vile na UCL hatuna hata pointi ungekua una make sense, ubao unasoma tupo sawa na Manshit wanatuzidi magoli EPL...UCL tupo nafasi ya pili na mzunguko wa kwanza ndio unaisha leo na tutakua kileleni ..hio FA tuongee mwakani ndugu..
na kuhusu UCL tuongee msimu ujao mkafanikiwa kurejea otherwise hamia uzii wa aseno..
YNWA
 
Klopp kanifurahisha sana leo, kikosi hiki kilikuwa kinanikosha kama kikipangwa
 

Attachments

  • Screenshot_20181024-213903.png
    37.7 KB · Views: 32

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…