Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama hujui tuishie hapa
Mimi naomba tuishie hapa

Konte Kaja Chelsea kamkuta klop lakini

conte kachukua EPL na FA na kashasepa

Gurdiola Kaja kamkuta klop lakini kashachukua ubingwa na anapambana Bado

Mourinho kaenda man u kamkuta klop yupo na liver yake Ila kashachukua vikombe vitatu na Sasa hvii Wanataka kumfyekelea mbali

Unai Emery Loading......

Sarriball.... Loading........

Klop....... Sleeping..........
 
Mo salah again and again
 

Attachments

  • AAEB5AE9-EE12-4BEE-ABFE-AF72E2BDBEB7.jpeg
    130.7 KB · Views: 31

Saying ‘i’m starting to question your football iq’ is not calling you names or attacking you..

Your reply to Masamila quote was so poor kwa mtu anayefuatilia football, especially EPL..

How can a player have 80% of foward passes accuracy and yet struggle to impact the attack or create attacking spaces brother? Au unaongelea 2 yards forwad passes? What do you understand about “sideways passes?” If henderson angekuwa na anacomplete 80% of his foward passes attempts angekuwa ni the most ni the most in demand DM on the planet my brother, if you know what “foward passes” inavyomaanisha..

Jorginho ndiye orchestre kwenye formation ya Sarri, chelsea Midfied imetengenezwa around Jorginho now and not Kante, Jorginho is Sarri main orchestre, Jorginho ndiyo focal point ya attacks na tempo ya team, Jorginho ndiye main creator from the midfield, Sarri needed Jorginho kwa ajili ya kuimplement his new idea katika team ya chelsea..

Alan presence helped Jorginho? This is wrong, Jorginho presence at Napoli ndiyo ilifanya the entire midfield ya napol i-click kulingana na Sarri-ball, unaposema kuwa Alan presence helped Jorginho unakosea, Regista ni lone MF haitaji presence ya mtu ili kushine, those around him ndiyo huwa wanahitaji presence ya Regista ili kucheza according na tempo ambayo regista anaiset, mfumo wa Sarri unahitaji kwanza a capable Regista before anything, Regista ndiye anayefanya Sarri acheze mpira anaotaka..

Ukimuambia Sarri auze kati ya Kante na Jorginho leo hii atauza Kante, na siyo kwamba Kante ni m-bovu but Sarri ball inahitaji zaidi uwepo wa Jorginho kuliko Kante bro..and Conte angemuhitaji zaidi Kante kuliko Jorginho..

Fabinho case na ile ya Jorginho ni tofauti, Sarri bought Jorginho kwaajili ya kuendeleza his style of play at chelsea na ndiyo maana he did not wait to throw him in the team, kwasababu alikuwa anabadilisha kabisa mfumo wa kiuchezaji wa Chelsea and he needed Jorginho to help him katika kuintroduce his new style of play at chelsea, Case ya Fabinho ni tofauti kabisa, Klopp bought him kwaajili ya kutighten up our midfield na siyo kwaajili ya kuintroduce new style of play, kama angekuwa anataka kuintroduce new style of play Fabinho angekuwa anacheza now, but he’s easing him kwenye mfumo wake Klopp wa kila siku, so its Fabinho who needs to adopt to Klopp same formation na siyo Klopp kuadopt na Faby new style of play..
 
hajamzidi, ila akianza kucheza Liver itabidi ibadili style of play ama kuna watu wataendelea kucheza out of position.

Liver haihitaji kubadili style yao of play kwaajili ya Fabinho bali Fabinho ndiyo anahitaji kubadilisha his style of play kwaajili ya LFC..

Understand, Klopp huwa anacheza na lone CM katika mid-3, Fabinho kazoea kucheza katika double-pivot katika mfumo wa kizamani wa 4-4-2 anaosimamia Jardim..

Klopp wont play double-pivot because of Fabinho, because kama akichange kwenye kwenye hiyo double-pivot atakuwa anabadilisha kabisa his traditional style of play, so to make sure kuwa hilo halitatokea ndiyo maana hujamuona Faby mpaka sasa kwenye serious games.
 


