Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Cc MalafyaleHa ha ha na leo nawaaongeza kitu kingine. Kuna uwezekano mkubwa sn pale kati Klopp akawaanzisha Henderson, Milner na Wijnaldum ili kuweza kuwin battle la viungo amabalo yeye anawaita viungo wa Chelsea kua wanakimbia km gari za Formula One.
Yani liver watahahakisha hakuna kabisa utulivu hapo kati.
Nadhani Klopp anajua soka menejimenti zadi yetu kakaHuu "Uingereza" tabu kweli kweli! Hendo wamemuanzisha huko kama kawaida
Kaka hata Mbappe alifunga lkn walikaa!Bonge la mechi. Hata ukiwa hater (kama mimi) wa timu 2 hizi lazima nikubali kwamba zipo mbali na Arsenal na Man United. Liverpool na Chelsea zinanikumbusha enzi Arsenal and Manchester United zilipokuwa juu. Liverpool mna kibarua kikubwa kumzuia Hazard.