Mimi hua nawaambiaga watu kua FIFA hua wanakuaga na upendeleo wa wazi kwa wachezaji wa Spain (de gea wa nini?)especially players from Madrid na Barcelona na wachezaji wa america ya kusini especially from Brazil hua nao wanabebwa! kwenye hizi tuzo! sasa alaves wa nini kwenye FIFA first 11?Hii FiFA XI ni kituko tupu wala haina reflection to reality
Yani Courtois hayupo ambaye ndie kipa bora ila De gea ambaye hata ktk 3 bora hakuwepo kuwania tuzo kaingia,Dani alves ambaye hajafanya la maana na alikuwa majeruh kaingia mbele ya Carvjal,Kimmich [emoji23][emoji23] a disgrace,Mo Salah ambaye kafunga goli nying sana last season na kuwa ktk 3 bora ya Uefa naye hayupo [emoji23][emoji23][emoji23]
Disgrace
kuwa mkweli hata kipofu asingechagua goli la salah kuwa bora kuliko magoli yote , hivyo basi tusiwe na wivu walio ingia fifa pro 11 na hata tuzo aliyopewa Salah kila mmoja kastahili, ila wamezingatia kamsemo ka wazungu" form is temporary but class is permanent " hatuwezi kuibeza nazi wakati embe tunda la msimu .majembe ya fifa pro 11 yapo tu yataendelea kuwepo tuHii FiFA XI ni kituko tupu wala haina reflection to reality
Yani Courtois hayupo ambaye ndie kipa bora ila De gea ambaye hata ktk 3 bora hakuwepo kuwania tuzo kaingia,Dani alves ambaye hajafanya la maana na alikuwa majeruh kaingia mbele ya Carvjal,Kimmich [emoji23][emoji23] a disgrace,Mo Salah ambaye kafunga goli nying sana last season na kuwa ktk 3 bora ya Uefa naye hayupo [emoji23][emoji23][emoji23]
Disgrace
kuwa mkweli hata kipofu asingechagua goli la salah kuwa bora kuliko magoli yote , hivyo basi tusiwe na wivu walio ingia fifa pro 11 na hata tuzo aliyopewa Salah kila mmoja kastahili, ila wamezingatia kamsemo ka wazungu" form is temporary but class is permanent " hatuwezi kuibeza nazi wakati embe tunda la msimu .majembe ya fifa pro 11 yapo tu yataendelea kuwepo tu
Juzi tu kapiga assist 2 first half na kupata mabao mawili.
Mkuu, hao wamemsahauje Shaqiri hapo kwenye assists?!
Na mimi sijaelewa hapa tafadhari usikiapo ujumbe huu King Ngwaba
Hongereni mashabiki active mgepewa hata nafasi ya kumchagua fifa player of the year mgetoka na Salah uzuri makocha na captains wanaujua mpira,endelea kufutilia michezo, kikosi cha fifa pro11 kimependeza majembe yenye consistency tu Ndio yapo wanaoibuka kama uyoga pori tupa kuleUngepiga kura goli unalolotaka wewe lingeshinda,me nilipiga kura nakura yangu aikuenda bure mo salah kashinda,link ilitolewa watu wanaojua mpira na kuufatilia wakapiga kura,
Unakuja kulalamika mitandaoni aitasaidia.
Lingeshindaje sasa magoli mnayotaka nyingi na wakati mjayapigia kura wao watajuaje sasa?
Lililopigiwa kura nyingi ndio linapendwa hilo kupiga kura ilikuwa ni mara moja hakuna kurudia,
Kwenye account ya instagram ya Liverpool na fifa link ilikuwepo tukaenda kuvote pale tunaofatilia michezo.
Chukua hiyo kama ulikuwa hujui Mashabiki wa Liverpool siku zote ni active kwenye kuvote,nimashabiki hai kwenye kuisupport timu yao .
Tofauti na tuzo ya Puskas ambayo ni mashabiki wanaamua kwa kura FIFA XI ni tofauti kaka.Ila Puskás Award umeona iko sawa tu kwa kua ni Salah,nenda kaangalie migoli ambayo ilikuwemo kwenye kinyang'anyiro alafu rudi uwe mkweli kama alistahili.
Tukiamua kukosoa ni vema tukakosoa vyote hata ambavyo vimetubeba sisi ndio sifa ya kua mkweli,nakubaliana na wewe kikosi kina mapungufu pia ila hayakuishia hapo.
Akili za kijana wa LUMUMBA hazina tofauti na kifurushi cha jaza ujazwehobgere
Hongereni mashabiki active mgepewa hata nafasi ya kumchagua fifa player of the year mgetoka na Salah uzuri makocha na captains wanaujua mpira,endelea kufutilia michezo, kikosi cha fifa pro11 kimependeza majembe yenye consistency tu Ndio yapo wanaoibuka kama uyoga pori tupa kule
kuwa mkweli hata kipofu asingechagua goli la salah kuwa bora kuliko magoli yote , hivyo basi tusiwe na wivu walio ingia fifa pro 11 na hata tuzo aliyopewa Salah kila mmoja kastahili, ila wamezingatia kamsemo ka wazungu" form is temporary but class is permanent " hatuwezi kuibeza nazi wakati embe tunda la msimu .majembe ya fifa pro 11 yapo tu yataendelea kuwepo tu
8kuwa mkweli hata kipofu asingechagua goli la salah kuwa bora kuliko magoli yote , hivyo basi tusiwe na wivu walio ingia fifa pro 11 na hata tuzo aliyopewa Salah kila mmoja kastahili, ila wamezingatia kamsemo ka wazungu" form is temporary but class is permanent " hatuwezi kuibeza nazi wakati embe tunda la msimu .majembe ya fifa pro 11 yapo tu yataendelea kuwepo tu
Tofauti na tuzo ya Puskas ambayo ni mashabiki wanaamua kwa kura FIFA XI ni tofauti kaka.
Haiwezekani eti Hazard yupo kwenye XI wakati last season kaongoza kwa kutingisha kalio tu viwanjani. Alifanya nini la maana?
Ukitaka kujua liverpool ni ya kawaida sana na wachezaji wa kawaida angalia kikosi cha wanaume 11 waliopigiwa kura
Hata kisalah wamekichinjia baharini
Sasa kama messi ni bora kuliko salah ilikuaje kwenye tatu bora akaingia salahInamaana hujui kuwa POSITION anayocheza Salah ndio hiyo hiyo position anayocheza Messi au?
Mwaka huu lazima Liverpool iwazibe midomo na mtapata tabu sana, timu inamtegemea Hazard ambae sijui kama amewahi kufikisha goli 15 za ligi kwa msimu na hapo bado hujaongezea kuwa yeye ndio mpiga penalty anaeachiwaga apige matuta yote