exactly my brother..Kwa General results tunaweza kusema ni improvement lakini Kwa Performance ya timu inasikitisha na inakatisha tamaa Liverpool tumeflop kabisa Hii style tunayocheza hivi sasa itafikia mwisho itafeli tu We need to change
Nafikiri msimamo wa ligi unaonesha nani bora zaidi ya mwenzie!"Chelsea ni bora Mara mbili ya Liverpool na Mara moja kuliko man city"
Hakuna aliye mdharau mtu.Mbona jamaa ana staha sana humu
Kwa nini msimpe stahili yake katika heshima?
Vipi siku hizi Lovren kawa mzuri?Sometimes unajikutia unameza maneno yako! Kocha Msaidizi Wa North Ireland Roy Kean aliwahi Kusema "I will not watch Liverpool even if they are playing in my back garden".
Lakini Jana Aliishia Kuwaangalia Liverpool U23s kwa ajili ya Kumfatilia Kipa wetu Coimhin Kelleher..
MZURI mwenye tu points 21 ?Hakuna aliye mdharau mtu.
Vipi siku hizi Lovren kawa mzuri?
Maana Lovren na Hendo si wote mlikuwa mnawatukana hapa,mbona siku hizi sioni kejeri kwa Lovren?
Katoka juzi Hendo dakika ya 45 tu tuliongeza bao ngapi?
Takwimu zinawatia sana aibu
The real Liverpool fans tutamshangilia mchezaji yyt wa Liverpool anayepewa jezi na Klopp
We are Liverpool,together we stay!
Eric Dier anakaa nje kwa Hendo team ya TaifaBinafsi sijaona shabiki wa LFC anaemhusudu Dejan Lovren,
Ahahahahhaha, huyo Hendo kila shabiki wa mpira ambae si mnafiki hawezi kumkubali huyo Hendo
Eric Dier vs Hendo ? Huuuh!
Eric Dier anakaa nje kwa Hendo team ya Taifa
Nae Southgate anampendelea Hendo?
Hendo kila team ana anza!
Kwenye mvua,kwenye jua tuishangilie team yetu kaka!Haya bwana, inawezekana uko right or either way
He’s a troll..
Bet he started supporting LFC in 2005 after that CL final..
And aliona influence ya SG kwenye ile game, but he still think Hendo who cant even influence the team and hides away from the ball can win us a big trophy like CL..
Anaishia kutuambia winning trophy ni “collective effort”, well you need to have an influential captain to make that shit argument even count, whatsover.
Haya bwana, inawezekana uko right or either way
• Na Cha Ajabu ni Kuwa Aliumia Chamberlain ikazua taharuki Kwa Washabiki.
• Aliumia Keita ikazua taharuki kwa Washabiki.
• Firmino aliumia Jicho ikazua Taharuki Kwa Washabiki.
• Aliumia VVD ikazua taharuki Kwa Washabiki.
• Aliumia Mane ikazua Taharuki Kwa Washabiki.
• Aliumia Salah ikazua taharuki Kwa Washabiki.
Lakini Kwanini Kuumia Kwa Henderson Juzi imekuwa Ni Kama Blessing Kwa Mashabiki Wengi Wa Liverpool? Kwanini Washabiki Wengi Wa Liverpool Wameoneshwa Kufurahishwa na injury ya Henderson?
Je Mtu hajiulizi tu haya Maswali ili agundue kuwa No one cares about Hendo injury?
LoooooL• Na Cha Ajabu ni Kuwa Aliumia Chamberlain ikazua taharuki Kwa Washabiki.
• Aliumia Keita ikazua taharuki kwa Washabiki.
• Firmino aliumia Jicho ikazua Taharuki Kwa Washabiki.
• Aliumia VVD ikazua taharuki Kwa Washabiki.
• Aliumia Mane ikazua Taharuki Kwa Washabiki.
• Aliumia Salah ikazua taharuki Kwa Washabiki.
Lakini Kwanini Kuumia Kwa Henderson Juzi imekuwa Ni Kama Blessing Kwa Mashabiki Wengi Wa Liverpool? Kwanini Washabiki Wengi Wa Liverpool Wameoneshwa Kufurahishwa na injury ya Henderson?
Je Mtu hajiulizi tu haya Maswali ili agundue kuwa No one cares about Hendo injury?
Mkuu, save your energy.Mawazo kama haya Ndiyo yaliyofanya Ndani ya Miaka 6 tusishinde chochote
Upo wrong tena na go check your recordsHivi Kuna Mtu anayemuhesabu Lovren kuwa Mchezaji Wa Mpira tena anayestahiki Kucheza timu kama Liverpool??
Tulinyamaza Kumlalamikia Lovren Kwasababu alikuwa Akisugua Bench mbele ya Gomez..
Sasa utamlalamikiaje Mchezaji Anayesugua bench?
Tokea Mechi Mbili zilizopita Hapa tumepost Mara nyingi tu kuwa Klopp ameamua Kuuwa kwa Makusudi Kiwango cha TAA na Kuidestroy Future ya Gomez ya CB kisa tu Lovren nayeye acheze.
Hakuna Anayejua Mpira akaweza Kumsifia Lovren ambaye ni Shit player accident waiting to happen.