Sio Mane?Last 2 seasons Tulizoea Kuona Timu Zikiiogopa Front 3 yetu...
Lakini Kwa Sasa sio Front 3 pekee Bali Ni Front 11 yote ndiyo inayoogopwa..
Only JF's Keyboard attackers ndiyo Wasioiogopa Front 11 ya Liverpool..
Alisson - VVD & Gomez - Bobby hii ndiyo Backbone ya Liverpool Kwa sasa....
Sio Mane?
Pia Keita Anasumbuliwa na Kutokuwa Na Consistency ya Mechi Baada ya Mechi ingawa Bado anacheza Vizuri lakini sio vile Tulivyotarajia Kutoka Kwake.
Mzee, roma aliwafunga mawili sasa sijui ni lipiMambo manne anayopenda Mo Sollah.
1: Anapenda sana kinywaji aina ya kahawa.
2: Anazipenda sana nywele zake.
3: Rafiki yake mkubwa kikosini ni Lovren
4: Goli lake la mwaka ni lile alilowafunga AS Roma kwenye Champions League.
Kwani kutoa drow kuna tatizo gani?Chelsea tuliwaambia malizaneni na West ham kwanza kabla ya kuwaza kushindana na LFC...tukutane Jumatano Anfield
Nani kalazimisha kuwa mpinzani wako?Ndiyo Wanalazimisha iwe hivyo Japo sisi hatuna Upinzani na Wao kwani Sisi Watu Wazima Ni Aibu Kueka Upinzani Na Kijitimu Kilichoanzishwa 2004.
Sasa wewe kisa cha kuja na kuanza kutuponda ni kipiNani kalazimisha kuwa mpinzani wako?
September bado hijaisha ..unaweza kumaliza vibaya.Unaangalia September yako sio?
Coz ulituahidi kuwa September is Coming ...
Now unapaswa Kusema October is Coming.
Unapoteza point 2 na kushika nafasi ya 3Kwani kutoa drow kuna tatizo gani?
Wewe babu soon tu utapotea kama ulivyopotea mwanzo.Sidhani kama ni majigambo... watu wanaongelea hali halisi ya yanayojiri viwanjani...
Kipindi kile tumekuwa jamvi la wageni mlichonga sana... ngojeni sasa tuwanyooshe kidogo.
Hahaha kumbe ndo mawazo yako?Unapoteza point 2 na kushika nafasi ya 3
Kwanza ni draw sio drowKwani kutoa drow kuna tatizo gani?
Lile alilopokea pasi kutoka kwa Milner akiwa kwenye edge box ya Roma. Akashoot far post.M
Mzee, roma aliwafunga mawili sasa sijui ni lipi
Kwani wewe leo ulitaka Chelsea ashinde?Sasa wewe kisa cha kuja na kuanza kutuponda ni kipi