Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nothing New Kwasisi Kushinda Pale. Past is like memory. Mbona unajipinga mwenyewe
Tangu 2013 Chelsea imeishinda Liverpool mechi 3 Stanford Bridge, ikatoa draw 3 na ikapoteza kwa Liverpool 2
Hii ya nothing new kushinda pale imetoka wapi!
 

Klopp ameshalitolea Ufafanuzi Hakuongolea Kumfokea Kama Media zilivyo exaggerate Bali aliongea nae Kuhusu Hile Freekick akiyopiga tu.

Nenda Liverpool Echo makala ya Klopp aliyotolea ufafanuzi ipo pale akielezea Kuhusu hilo munalovumisha Kuwa Kamfokea.
 

Ni kweli kabla Ya Kuingia Hazard Mulimiliki Mpira lakini ilikuwa Ni Possession isiyo na Madhara Kwetu na Ndiyomana Hata Zile On Target zenu hazikuwa Ni Nafasi za Kuweza Kusema Ni za Clear Goal..

Mkuu Game Plan pekee ya Kucheza na Chelsea haihitaji uwe na PhD ya Ukocha! Ni moja tu Ambayo "Uneed Someone to Control Hazrd" basi.

Najua Ni Vigumu kufanya Hivyo Kwasababu Kumdhibiti Hazard Unahitaji Defensive Midfielder aina Ya Sergio Busquet ili amzuie Kabla Ya Kuingia Ndani ya Box.

Kwahiyo Unapokosa DM Wa calibre hiyo unapaswa Uwe na Centre Back bora Wa Kuweza Kustop zile dribbling zake.

Sasa Back wetu tunayemuamini VVD anacheza upande Wa Kushoto ambako natarajia Kuwa atatokea Willian (Upande Wa Kulia Wa Chelsea).
Kwahiyo upande wetu Wa ambao ndiyo Natural anayotokea Hazard Kutakuwa Na TAA na GOMEZ wakisaidiwa na GINI basi uwezo Wa Kumstopisha kama Walivyomfanyia Neymar wanao.
 
Tangu 2013 Chelsea imeishinda Liverpool mechi 3 Stanford Bridge, ikatoa draw 3 na ikapoteza kwa Liverpool 2
Hii ya nothing new kushinda pale imetoka wapi!
View attachment 879917

Ninasimamia Kauli yangu hiyo Kwahizo stats zako ulizoweka.

Kwenye Michezo 8 umeshinda 3 tu, Na Mimi Nimeshinda Miwili.

That is why Ninaendelea Kusema "Nothing New to win at Stanford Bridge " iwapo unaelewa ninachosema.
 
Huwa hazard hatumii upande mmoja kuingia kwenye box, lakini pia nguvu itakayotumika kumzuia hazard itatoa nafasi kwa wachezaji wengine kufunga, ndio maana usishangae kuona Alonso anafunga sana japo ni beki.
 
Wacha Niishie Hapa Kutalk about Carabao! Lamme focus kwenye EPL kwasasa.
 
Sawa tusubiri kesho. Baada ya dakika kukamilika 90
 
Muda huo mnaangaika na hazard...kina wily, Alonso, Barkley watakuwa wamesimama na relax.
 
LIVERPOOL hatupotezi mchezo wa kesho!
Liverpool hii haiwezi fungwa na Chelsea yenye beki wa kati Luiz na Cahil
Never ever!!
Chukueni maneno haya myahifadhi baada ya dakika 90 mnisimange!
Sawa mkuu
 
Njia pekee si kumzuia Hazard hapo mtashindwa. Njia ni nyie kumiliki mpira zaidi yetu basi. Mpira unatoka kwa mabeki unakuja kwa midfield wanakufanyia undava then ndio unakuja kwa wings na foward ambapo kama umeshausoma mchezo vizuri hawa washambuliaji wanamiliki mpira kwa asilimia chache sana ukilinganisha na mabeki na midfield. Sasa useme ukomae na Hazard peke ake unampa mwanya Pedro na kina Giroud kukufanya vibaya.

Miliki mpira zaidi yangu. Au ufanye counterattacks za kutosha hapo unaweza kunidhibiti.
 
Westham mbona hakumiliki na alimzuia Hazard
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…