Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kwanini wasiongee mkuu, liverpool ndio hamtakiwi kuongea maana bado mna struggle kila mwaka, soon mtakuja kulalamika hapa,Arsenal nao wameshaanza kuongea?
Kweli maisha yanakwenda kasi.
Hizo timu ndogo usishangae zikakung'ania , zimeshapoteza matokeo , zinajipanga hata sare tu kwao sawa,Ratiba yetu ya October na September:
October
√ 20 – Huddersfield Town (A)
√ 27 – Cardiff City (H)
November
√ 3 – Arsenal (A)
√ 11 – Fulham (H)
√ 24 – Watford (A)
Ni Michezo 5 tunayohitaji Minimum iwe Ni Points 13
Wewe ubadhan fulham utamfunga kirahisi?Kwahyo ndugu kuona umemfunga Fulham 5 basi ukadhan maisha ni mteremko tu, sio? Wew mwenyew unakumbuka ulivyoanza na zile timu kubwa nn uliambulia, hata draw ulikosa. Mpaka sasa Liver haijapoteza mechi yoyote kwenye league, uje utufunge ww Arsenal.
Wewe ubadhan fulham utamfunga kirahisi?
Labda mnaangalia matokeo hizo timu zinakaza sana, sema sasa hiv arsenal wana kocha anajua kusoma mchezo,
Mech na man city arsenal hakucheza vibaya, ni makosa madogo, the same ya chelsea ambayo kama sio kukosa umakin bas arsenal alikuwa anaimaliza game mapema first half, na ukumbuke ni kocha mpya, timu inatembea,
Sasa wewe klopp msimu wa tatu huu bado ana struggle,sasa hiv arsenal anakupumulia point mbili,
Endeleen kudharau hivo hivo,
Hata msimu wa 2001/2002 ilikuwa hivi hivi,
Mlituacha point kibao, tukatandika watoto wote huku nyie mkiongoza ligi
Mwisho arsenal bingwa,kutoka nafas ya 4
Mpira haupo hivo kama usemavyo,Wewe tayari ulishapigwa 2 bila majibu na Manchester City kwenu Emirates stadium na bado hujaenda kwake ndio wa kututambia kuwa utachukua ubingwa?
Ungesema kuwa mnapigania mcheze UEFA mwakani sawa, napo mkishukuru kuwa Manchester United wako vibaya msimu huu. Kingine licha ya Manchester kuwa vibaya ila anaweza akawatandika pia sababu nyinyi huwa wateja wake as always
HahahahahahahahahahahahahahahahaWewe tayari ulishapigwa 2 bila majibu na Manchester City kwenu Emirates stadium na bado hujaenda kwake ndio wa kututambia kuwa utachukua ubingwa?
Ungesema kuwa mnapigania mcheze UEFA mwakani sawa, napo mkishukuru kuwa Manchester United wako vibaya msimu huu. Kingine licha ya Manchester kuwa vibaya ila anaweza akawatandika pia sababu nyinyi huwa wateja wake as always
Wewe unakomaa kwa wakubwa, mwisho wa siku unaanza kugombania top 4 ,Wewe tayari ulishapigwa 2 bila majibu na Manchester City kwenu Emirates stadium na bado hujaenda kwake ndio wa kututambia kuwa utachukua ubingwa?
Ungesema kuwa mnapigania mcheze UEFA mwakani sawa, napo mkishukuru kuwa Manchester United wako vibaya msimu huu. Kingine licha ya Manchester kuwa vibaya ila anaweza akawatandika pia sababu nyinyi huwa wateja wake as always
We shabiki wa arsenal ni mbulula ndo maana unaongea vitu vya kimbululambulula, kwa taarifa yako arsenal hata nafasi ya 7 akiishika itakuwa ni maajabu makubwa sana kisoka msimu huuWewe unakomaa kwa wakubwa, mwisho wa siku unaanza kugombania top 4 ,
Huyo man city amenipiga ,now kaniacha point 2 ,
Kwahiyo usidhan ubingwa lazima nishinde big game zote,
Ubingwa ni mahesabu kama haya kupiga hawa watoto, wakubwa ni target tu,
Wewe hujiuliz why liva anakomaa kukaza kwa wakubwa lkn mwisho anaanza kuwa na mashaka na kupata hata top 4?
Leta fact acha kuropoka ovyoWe shabiki wa arsenal ni mbulula ndo maana unaongea vitu vya kimbululambulula, kwa taarifa yako arsenal hata nafasi ya 7 akiishika itakuwa ni maajabu makubwa sana kisoka msimu huu
Fact utazipata na kuelewa ligi itakapokuwa imemalizika may 2019Leta fact acha kuropoka ovyo
Bas ubingwa utachukua wewe,Fact utazipata na kuelewa ligi itakapokuwa imemalizika may 2019
Wewe unakomaa kwa wakubwa, mwisho wa siku unaanza kugombania top 4 ,
Huyo man city amenipiga ,now kaniacha point 2 ,
Kwahiyo usidhan ubingwa lazima nishinde big game zote,
Ubingwa ni mahesabu kama haya kupiga hawa watoto, wakubwa ni target tu,
Wewe hujiuliz why liva anakomaa kukaza kwa wakubwa lkn mwisho anaanza kuwa na mashaka na kupata hata top 4?