Nakuhoji stats unaleta nyimbo zako
 
"Mo Salah alichofanikiwa kuja nacho msimu huu kutoka msimu ulopita ni nywele tu na ndevu zake.." Mawingu FM

"Kama Salah ni mwanaume kweli, arudie kufanya alichofanya msimu ulopita.." DaudaShaffih
 
Arsenal nawaona humu mnajiringanisha na Liverpool eti kisa imetoka sare mechi mbili zilizopita

Liverpool amecheza mechi saba ngumu sana lakini ameonesha ubora wa hali ya juu
 
Arsenal nawaona humu mnajiringanisha na Liverpool eti kisa imetoka sare mechi mbili zilizopita

Liverpool amecheza mechi saba ngumu sana lakini ameonesha ubora wa hali ya juu
Tutaona mwisho wa msimu mmevuna nini, nakumbuka mliwahi kuwafunga big 4 karibu wote, mwisho wa msimu mkabaki mnagombania kuingia top 4,
 
Tutaona mwisho wa msimu mmevuna nini, nakumbuka mliwahi kuwafunga big 4 karibu wote, mwisho wa msimu mkabaki mnagombania kuingia top 4,
Kila kitu nakumbuka kila kitu nakumbuka alafu tukikumbusha na sisi unasema tumekremu. Bablai vipi? Kushinda hizo mechi kumekuwehusha hivyo?
 
Kila kitu nakumbuka kila kitu nakumbuka alafu tukikumbuka sasa unasema tumekremu. Bablai vipi? Kushinda hizo mechi kumekuwehusha hivyo?
Maana unajisahaulisha , tatizo huijui liva,

Anayeijua liva vzr huyu hapa chini bibi , huyu kashuhudia kizazi cha kina king keny, ian rush,

Sasa wewe ,umeanza kuijua liva baada ya klopp utaelewa nini?
 
Maana unajisahaulisha , tatizo huijui liva,

Anayeijua liva vzr huyu hapa chini bibi , huyu kashuhudia kizazi cha kina king keny, ian rush,

Sasa wewe ,umeanza kuijua liva baada ya klopp utaelewa nini?
View attachment 892470
Rudi kwenye hoja, umeanza kusema Liver anastruggle na timu ndogo kubwa anashinda, nimekuuliza liver ilianza league na timi kubwa? Ikashinda ama haikushinda? Tulitoa hata draw? Wewe umezifunga hizo timu ambazo ni the same class na ambazo amezifunga Liver umekuja kurukaruka hapa.
 
Haya mimi nimefungwa na hao wakubwa, haya nakupumulia point 2 nyuma

Wewe kombe lako kuwafunga wakubwa tu?
 
Haya mimi nimefungwa na hao wakubwa, haya nakupumulia point 2 nyuma

Wewe kombe lako kuwafunga wakubwa tu?
Baba, hizo ndogo hatujawafunga? Tukisema turudi nyuma mbona hutaki? Timu ambayo mlikiwa mnastruggle hata kuingia top 4 recently ni nan kama si nyinyi? Top 4 kwenu ilikuwa ubingwa.
 
Baba, hizo ndogo hatujawafunga? Tukisema turudi nyuma mbona hutaki? Timu ambayo mlikiwa mnastruggle hata kuingia top 4 recently ni nan kama si nyinyi? Top 4 kwenu ilikuwa ubingwa.
Hivi wewe hata top 4 kwako si ulikuwa msala? Wewe ulikuwa unagombania kwenda ueropa, napo ukakutana na UNAI akawanyoosha,

Hivi hujui liva ilishakuwa timu ndogo maana ilishindwa hata kwenda europa ,mpaka alipokuja klopp?

Je unajua mpaka UEFA walishawaweka kundi la timu ndogo mpaka leo?

Je unajua mpaka sasa rank za UEFA Arsenal yupo juu ya liver?
 
Kwenye kundi la UEFA wewe wangapi? Ilishakuwa timu ndogo mpaka Klopp alipokuja then at the same time unasema hajafanya kitu, na ilipokuwa timu ndogo.ukaizidi kombe gani mpaka sasa wewe timu kubwa ya muda wote?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…