Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
mkuu ni shinda sana kwa kweli jamaa kila akitabiri ooh leo mnafungwo, sisi hao pointi twanyakua...Watu wangu wa Melwood wako vizuri sana kwenye kufanya uchambuzi wa timu yetu katika kila idara na wanastahili kualikwa na local tv stations
Sasa kule wachangiaji wa maana ni wawili tu yaani Mento na Kalou
Wengine ndio vitoto ambavyo kule jamvini kwao Mentor na Kalou wasipoonekana basi wengine ni mwendo wa copy and paste na pumba tupu na uganga wa kienyeji
YNWA
HahahaNaona hii kazi wametuachia sisi...
Tukiwapiga hapo panapo 26 na 29 naamini Napoli na Manchester city watakuta njia imeshatengenezwa.
Mbona washatepeta tayari...Hahaha
Huna matumaini wew maliza kazi kwanza na WHU ndipo uje utusumbue
Inawezekana Labda Kwasababu Salah alikuwa Nje ya Uwanja Kabla Ya Kufunga lile goli na Baadae Kaingia Kwa Kufunga tu.
Hata mchezaji wa Soto alikuwa kwenye goal line. Hapakuwa na offside pale.Ilikuwa sio offside maana mchezaji wa upinzaninpia alikuwa nje
Naona hii kazi wametuachia sisi...
Tukiwapiga hapo panapo 26 na 29 naamini Napoli na Manchester city watakuta njia imeshatengenezwa.
Pia Keita Anasumbuliwa na Kutokuwa Na Consistency ya Mechi Baada ya Mechi ingawa Bado anacheza Vizuri lakini sio vile Tulivyotarajia Kutoka Kwake.
The gaffer anasema ni bruised rib...so lets wait for more info...game next ya Carabao angepumzishwa...Hope injury ya VVD haitokuwa serious
na mlipaki treni kusubiri counter....Tushawazoea hata msimu uliopita pamoja na ubovu wetu tulikuja anfild Hapo na tukatoka Salama
Mkuu mchezaji wangu muhimu ni Bobby Firmino...ndogo kwa kweli anajituma aidha akiwa na mpira au hana mpira na kuanzia mwanzo wa ligi hadi mwisho wa ligiDISCUSSION: NI MCHEZAJI GANI MUHIMU ZAIDI KWNYE KIKOSI HIKI CHA LIVERPOOL?
Personally namchagua VVD jamaa ame transform kabisa backline yetu.ani leo alivyokua chini mapigo ya moyo yalienda mbio sana[emoji855].good news ni just a bruised rib tu na natamani game ya carabao asicheze ili awe fit zaidi game na chelsea ya league.
duuu Mangi unataabu sana...kazi ya straika ndugu ni kufunga tu hayo mengine unayosema hayamhusu...Sallah bana kafunga bao la mzobemzobe tu
Hakuna jitihada kabisa
ndio maana akaja Allison maana lile goli kulikua na uzembe wa kipa..Kama nakumbuka Willian alifunga goli zuri sana.
Chelsea mnajifanya ni wapinzani wetu sio?
Ni fedheha sana tena kupita maelezo. Amalizane na mwenzake West ham maana ndio mpinzani wakeNdiyo Wanalazimisha iwe hivyo Japo sisi hatuna Upinzani na Wao kwani Sisi Watu Wazima Ni Aibu Kueka Upinzani Na Kijitimu Kilichoanzishwa 2004.
Van Dyke kampika Gomes vizuri sana. Niliona clip moja wakiwa pamoja wanaulizwa quiz na LFCtv.Kitu Kimona Kinachonifurahisha Ni Kuwa Alisson Kawa Msikivu na Kuacha Hule Mzaha Wake Pale Goli.
Amejirekebisha Kwa Kweli.
Na Hata Combi ya Gomez na Matip Kama itapata More game time basi inaweza Kufanya kazi Kwa Baadhi ya Games zilizokuwa Hazika Kwenye High pressure mostly zile za Anfield.
Coz Siku zote VVD huwa Ni Leader Katika Backline lakini Jana Gomez kaonesha Kuwa Yeye pia anaweza Kuwa Leader Katika Backline Yetu.