Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo wanashirikiana vyema sana!
Mane na Salah hawanyimani pasi
Klopp kaisha waonya itakuwa
Team yetu ni nzuri sana jamani
 
Tutafute magoli mengi na clean sheet, itakuwa ni vizuri zaidi.
Shaqiri ànaanza kuingia kwenye mfumo taratibu, na akiwa na kiwango kile kile cha Stoke basi atakuwa msaada sana.
 
Ingawa Tumeshinda Lakini Bado Tuna Tatizo Kwenye Timu Tunapoteza Mipira Mengi Sana na Timu Haiko Making Katika Ufungaji Kwani Mechi Kama Ya Leo ilikuwa Ni Ya Kushinga Goli 5+
 
Ingawa Tumeshinda Lakini Bado Tuna Tatizo Kwenye Timu Tunapoteza Mipira Mengi Sana na Timu Haiko Making Katika Ufungaji Kwani Mechi Kama Ya Leo ilikuwa Ni Ya Kushinga Goli 5+

Nadhani inatokana na intensity ya game yenyewe!
Game kubwa na Spurs au na PSG walikuwa makini zaidi
Hii game iliisha dakika ya 20 baada ya header ya Matip
Tupo sawa sana!!
 
Yani Mashabiki Wa Chelsea Wanaumia Liverpool ikishinda Utadhani Wao Hawana Ratiba Ya Kwao.
Haya ni mawazo yako tu king ngwaba. Mpira ni burudani....hakuna sababu ya kuchukia wakati wanaocheza na wenye zao wapo uingereza. Sisi tunaburudika tu pale timu zetu tunazosapoti zinafanya vema hakuna sababu ya kuchukia timu za wengine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…