Bas ubingwa utachukua wewe,
Maana unaungojea toka mwaka 1990
Wewe man u mtabe wako mmeshakutana naye?Gap la point mbili halafu hapo bado hujakutana na mtabe wenu wa miaka mingi Man Utd bado pia hujaongezea kuwa bado mechi mbili unakutana na Mohammed Salah
Wewe bwana una miaka karibu 30 hulijui taji la ligi,Nyie si mna miaka kumi na tano sijui kama sisi, Arsenal anaweza mcheka Tottenham au MAn City na sio Liverpool kijana
Arsenal kumcheka Liverpool kisa kwenye EPL ni kama walala hoi wawili mmoja ana buku mbili na vimiamia akamcheka mwenye buku na vimiamia mfukoni
Wewe man u mtabe wako mmeshakutana naye?
Usiongee kishabik, man u ukitoa msimu uliopita, nyuma nilimpiga 3-0 ,wewe sikumbuk ulimfunga lini
Unamuongelea salah huyu aliyeflop?
Salah mwaka jana ilikuwa suprise package,
Huyu wasasa ndio salah mwenyewe, yule wa roma tunayemjua ,
Wewe unadhan ligi ni maandaz, hujiuliz uliniacha point 6, sasa hiv zimebaki mbili,
Na gar lishakata breki,
Hii arsenal ya Unai sio ya wenger
Nakumbuka Unai kila game anabadilika na anajua kuwasoma wapinzani,
Kumbuka klopp alichofanywa na UNAI fainal ya Ueropa , Alivyobadilikiwa
Baba, arsenali haitamaliza juu ya Liverpool. Mark my words. Sio kwamba nawadharau, ndo uwezo wenu. Hamjakutana na mechi yoyote competitive tangu mpigwe mechi mbili na city na chelsea, the same applies to Liverpool kabla haijapita kwenye mfululizo wa mechi ngumu ilisafisha timu tena kwa goli nyingi.Wewe ubadhan fulham utamfunga kirahisi?
Labda mnaangalia matokeo hizo timu zinakaza sana, sema sasa hiv arsenal wana kocha anajua kusoma mchezo,
Mech na man city arsenal hakucheza vibaya, ni makosa madogo, the same ya chelsea ambayo kama sio kukosa umakin bas arsenal alikuwa anaimaliza game mapema first half, na ukumbuke ni kocha mpya, timu inatembea,
Sasa wewe klopp msimu wa tatu huu bado ana struggle,sasa hiv arsenal anakupumulia point mbili,
Endeleen kudharau hivo hivo,
Hata msimu wa 2001/2002 ilikuwa hivi hivi,
Mlituacha point kibao, tukatandika watoto wote huku nyie mkiongoza ligi
Mwisho arsenal bingwa,kutoka nafas ya 4
Wewe bwana una miaka karibu 30 hulijui taji la ligi,
EPL utalisikia tu,
Toka mwaka 2011 mpaka leo huna taji lolote hata micky mouse cup
Why ujiite mkubwa?
Hivi unajua liver ilishakuwa timu ndogo?
Nenda kaangalie Rank za vilabu Uefa, ndio maana wanawaweka pot 3,
Hii miaka mitatu ya klopp ndio peak yenu lkn hamuwez kubeba taji lolote
Wewe unatofaut gan na totenham aliyebeba Carling cup toka 2008?
Ilifika kipind hata kucheza europa mlishindwa , mkaporomoka hadi kusahaulika na kuwa timu ndogo, hadi mashabiki mkapotea,
Amekuja klop mmeanza mdomo?
Usijiongopee mkuu, hauna timu ya kuchukua msimu huu. Ndo tatizo ya kufungafunga vibonde, ukishapiga vinne wajiona league yako. Na kwa taarifa yako Liver haijapoteza mechi yoyote ya league. Imefanikiwa kutoa draw na chelsea na Man city, so you expect ikazuiwe na Arsenal au Fulham?Wewe ubadhan fulham utamfunga kirahisi?
Labda mnaangalia matokeo hizo timu zinakaza sana, sema sasa hiv arsenal wana kocha anajua kusoma mchezo,
Mech na man city arsenal hakucheza vibaya, ni makosa madogo, the same ya chelsea ambayo kama sio kukosa umakin bas arsenal alikuwa anaimaliza game mapema first half, na ukumbuke ni kocha mpya, timu inatembea,
Sasa wewe klopp msimu wa tatu huu bado ana struggle,sasa hiv arsenal anakupumulia point mbili,
Endeleen kudharau hivo hivo,
Hata msimu wa 2001/2002 ilikuwa hivi hivi,
Mlituacha point kibao, tukatandika watoto wote huku nyie mkiongoza ligi
Mwisho arsenal bingwa,kutoka nafas ya 4
Hawez mfunga Manchester huyu.Wewe tayari ulishapigwa 2 bila majibu na Manchester City kwenu Emirates stadium na bado hujaenda kwake ndio wa kututambia kuwa utachukua ubingwa?