OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Wewe jamaa unatakiwa uwe na tabia za kiume. Halafu sijawahi kukuomba uni quote.Mimi nilishaacha kumquote huyo jamaa, anaandikaga pumba balaa, mwisho wa siku ukijibizana na wewe unaonekana kama yeye tu.
Sawa mkuu. Last season naona japo sisi tulisindikiza wewe ndio ulikuwa bingwa na msimu huu bado tunawasindikizaEPL mnasindikiza tu iyo hata klopp anajua. Usijifariji sana kwa ushindi wa jana wa tabu na mateso mengi.
Iyo tofauti ya point ni ndogo sana kwa Chelsea ...
Wewe huna kikosi cha kubeba EPL na ilo linajulikana kabisa.
Utegemee uefa tu "game of chance" unaweza kufika hata robo fainali.
Sasa mkuu wewe utabishana na nani kama logic huna? Mtu utasema una akili lakini hujui tofauti ya 1 na 3 na bado unataka watu na akili zao waendelee kupoteza muda wao na kuchosha akili zao kubishana na wewe?Wewe jamaa unatakiwa uwe na tabia za kiume. Halafu sijawahi kukuomba uni quote.
Basi sawa nyie mna akili sana.Sasa mkuu wewe utabishana na nani kama logic huna? Mtu utasema una akili lakini hujui tofauti ya 1 na 3 na bado unataka watu na akili zao waendelee kupoteza muda wao na kuchosha akili zao kubishana na wewe?
Westham vs chelsea ni watani wa jadi usishangae iliisha bila bilasisi tumewafunga Hudds 1-0 ni Tim ya kawaida.
sisi tumemfunga westham goals 4-0 na nyinyi mmedraw na na westham 0-0
nyinyi mnajiona mko juu sana.
Brother tumia kidogo akili kwenye kuchanganua mambo!
Kufungwa hakukwepeki mtafungwa tu siku na saa yoyoteMkuu rudi ukafanye analysis vizuri. Team yetu now tumebadilisha mbinu za kupigana. Team yetu ina uwezo wa kufunga goal kwenye kila mechi. Sasa hivi strategy ni kuhakikisha hatufungwi goal.
[emoji3] [emoji3] makombe mtaendelea kuyasikia tuWest Ham 0 - 0 Cheslea
Ivi West Ham ni Bonge la Timu na Bingwa wa Ulaya?
Once Rant boy is always Rant bony
Ukweli utabaki kuwa ukweli tuKweli mkuu hujui tofauti kati ya 3 na 1?
Hujui tofauti ya point 2 ina maana gani? Au sijaelewa swali lako.
Nyie plastic fans wa chelsea huwa hamna logic wala hoja huwa mna ubishani wa kijiweni tu. Ndio maana huwa napita kimya kimya maana nawaonaga ni butt hurt plastics wenye wivu na LFC.
Ukimind kaangalie msimamo wa EPL.
eden kimario
brother hoja uliyotoa ni nyepesi sana...haaahaaaaaaWestham vs chelsea ni watani wa jadi usishangae iliisha bila bila
"ASIYE JUA KITU" Hendo katoka dakika ya 45 ikiwa 1-0 tunaongoza!
Wakaingia "WANAO JUA SAAANA"
Lkn dakika ya 90 mbona ikawa bado ile ile 1-0?
Si alitoka Hendo anaye zuia sana mashambulizi yetu?
Mbona bado ikawa 1-0 ile ile hata walio ingia ambao hawazuii mashambulizi akina Fabihno akina Wilj?
Mnazidi umbuliwa tu,Hendo ni mchezaji muhimu sana kwa Liverpool na ndiyo maana kapewa mkataba mrefu!
Klopp na team inayo mzunguka inajua soka menejimenti kuliko yyt hapa,hata robo hatumfikii
Pona haraka Le Capitane Hendo,the real Liverpool fans need you!
Inategemea mkataba wake Lallan kasaini lini kaka!Mkuu hivi unajua kuwa Adam Lallana ana mshahara mkubwa kuliko Sadio Mane?
Je inasound kichwani Adam kumzidi mshahara Sadio?
Inategemea mkataba wake Lallan kasaini lini kaka!
Wkt anakuja toka Soton Mane hakuwa hivi
Mkataba mpya wa Mane(kama atakubali kusaini) utakuwa mkubwa zaidi ya Lallana,sambamba kama wa Salah au Firmino
Ubingwa ni collectively effort sio za mtu mmoja!!HOJA ZA HENDO-FANBOYS
1) Hendo Katufikisha Fainali CL
2) Hendo Kaifikisha England Nusu Fainali WC
3) Sisi Hatujui Soccer Management
4) Sisi Hatumfikii Klopp Hata Robo
Kwa bahati Mbaya Ni Kitu Kimoja tu Ndiyo Wanachosahau Kukisema
5)Tokea Awe Captain Trophy ni Zero
Angekuwa na kiwango kama hiki cha sasa asingekuja kwa Milion 34!Labda nina kumbukumbu mbovu, ila Mane kipindi cha mwisho kabla hajaja LFC alikuwa ndio Superstar wa pale labda at same level na Graziano Pelle.
Angekuwa na kiwango kama hiki cha sasa asingekuja kwa Milion 34!
Mane tuliona potential ipo lkn hakuwa ameiva
Ndiyo maana akaja very cheap!
Sasa Mane kumtoa Liverpool unaongelea 100+M!
Kpandisha sana stock yake